Atakuwa kaonja nguruwe huyu faizaUmeshaonja ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa kaonja nguruwe huyu faizaUmeshaonja ?
Bs tutadumazwa wengi mana mwez ramadhan biashara ya nguruwe huwa ngumu sababu walaji b mnakuwa mnafungaJipya si hilo la nguruwe kukudumaza.
Dogo hilo?
Mmoja anakilo ngap?Nguruwe bado wapo (13),kwa mtu anaye nunua anitafute
miezi sita nguruwe itakuwa na kilo ngapi hadi ifae kuuzwa?Watakua na miezi mitano (5) hadi miezi sita (6),wakifika mwezi wa tatu mwaka huu,ndipo nitakapo wauza Mkuu.
mkuu we sema unauza nguruwe watoto lakini si wa kuchinja mana sidhani wamefikisha hata kilo 30 na mbona marangu bei ni nzuri mno tena soko si la kusumbuaNguruwe bado wapo (13),kwa mtu anaye nunua anitafute
Elewa nilivyo sema wana kilo 54 mpaka 69,niliwapima kiutaalam,Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha mifugo Tengeru Arusha mwaka wa pili,siwezi kutuma hapa kitu bila uhakika.mkuu we sema unauza nguruwe watoto lakini si wa kuchinja mana sidhani wamefikisha hata kilo 30 na mbona marangu bei ni nzuri mno tena soko si la kusumbua
Wana kilo 54 mpaka 69,tayari nimesha wapimamiezi sita nguruwe itakuwa na kilo ngapi hadi ifae kuuzwa?
Wana kilo 54 mpaka 69,tayari nimesha wapimamiezi sita nguruwe itakuwa na kilo ngapi hadi ifae kuuzwa?
Mwenye kilo ya chini ana kilo 54 na mwenye kilo ya juu ana kiloMmoja anakilo ngap?
Mwenye kilo ya chini ana kilo 54 na mwenye kilo ya juu ana kilo 69 niliwapima ikawa hivyoMmoja anakilo ngap?
Mmoja anakilo ngap?
Nguruwe wanakudumaza wewe.
Habari zenu wakuu nilikuwa naomba kuwauliza jua linadumaza nguruwe.
Asante sanaMnisamehe wakuu kwa kutotembelea uzi huu kwa siku kadhaa.
Kutembelea inaruhusiwa na kubadlishana ujuzi wakuu, sasa hv naelekea Iringa kutafuta shamba la project nyingine, baada ya week hope nitarejea then ntakujuzeni wakuu. Tupeane ratiba zenu tu!
4GWapendwa,
Hivi nikitaka nguruwe akue kwa speed ya ajabu inabidi nitumie madawa gani au vyakula gani?
4G?! Kuwa siriaz kwenye vt vya msing
Thanks niyombareMpe pumba kwa wingi na majani ya magimbi kama yapo huko.na mashudu ya alizeti.