Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Drinkers advert.png
 
Kwa wale wajasiriamali wanaohitaji kujiunga na group ya WhatsApp kwa masuala ya kijasiriamali nicheki 0762600100
 
Jaman wakuu Nguruwe wangu Kanenepa sana Hapati Joto nifanyeje?
 
TUNAUZA ''DRINKERS'' IMARA NA ZA KISASA ZA NGURUWE. Wasiliana nasi:0625504952
 
Hongera sana mkuu........nami nimeanza maandalizi ya kufuga huko Mlandizi ngoja nikumegee kidogo coz kote ni Pwani

Mimi nilijenga Mlandizi vyumba vitatu na kachoo ka ndani
Gharama za kunyanyua boma hadi juu zilikua 2,900,000
kuezeka njikusanya ila estimate ni 1,900,000
Mabanda bado sijaanza mkuu

Ngoja waje wa huko Mkuranga wanaweza kukupa gharama za kule maana Mlandizi mchanga nilichukua kwa elf 50 per trip.
 
Hongera sana mkuu, kama mkuranga na una heka zote hizo kwanini usitafute vijana wakafyatua tofali zikachomwa ukapata matofaki mengi kwa gharama nafuu? hapo ni kama udongo wa huko unafaa kwa tofali. Kumbuka hapo itabidi ujenge na sehemu ya kuhifadhia chakula na vitu vingine, haitakua vyumba viwili tu chako na cha kijana.

Umeongelea uchimbaji wa kisisma, maji yanapatikana hilo eneo? na kama yanapatikana ni kwa umbali au kina gani?
Chakula cha hiyo mifugo na mahitaji mengine umeshafanya utafiti kuona vinapatikana wapi na kwa gharama gani kutoka hilo eneo unalotaka kuweka mradi?

Ungeanza kwanza kwa kuangalia mahitaji ya mradi na namna utakavyohudumia ili uone kama unaweza kufuga huko ama utafute eneo lililo karibu na mahitaji ili kupunguza gharama za uendeshaji.

Hongera kwa wazo zuri.
 
Jm forum kwa fikra angavu kuna thread humu unazisoma mpaka mwili unasisimka aise
 
Back
Top Bottom