kama kichwa cha habari kisemavyo.
kila mnyama ambaye anafugwa na binaadamu anafugwa kwa faida zake, na matumizi yake hayajifichi.
mf.
1.paka ni kukamata panya
2. kuku,kanga na bata kula nyama na mayai pia
3.mbuzi, ngombe,na kondoo, ni nyama,maziwa na mafuta
4.mbwa kutusaidia ulinzi na uwindaji
5.punda kubeba mizigo na kuna baadhi ya makabila ni nyama pia
6.sunguru, na pimbi na njiwa ni kitoweo pia.
7. farasi nae matumizi yake yanajulikana na kuna baadhi ya watu ni nyama pia
8.ngamia ni usafiri anajulikana toka zamani sana
9.sasa kuna huyu pig/mbuzi katorik/ kitimoto/noah/nguruwe/mdudu na majina mengine mengi je aliumbwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili gani na anafaida gani kuwa mnyama wa kufugwa? maana wanyama wote wafugwao tumeona faida zao
my take.
tunaoamini tuliingizwa chaka tuendelee kumtafuna maana hana faida nyingine zaidi ya hiyo