Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

mkuu mimekupigia saluti vipi ninaweza na mimi kufuga maeneo ya pwani na kwa sasa makinda ys nguruwe yanauzwaje
 
mkuu mimekupigia saluti vipi ninaweza na mimi kufuga maeneo ya pwani na kwa sasa makinda ys nguruwe yanauzwaje
mimi siuzi kinda hata moja nimefungua baa yangu nauza nyama choma ya ngurue kilo sh. 10000. na vinywaji. na ngurue wangu ni wakubwa mno wanaweza kutoa hadi kilo 200 mpaka 250.
 
Duh wale wazaramo wangu kule nikiweka kitimoto watanitoa nduki japo yule wa porini wanamla bila tabu kabisa
 
Duh wale wazaramo wangu kule nikiweka kitimoto watanitoa nduki japo yule wa porini wanamla bila tabu kabisa

hawajui tu hizi ni fursa tosha! unaweza kubadili eneo ukafuga hata mikoa mingine kama una plan nzuri inawezekana! uoga ndicho kinachotuponza!
 
hawajui tu hizi ni fursa tosha! unaweza kubadili eneo ukafuga hata mikoa mingine kama una plan nzuri inawezekana! uoga ndicho kinachotuponza!

Yeah nakubaliana na wewe asilimia mia moja ila kule tayari, nina mabanda ya kuku kule
 
watu chuo kikuu wanalia na ajira kumbe ni kukosa mtazamo na uthubutu. wengi wakihitimu ni waoga mno. pia huwa hawana despline ya fedha kipindi wawapo chuoni. hakuna ajira nzuri kama kujiajiri.
 
Hongera sana kijana kwa uthubutu wako, hakika uliona mbali sana!
 
Nguruwe 30 tena wako ndani ya zizi moja unajiita tajiri maajabu. Hivi akitokea mwizi akawaiba usiku wa leo utasemaje kuwa umekuwa masikini ghafla.

Think big!
 
mdukuzi

Nani kasema nguruwe 30 wako kwenye zizi moja?
 
Last edited by a moderator:
rastahafulila.kweli zito kabwe ana kazi,nguruwe 30 tena wako ndani ya zizi moja unajiita tajiri maajabu.hivi akitokea mwizi akawaiba usiku wa leo utasemaje kuwa umekuwa masikini ghafla.think big

kumbe hujapona kichaa chako tangia kipindi kile ulipoumwa na mbwa mwenye kichaa? duu kazi ipo.
 
Tuelezee na upande wa mauzo basi, unakusanya kiasi gani ndani ya muda gani? Au ni tajiri wa kuwamiliki?
 
Tuelezee na upande wa mauzo basi, unakusanya kiasi gani ndani ya muda gani? Au ni tajiri wa kuwamiliki?

Nimeanza na laki 5 kwa sasa nna nguruwe 30. Nimefungua baa yenye duka la vinywaji pia hapo hapo baa nimemwajiri kijana anayechoma nyama ya kitimoto. Kila siku nachinja nguruwe mwenye uwezo wa kutoa kilo 200-250. kilo moja sh. 10,000.
 
yalimo

aha aha sasa ndani ya mwezi si hutakuwa huna hata nguruwe mmoja,acha uroho subiri wafike japo 200,tena location tofauti.utakumbuka maneno yangu siku ukikuta waha wenzako wameiba nguruwe wote hapo nyumbani
 
Last edited by a moderator:
Kwa maelezo yako inaonyesha una mpango wa kufuga...lakini huna nguruwe. BTW hongera kwa maono uliyo nayo, ila yabadilishe yawe kweli.
 
Mkuu,
Pamoja na kebehi zao, nakuunga mkono kuwa weye unajua unalo litenda. Nakuhakikishia kuwa, mimi ni mfugaji wa hicho kitu. Nina zaidi ya miaka 20 hakuna hata siku moja nimekosa kuwa na nguruwe 10m kwa banda langu.
Kifupi tu ni kwamba, nimejenga house, nimenunulia "magari", nimesomeshea watoto 3 wakafika chuo kikuu. Kama kuna mtu anayedharau mradi huo, atembee aone.
Nimewahi kufuga mpaka nguruwe 300 kwa mara moja
 
mimi siuzi kinda hata moja nimefungua baa yangu nauza nyama choma ya ngurue kilo sh. 10000. na vinywaji. na ngurue wangu ni wakubwa mno wanaweza kutoa hadi kilo 200 mpaka 250.

Kwa siku Jiko lako lina uwezo wa kuuza kilo ngapi za kitimoto?
 
Back
Top Bottom