Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Shukurani za dhati mweneye uzi One Month Semindu, homeboy MalafyaleP na Maishamema,

Ninapita nondo mlizoziweka kwa karibu, nia yangu ni kufugia hapo eneo la Chalinze,

Nitaanza na hao Majike 8 badala ya watoto 50 nilioazimia mwanzoni, lkn ikiwa nataka niwe na kundi nitakalolinenepesha ili niwauze ndani ya miezi walau 6 nifanyeje?

Mwisho wa kusema haya naombeni kuuziwa majike myaonayokuwa ni bora 8 yaliyopandishwa na madume yafaayo kwa idadi hiyo na pia watoto 25 wa kuwanenepesha.
 
Ufugaji wenye tija huanza kwa kuchagua mbegu(breed) ya ngururuwe nzuri nashauri utafute large white au landrace(wenye masikio yaliyo lala) weupe ni vizuri kuchagua jike mwenye chuchu zisizo pungua 12,hii ni dalili ya kwanza ya mzao bora.
Ni vizuri kuwalisha nguruwe chakula chenye mchanganyiko wenye virutubisho vyote,mara nyingi vyakula tunavyolisha vinakuwa havina mchanganyiko wa virutubisho vyote hivyo wape madini na vitamin maalum za viwandani kama nguruwe/pig mix,pigboost,vikuzi(growth promoters)-kwa nguruwe wadogo kwa ajiri kumnenepesha na kuimalisha mifupa yake.Wakiwa wadogo kwa umri wa siku 3-5 wapigwe sindano ya kuzuia upungufu wa damu(irondextran),watakavyo kuwa wakubwa wapewe dawa za vitamin na minyoo kila baada ya miezi mitatu,pamoja na mambo mengine waliyosema wadau,banda ninashuri la mabanzi ambayo yanapatikana kwa wingi mikoa ya kusini kwa bei ndogo sana labda chini ya 200,inategemea na eneo ulipo.

waweza kunisaidia gharama za supplements na dawa ulizoshauri hapa?

Natanguliza shukurani
 
Hata kuku wanaumwa,usiogope pambana fuga kitaalam utapasua
 
hurrimat alaykumu ddama wal mayta walahma l khinziir
Wana jamvi,katika pita pita zangu mitaani,na kwenye mitandao ya kijamii nimegundua njia pekee itakayonipa ajira ni kujikita katika ufugaji wa Nguruwe kitaalam na kibiashara zaidi ikizingatiwa ndo kwanza nimehitimu elimu yangu ya Chuo kikuu..Nna shamba la ukubwa wa ekari 5 huko kijijini kwetu,maji yapo ya kutosha.Swali ni je shilingi milioni kumi (10,000,000) zinatosha kuanza kufuga nguruwe wangapi tangu wakiwa watoto hadi umri wa kuwauza? Naomba mnisaidie wadau
 
GAZETI na Shauri

Tunaomba mawazo yenu tafadhali maisha ya ni kila sehemu vyema tukapeana idea kwa wale wafugajji jinsi ya kufuga Nguruwe. Mazingira yake, magonjwa yake na jinsi ya kutengeneza chakula chake bila gharama.

Mawazo na maadili kuzingatiwa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa suala la chakula what I know anakula kila kitu mpaka chaja kasoro kitunguu ndo ishu kwake...
 
Pdidy

Ngoja Ndugu Zetu Wa Upande Wa Pili Waje Wakufundishe Jinsi Ya Kuwatokomeza Hao Viti Moto.
 
Last edited by a moderator:
Pdidy

muone afisa mifugo ngazi ya wilaya atakusaidia. lakini pia ongera kwa kujitahidi kuandika vizuri leo angalau kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Thx Félix
Shukran ziiendee touchscreen YANGU iliokubali kuniheshimu mkuu
 
ukitaka kumfaidi vizuri kanunue kg iliyotengezwa vizuri tayari kwa kuliwa tenga mezani kisha tafuta kichwa cha kiti moto kibichi ning"iniza hapo diningi kisha anza kula kilicho pikwa na ukikitiza kichwa cha hicho kitimoto.
mama yangu kama hujatapika wewe ni mwanaume na hapo ndo mwanzo wa kuacha kula kiti moto
 
Ninahitaji shamba lenye uhakika wa maji na liwe karibu na DSM ili nianze kufuga nguruwe. Nimechoka maisha ya kubangaiza hapa jijini.
 
Ni mara yangu ya kwanza kujitokeza kwenye safu hii ,kampuni yetu inajishughulisha na ufugaji wa nguruwe bora wa kisasa wa nguruwe aina ya Danish Duroc na Danish Yorkshore ni wazuri wanakua haraka hawana mafuta mengi na wanazaa sana mwenye kuwahitaji namba ni 0715912123 ,tuko mkuranga
 
Habarini zenu wana jamvi la biashara/ujasiriamali..
Naombeni kujua vitu vifuatavyo;-
-Bei ya vitoto vya nguruwe
-Namna ya kuwafuga
-Ulishaji wao,ni vyakula vipi
-Madawa yao(matibabu)
-Mabanda yaweje
-Na kuwapandisha ili wazaane.
-Akikua vizuri anakuwa na kilo ngapi..na anauzwaje?
-Kuna mbegu tofauti tofauti?

Asanteni Wanajamvi.:thumbup:
 
Back
Top Bottom