Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Watakua na miezi mitano (5) hadi miezi sita (6),wakifika mwezi wa tatu mwaka huu,ndipo nitakapo wauza Mkuu.
miezi sita nguruwe itakuwa na kilo ngapi hadi ifae kuuzwa?
 
Nguruwe bado wapo (13),kwa mtu anaye nunua anitafute
mkuu we sema unauza nguruwe watoto lakini si wa kuchinja mana sidhani wamefikisha hata kilo 30 na mbona marangu bei ni nzuri mno tena soko si la kusumbua
 
mkuu we sema unauza nguruwe watoto lakini si wa kuchinja mana sidhani wamefikisha hata kilo 30 na mbona marangu bei ni nzuri mno tena soko si la kusumbua
Elewa nilivyo sema wana kilo 54 mpaka 69,niliwapima kiutaalam,Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha mifugo Tengeru Arusha mwaka wa pili,siwezi kutuma hapa kitu bila uhakika.

Asante Sana
Karibu tufanye biashara
Wahi sasa kwa maana wanauzwa kwa bei nafuu

Kennedy Shirima
 
miezi sita nguruwe itakuwa na kilo ngapi hadi ifae kuuzwa?
Wana kilo 54 mpaka 69,tayari nimesha wapima

Asante Sana
Wahi sasa kwa maana wanauzwa kwa being nafuu,

Karibu Sana
Kennedy Shirima
 
miezi sita nguruwe itakuwa na kilo ngapi hadi ifae kuuzwa?
Wana kilo 54 mpaka 69,tayari nimesha wapima

Asante Sana
Wahi sasa kwa maana wanauzwa kwa being nafuu,

Karibu Sana
Kennedy Shirima
 
Nguruwe wanakudumaza wewe.

Mkuu, naona kila post inayohusu nguruwe huwa wanaku CC wewe, wana makusudi hawa na taratiibu utaanza kubobea kwenye masuala ya nguruwe. Ama kwa hakika utakua nguli, gwiji, kinara na mahiri kwenye hii tathnia hata bila kuipenda na hapo ndipo TUTAKAPOKUTUNUKU "udaktari wa heshima" tukitambua mchango wako uliotukuka.
Dr. Faiza.....
 
Habari zenu wakuu nilikuwa naomba kuwauliza jua linadumaza nguruwe.

Uwezo wa nguruwe kuhimili (ku_regulate body temperature) katika mazingira ya jua kali ni mdogo ukilinganisha na wanyama wengine kama vile ng'ombe.

Hali hiyo inamfanya asiwe comfortable na ikapelekea ama akapunguza kiwango cha chakula anachokula (feed intake) au kiwango cha umeng'enywaji wa chakula mwilini kikapungua (reduced digestibility) kwa sababu mwili unafanya kazi kwa ufanisi zaidi katika kiwango chake cha kawaida cha joto (optimum temperature).

Hali hii kimsingi itasababisha kupungua kwa kiwango cha ukuaji (ambako ndio kudumaa).

Kwa maelezo hayo, jibu langu kwa swali lako ni NDIO.

Na ndio maana huwa tunashauri banda lijengwe sehemu angalau yenye kivuli, na juu liwe na paa la kuzuia jua kali, usiwaanike nguruwe (na mifugo mingine pia) kama solar panels.

Ufugaji mwema.
 
Mnisamehe wakuu kwa kutotembelea uzi huu kwa siku kadhaa.
Kutembelea inaruhusiwa na kubadlishana ujuzi wakuu, sasa hv naelekea Iringa kutafuta shamba la project nyingine, baada ya week hope nitarejea then ntakujuzeni wakuu. Tupeane ratiba zenu tu!
Asante sana
 
Back
Top Bottom