Fuga Kisasa
Senior Member
- Jan 16, 2016
- 165
- 91
Ni kati ya laki mbili na nusu mpaka laki tatu na nusu, kuna mdau humu ndani anaitwa @MalafyaleP huwa anafuga na kuuza nguruwe. Karibu sanamkuu hivi bei ya kuuzwa nguruwe mkubwa ni shi ngapi?
nataka kwanza kifahamu hiki labda kitanipa na mimi hamasa ya kuanza kufuga.
kinanihusu..kama kitu hakikuhusu, unakiacha kama kilivyo. period
Nguruwe wa MalafyaleP ni wazuri wana afya na ni wasafi sana, nimewaona kwa macho yangu. Pengine hiyo bei unayosema wewe ni kutokana na umri wake pia. Ukihitaji hizo nipple drinkers kwa huko Mbeya nitakutumia mkuu, piga 0625504952fuga kisasa...nguruwe laki 2.5..labda hao nguruwe akuwatunza vizur..lakn ss huku mbeya nguruwe lak 3.5 kama mzuri zaid had lak 5 unauza vizur sana
Soma hapa mkuu Uzoefu wa ufugaji nguruwe wenye faidaNatamani kuwafuga hawa wanyama, kwa hiyo naomba kujua naanzia wapi.
tuwasiliane nije kufuga huko 0713 2919 47fuga kisasa...nguruwe laki 2.5..labda hao nguruwe akuwatunza vizur..lakn ss huku mbeya nguruwe lak 3.5 kama mzuri zaid had lak 5 unauza vizur sana
Kila la kheri mkuu, ukihitaji hizo drinkers we nipigie tu simu: 0625504952tuwasiliane nije kufuga huko 0713 2919 47
Pole sana mkuu. Ngoja waje wataalam hapa wakuelimisheHivi suala la kulisha pumba mbichi nalo husababisha minyoo? nauliza hivi kwasababu nguruwe kwangu walidumaa ingawa nilikuwa nawachoma sindano na kuwapa virutubisho (pig mix) sasa mfugaji mwenzangu Fulani amenambia natakiwa kuchemsha chakula ili kusolve tatizo, ni kweli hili?
Hivi suala la kulisha pumba mbichi nalo husababisha minyoo? nauza hivi kwasababu nguruwe kwangu walidumaa ingawa nilikuwa nawachoma sindano na kuwapa virutubisho (pig mix) sasa mfugaji mwenzangu Fulani amenambia natakiwa kuchemsha chakula ili kusolve tatizo, ni kweli hili?
Vyakula vya nguruwe vinavyotakiwa kuchemshwa ni mabaki ya vyakula vilivyopikwa au maganda ya viazi au na mabaki mengine ya mboga mboga na kadhalika kwani vyakula hivi huwa na kiasi kikubwa cha contamination ya bacteria na wadudu wengine kwenye athari katika mfugo huu ... Vyakula vya kuchanganya kama pumba, mashudu alizeti/pamba, soya meal, mifupa, chumvi pig mix na hata majani mabichi fresh haviitaji kuchemshwa
Nashukuru sana kwa ushauri Mkuu, unadhani ni wapi nilikosea ili isijirudie hali ile kwani kizazi kile kilichodumaa nilikiondoa nimeanza upya, ninao wakubwa wawili na wadogo wa miezi 5 wapo 6, hawa wakubwa mmoja nimempandisha atazaa march 18, Niko nao makin sana nisije cheza mchezo ule ule wa awali.
mbona bei ya hasara sana. Yaani uuze 350,000 nguruwe wa kilo 90 kwa mfano. Halafu bei ya rejareja ni 10,000/kilo. Huoni kama unawafinyia kazi wengine?Ni kati ya laki mbili na nusu mpaka laki tatu na nusu, kuna mdau humu ndani anaitwa @MalafyaleP huwa anafuga na kuuza nguruwe. Karibu sana
Kilo 90 ni 630,000mbona bei ya hasara sana. Yaani uuze 350,000 nguruwe wa kilo 90 kwa mfano. Halafu bei ya rejareja ni 10,000/kilo. Huoni kama unawafinyia kazi wengine?
drinkers za plastiki nguruwe wanaiharibuUkihitaji hizo drinkers tuwasiliane kwa namba 0625504952
Ni drinkers za chuma mkuu, sio plastic. Origanal, zina warranty ya miezi sita. Karibu sanadrinkers za plastiki nguruwe wanaiharibu