Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Kwa maelezo yako inaonyesha una mpango wa kufuga...lakini huna nguruwe. BTW hongera kwa maono uliyo nayo, ila yabadilishe yawe kweli.

mimi nimefuga mkuu. kama huamini shauri ako!
 
mkuu yalimo ..... breed gani hiyo ya nguruwe wanaofikia uzito Wa 200-250kg .... na hiyo ni kwa muda gani?..... nikiangalia idadi ya watoto anaozaa inanyesha hao nguruwe siyo wakubwa .... breed inayokuwa kubwa ni large white .... labda Eberhard aje atusaidie
 
Last edited by a moderator:

hahahaaaa unene na kuzaa havihusiani.
 
Last edited by a moderator:
HONGERA SANA DOGO, lakini chukua tahadhali bado ni mapema saana kusema hayo mm naamini hakuna biashara yeyote duniani haina changamoto zake kwani wewe sio wa kwanza kufunga nguruwe la sivyo kama growth ndio hiyo watu woote tungehamia huko,, sina nia ya kuku discourage ila kuwa makini endelea kumuomba Mungu, kuwa karibu zaidi na mradi wako, fatilia kwa waliokutangulia ni nini drawback , challenge zilizowasibu kukosa growth kama hiyo yako ,USIRIDHIKE KAMWE n.k
 
hahahaaaa unene na kuzaa havihusiani.

mkuu yalimo ..... Okay .... jibu na hayo maswali mawili .... breed gani ya nguruwe ukifuga wanafikia uzito Wa 200-250kg ...? wanatumia muda gani kufikia huo uzito?
 
Last edited by a moderator:
mimi siuzi kinda hata moja nimefungua baa yangu nauza nyama choma ya ngurue kilo sh. 10000. na vinywaji. na ngurue wangu ni wakubwa mno wanaweza kutoa hadi kilo 200 mpaka 250.

Kaka mimi ni mfugaji mwenzako na mimi nilichukua mbegu kutoka Sua nina mashaka makubwa sana kama una Nguruwe wa kilo 200 hadi 250.
 
Una Nguruwe mia 30 then unasema unachinja Nguruwe mmoja kila siku...? Uongo kabisa. Alafu unasema una uwezo wa kuuza kilo 200 kwa siku ya nyama iliyochomwa? Uongo mkubwa sana kwa kigoma. Ni vema kuwa mkweli ili tuelimishane badala ya kudanganyana kama watoto hapa.
 
Nguruwe wa kilo 200? Nguruwe bora ni wale wa kilo 70-80 zaidi ya hapo mhhh. Anza huo mradi unalipa sana.
 
duuu kumbe bora kuandika uongo humu jf kuliko ukweli. mimi ndo nimefuga na ni nguruwe wangu sasa unakataa nini? bored.
 
Nguruwe wa kilo 200? Nguruwe bora ni wale wa kilo 70-80 zaidi ya hapo mhhh. Anza huo mradi unalipa sana.

duuu bora kumwambia uongo binadamu kuliko ukweli. sasa unamashaka gani? kwani ngurue wangu umeshawaona? nawalisha haswa!
 
mimi siuzi kinda hata moja nimefungua baa yangu nauza nyama choma ya ngurue kilo sh. 10000. na vinywaji. na ngurue wangu ni wakubwa mno wanaweza kutoa hadi kilo 200 mpaka 250.

Acha uongo.. Hakuna nguruwe anaweza toa hizo kilo, huo ni uongo mtakatifu
 
Mkuu,
Pamoja na kebehi zao, nakuunga mkono kuwa weye unajua unalo litenda. Nakuhakikishia kuwa, mimi ni mfugaji wa hicho kitu. Nina zaidi ya miaka 20 hakuna hata siku moja nimekosa kuwa na nguruwe 10m kwa banda langu.
Kifupi tu ni kwamba, nimejenga house, nimenunulia "magari", nimesomeshea watoto 3 wakafika chuo kikuu. Kama kuna mtu anayedharau mradi huo, atembee aone.
Nimewahi kufuga mpaka nguruwe 300 kwa mara moja

Ni sawa ila nguruwe mmoja kutoa kilo 200-250 ni uongo
 
mimi siuzi kinda hata moja nimefungua baa yangu nauza nyama choma ya ngurue kilo sh. 10000. na vinywaji. na ngurue wangu ni wakubwa mno wanaweza kutoa hadi kilo 200 mpaka 250.

mkuu huo uzito ni pamoja na kichwa, utumbo ukiwa na uchafu wake na miguu? hii nayo inaliwa?
 
mkuu yalimo ..... Okay .... jibu na hayo maswali mawili .... breed gani ya nguruwe ukifuga wanafikia uzito Wa 200-250kg ...? wanatumia muda gani kufikia huo uzito?

Achana nae muongo huyo.. Anafikiri Nguruwe ni Ng'ombe atoe kilo zote hizo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom