Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Nguruwe unafuga wakazi gani? Biblia takatifu imekataza ulaji wa nguruwe, fanya biashara nyingine achana na hii biashara haramu
 
tatizo nguruwe huku kwetu wanakufa mnoo, hadi naogopa naona bora kuku wa kienyeji tu
 
Nguruwe unafuga wakazi gani? Biblia takatifu imekataza ulaji wa nguruwe, fanya biashara nyingine achana na hii biashara haramu
Kufuga au kutokufuga na kula au kutokula huyo nguruwe , si kikwazo.
Kikwazo ni wewe mwenyewe.
 
Tunaomba maelekezo kwa mwenye hiyo mbegu Dodoma ili tuweze kumtembelea na kuweka order pia.
 
Nimecheka kwa sauti hadi nimejishtukia
 
Upo vizuri kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…