Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Somo zuri. Nami nilijiuliza kwa nini umeweka corridor nje? Inatakiwa iwe kwa ndani. Kinyesi kisiwe kwa ndani.
 
Kwa ushauri wa jinsi gani ya kuwalisha nguruwe wako chakula bora na kupata faida kuanzia creep feed hadi pig finisher naomba tuwasiliane, 0658444624
 
Naomba mwongozo wa ufugaji wa nguruwe kwani nina kijieneo changu huko zingiziwa nje kidogo ya jiji la dar ambacho nilitaka nikitumie kwa kufuga ama kuku wa kienyeji au nguruwe
 
Fuga kuku wa kienyeji ,nguruwe ni haram.
 
Naomba mwongozo wa ufugaji wa nguruwe kwani nina kijieneo changu huko zingiziwa nje kidogo ya jiji la dar ambacho nilitaka nikitumie kwa kufuga ama kuku wa kienyeji au nguruwe

Mkuu nenda kwenye search andika "ufugaji wa nguruwe" utapata nyuzi mbalimbali/ links za shughuli hiyo.
 
Naomba mwongozo wa ufugaji wa nguruwe kwani nina kijieneo changu huko zingiziwa nje kidogo ya jiji la dar ambacho nilitaka nikitumie kwa kufuga ama kuku wa kienyeji au nguruwe

Achana na hiyo kitu wewe, kwani imeharamishwa.
 
Kimbwe....@@@
Ni kwanini mnapigilia msumari kwamba kitikoto ni haramu angali mungu alimkabithi adam na hawa kwamba mimea,matunda ya mwituni,ndege wote na wanyama ni kitakuwa chakula chao???
 
Naomba mwongozo wa ufugaji wa nguruwe kwani nina kijieneo changu huko zingiziwa nje kidogo ya jiji la dar ambacho nilitaka nikitumie kwa kufuga ama kuku wa kienyeji au nguruwe

Mkuu nenda kwenye search andika "ufugaji wa nguruwe" kuna nyuzi kibao na links za ufugaji wa nguruwe.
 
Wakuu, nataka kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe na kuku, vp ufugaji wa nguruwe unalipa kweli? Na je kati ya kuku wa nyama na kuku wa mayai ni mradi upi unalipa zaidi? Na je kati ya ufugaji wa kuku wa kisasa na wa kienyeji ni wepi wanalipa zaidi? Msaada tafadhari.
 
Nasubiri kwa shauku

Nimekuja.
Unapoamua kufuga kuku kuna mambo manne muhimu
1.mtaji wa pesa
2.Eneo
3.muda
4.soko.

..ukiamua kufuga angalia pesa uliyonayo na unahitaji kuizungusha kwa kipindi gani.kwa kuku wa nyama wa kisasa unaweza kufuga na kupata faida ndani ya muda mfupi ila Mara moja..(non renewable)
Kwa kuku wa kisasa wa mayai watakuzalishia mayai ukiona wamechoka utawauza .
...Eneo;ufugaji wa kienyeji unahitaji eneo kubwa kidogo ili kuku wajinafasi
Kuku wa kienyeji ukimfuga vizuri kulingana na species yake unakula kuanzia miezi 4-6 na bei ni nzuri wa mayai nao vilevile.
...Muda wa utunzaji.
Jitathmini kama una muda wa kutulia mwenyewe kuku wa kisasa wanakufaa utawatunza kwa ungalizi mzuri zaidi.
Ila kama una muachia shamba boy tizama kuku wa kienyeji zaidi.
...soko.
Angalia target yako yaani wateja unaowalenga wanataka nini..
Pia soko hutengenezwa.
Anzia hapo.
 
Kama unataka kuuaga umaskini na ili usitumie nguvu nyingi na akili zako za akiba basi fuga Nguruwe japo sijaanza kufuga ila nipo kwenye mchakato
 
Mkuu mi nimeanzisha wa kuku wa kienyeji kwasababu moja muhimu kwamba mimi ni mwajiriwa hivyo shamba boy ndo atanituniza ao kuku,Kuku wa kisasa wanahitaji extra care,Kuku wa mayai wankula sana so lazma uwe umejipanga kimtaji,
Wa kienyeji naona kama wanamudu ata kula kikawaida kawaida na bado wakawa na matokeo mazuri,na bei yao pia ni nzuri.
 
an a hivi mpwa Wang in thread iko humu,search
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom