Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
mkuu mimekupigia saluti vipi ninaweza na mimi kufuga maeneo ya pwani na kwa sasa makinda ys nguruwe yanauzwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi siuzi kinda hata moja nimefungua baa yangu nauza nyama choma ya ngurue kilo sh. 10000. na vinywaji. na ngurue wangu ni wakubwa mno wanaweza kutoa hadi kilo 200 mpaka 250.mkuu mimekupigia saluti vipi ninaweza na mimi kufuga maeneo ya pwani na kwa sasa makinda ys nguruwe yanauzwaje
Duh wale wazaramo wangu kule nikiweka kitimoto watanitoa nduki japo yule wa porini wanamla bila tabu kabisa
hawajui tu hizi ni fursa tosha! unaweza kubadili eneo ukafuga hata mikoa mingine kama una plan nzuri inawezekana! uoga ndicho kinachotuponza!
Yeah nakubaliana na wewe asilimia mia moja ila kule tayari, nina mabanda ya kuku kule
Hongera sana kijana kwa uthubutu wako, hakika uliona mbali sana!
rastahafulila.kweli zito kabwe ana kazi,nguruwe 30 tena wako ndani ya zizi moja unajiita tajiri maajabu.hivi akitokea mwizi akawaiba usiku wa leo utasemaje kuwa umekuwa masikini ghafla.think big
Tuelezee na upande wa mauzo basi, unakusanya kiasi gani ndani ya muda gani? Au ni tajiri wa kuwamiliki?
Hongera sana
mimi siuzi kinda hata moja nimefungua baa yangu nauza nyama choma ya ngurue kilo sh. 10000. na vinywaji. na ngurue wangu ni wakubwa mno wanaweza kutoa hadi kilo 200 mpaka 250.