Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Kwa ushauri wa ufugaji nguruwe wenye tija wasiliana nasi kwa 0789412904 pia tunapatikana kwa whatsap kwa hiyo namba.

Waweza pia tembelea page yetu ya instagram kwa taarifa zaidi: malafyalepigfarms
 
Mkuu nchi

Ile kiti moto ya Sabasaba Kwaminchi pale wewe acha. Kwahiyo hukumuoa mtoto mzuri?
nadhani ile iliyokuwa pale dagaa dagaa(sinza lego) kwa sasa pamevunjwa ilikuwa tamu sana... ukitaka choma, kavu roast wewe tu...dah enzi za chuo kila weekend ilikuwa lazima nikapate kitu pale, now bado yapo baadhi ya majiko ila hapajachangamka kama zaman, siku hizi nakulaga huku mtaani tu muda unabana
 
Sinza kiti moto ndiyo kwao, kuna bar moja baada ya Mwika pale ma kaburini kwenye corner kupelekea kanisa la walokole. Kuna roast na nyama choma.
 
Hahaaa Sky Eclat nani amuoe yule? nilimtorokaga usiku amelala, asaiv yupo huko huko nahc anakula mpaka ngamia.
 
Wewe sikuizi paka na panya wanacheza pamoja, paka wengi wamezoea kula rost, na vi chipsi chipsi. Hawahangaiki kabisa na panya kwanza ni marafiki mno, na saa ingine utaona kabisa paka anamkimbia panya wanafukuzana.
Marafiki hadi selfi wanapiga pamoja


Na hili limewahi ripotiwa hapa JF
Rejea: Paka wangu analea mtoto wa panya.
 

Sijaona point ilipo ila kukusaidia hapo namba 6
Ilibidi isomeke hivi
=sungura, nguruwe, pimbi na njiwa ni kitoweo pia
 
Kwanza na wewe taja kazi nyengine ya paka kama unaijua!!!kama paka hana faida zaidi ya kukamata panya inakuwaje utake na nguruwe awe na faida nyengine tofauti na kuwa kitoweo.
 
kwa hiyo wachawi hawali nguruwe, nimeanza kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…