Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemeana sehemu na sehemu, ila bei ni kuanzia elfu 30Habari ndugu wa jf ivi hapa bongo nguruwe mdogo anauzwa bei gan
Nami pia 0756441667Namimi niunge 0764782803
Kufuga au kutokufuga na kula au kutokula huyo nguruwe , si kikwazo.Nguruwe unafuga wakazi gani? Biblia takatifu imekataza ulaji wa nguruwe, fanya biashara nyingine achana na hii biashara haramu
Itafaa kama itapatikana bei halisi kwamim nipo tabataInategemeana sehemu na sehemu, ila bei ni kuanzia elfu 30
Tunaomba maelekezo kwa mwenye hiyo mbegu Dodoma ili tuweze kumtembelea na kuweka order pia.Hii mbegu ni mbegu zinazotumika dunia nzima.Kwa hiyo notion yako kwamba tunaletewa mbegu zenye madhara sio sahihi.Hebu jiongeze kidogo na soma hapo www.picrsa.co.za na pia soma kuhusu kampuni hii Pig Improvement Company(PIC).Hiyo growth na kawaida kwenye commercial farms. Hv kuna mbegu gani ya kwetu???Kwenye nguruwe mbegu tunazofuga zilitoka nje.Performance yake imeshuka kwa sababu ya inbreeding.
Kukusaidia zaidi:Camborough ni cross ya pure landrace na pure largewhite baada ya selection based on performance. Kaka kama unaweza pata pure landrace na pure largewhite,waweza zalisha hiyo mbegu!
Since churches accept even non Christians, no wonder.Nchi hii pia ina almost 50% of people who go to church who are GAYS!
Mtu anayewashwa makalio huwa hachagui pa kukaala kuuliza sasa,asiyekula nguruwa aidha kwa sababu za kidini au kiutamaduni anafuata nini kwenye thread inayohusu nguruwe?:A S-confused1::A S-confused1:
Umefanya nimecheka sana.
Nenda ukrasa wa 112 kuna link muafakana mm niunge 0754942572 au 0653000296
Viroba vimepigwa ban watu wamehamia kwenye bangi so bad.Bangi mbaya sana
Nimecheka kwa sauti hadi nimejishtukiaYaani kumbe hata nguruwe wenyewe hawajaingia bandani tayari unasema muda si mrefu utaanza kuuza?
Ukiwa pale River Side, Ubungo, kuna njia inaenda jeshini. Fuata hiyo njia mpaka ukaribie mesi ya jeshi, kulia kuna machinjio ya kitimoto, pale kila siku kitimoto hawatoshi, si unajua Watanzania tupo takriban 45m na wote tunakula nguruwe
Kwanini imekatazwa?Nguruwe unafuga wakazi gani? Biblia takatifu imekataza ulaji wa nguruwe, fanya biashara nyingine achana na hii biashara haramu
Upo vizuri kiongoziView attachment 324772
- Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000
- Banda la mabanzi=1,000,000
- Chakula = 1,000,000
- Dawa= 200000
After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,
mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe
mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000.
After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700. Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike).
Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu
Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza
watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500.
1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka
Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil.
Welcome to the club
Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda sokoine ukaonane na wataalamu.
Kila mwaka nalima Mahindi, alizeti, maboga ekari 30 kwa ajili ya chakula cha nguruwe tu.
Nakupenda saana mpwa..
==========
USHUHUDA
======================================================