MalafyaleP
Senior Member
- May 23, 2013
- 187
- 387
Mkuu hao wa miezi 3-4 ni shilingi ngapi?
Angalia hapa tafadhali https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/931761-mbegu-nzuri-ya-nguruwe-sasa-inapatikana.html
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hao wa miezi 3-4 ni shilingi ngapi?
Masikini_Jeuri ulifikia wapi mkuu na hii project?
Umefikia wapi?
Shida mtaji
Huko kwenu ambapo kitoto cha nguruwe huuzwa sh 20,000 ni wapi? Ninampango wa kuanza ufugaji wa nguruwe shambani kwangu.
Mpwa hii bonge ya deal hata mate yananitoka ila tatizo mimi imani yangu inaniambia nguruwe ni haramu kabisa. lakini hiyo hela naitaka tena sana tu.
We ni Wakala wa sera ya JK ya Kilimo kwanza eeh?
Mbona hujaweka effect ya SWINE- FLU, ambayo inaweza kuwamaliza nguruwe wote kwa wiki 1?