rusesa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 538
- 234
Kwa maelezo yako inaonyesha una mpango wa kufuga...lakini huna nguruwe. BTW hongera kwa maono uliyo nayo, ila yabadilishe yawe kweli.
acha kujidanganya mimi nimefuga tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maelezo yako inaonyesha una mpango wa kufuga...lakini huna nguruwe. BTW hongera kwa maono uliyo nayo, ila yabadilishe yawe kweli.
Kwa maelezo yako inaonyesha una mpango wa kufuga...lakini huna nguruwe. BTW hongera kwa maono uliyo nayo, ila yabadilishe yawe kweli.
mimi nimefuga mkuu. kama huamini shauri ako!
Kwa maelezo yako inaonyesha una mpango wa kufuga...lakini huna nguruwe. BTW hongera kwa maono uliyo nayo, ila yabadilishe yawe kweli.
mimi siuzi kinda hata moja nimefungua baa yangu nauza nyama choma ya ngurue kilo sh. 10000. na vinywaji. na ngurue wangu ni wakubwa mno wanaweza kutoa hadi kilo 200 mpaka 250.
Una Nguruwe mia 30 then unasema unachinja Nguruwe mmoja kila siku...? Uongo kabisa. Alafu unasema una uwezo wa kuuza kilo 200 kwa siku ya nyama iliyochomwa? Uongo mkubwa sana kwa kigoma. Ni vema kuwa mkweli ili tuelimishane badala ya kudanganyana kama watoto hapa.
Nguruwe wa kilo 200? Nguruwe bora ni wale wa kilo 70-80 zaidi ya hapo mhhh. Anza huo mradi unalipa sana.
mimi siuzi kinda hata moja nimefungua baa yangu nauza nyama choma ya ngurue kilo sh. 10000. na vinywaji. na ngurue wangu ni wakubwa mno wanaweza kutoa hadi kilo 200 mpaka 250.
Mkuu,
Pamoja na kebehi zao, nakuunga mkono kuwa weye unajua unalo litenda. Nakuhakikishia kuwa, mimi ni mfugaji wa hicho kitu. Nina zaidi ya miaka 20 hakuna hata siku moja nimekosa kuwa na nguruwe 10m kwa banda langu.
Kifupi tu ni kwamba, nimejenga house, nimenunulia "magari", nimesomeshea watoto 3 wakafika chuo kikuu. Kama kuna mtu anayedharau mradi huo, atembee aone.
Nimewahi kufuga mpaka nguruwe 300 kwa mara moja
mimi siuzi kinda hata moja nimefungua baa yangu nauza nyama choma ya ngurue kilo sh. 10000. na vinywaji. na ngurue wangu ni wakubwa mno wanaweza kutoa hadi kilo 200 mpaka 250.
mkuu yalimo ..... Okay .... jibu na hayo maswali mawili .... breed gani ya nguruwe ukifuga wanafikia uzito Wa 200-250kg ...? wanatumia muda gani kufikia huo uzito?
Ni sawa ila nguruwe mmoja kutoa kilo 200-250 ni uongo