Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Hii mbegu ni adimu na order ni ndefu. Shamba ipo morogoro na ukinunua unawafuata hapo at your own costs.Sehemu zingine za nchi bado hawajazalishwa.Waweza wasiliana nasi kwa 0789412904 kwa order za July,August na September. Hatuna wenye mimba bado,tunauza wakiwa na umri wa week 8-10.
 
Habari zenu wakuu nadhani wote ni wazima humu ndani, lengo na dhumuni kupata mchanganuo wa ufugaji wa nguruwe kwa 3ml kuanzia mabanda hadi chakula pamoja na madawa.
 
Wakuu ninauza Nguruwe wa saizi zote, kuanzia Mtoto wa miezi mitatu hadi nguruwe mkubwa mwenye Mimba...mbegu ni large white. Bei ya kawaida sana, kuanzia 45,000/=....shamba lipo kigamboni karibuni sana

0688407542
aee44eea12045bef26a953123d1f9cae.jpg
183bcae0ad7898b8eed4f8a9b2d23f6f.jpg
c03b7c7625e93e02e443aaed36dbcbfc.jpg
4df5888972cf6b8d9741caa39fc1489e.jpg
f894df459dd5eae71f4d7e37b8f1129f.jpg
d2fc8069aa53f76e5d27b6589a813b62.jpg
 
Uwezo wa nguruwe kuhimili (ku_regulate body temperature) katika mazingira ya jua kali ni mdogo ukilinganisha na wanyama wengine kama vile ng'ombe.

Hali hiyo inamfanya asiwe comfortable na ikapelekea ama akapunguza kiwango cha chakula anachokula (feed intake) au kiwango cha umeng'enywaji wa chakula mwilini kikapungua (reduced digestibility) kwa sababu mwili unafanya kazi kwa ufanisi zaidi katika kiwango chake cha kawaida cha joto (optimum temperature).

Hali hii kimsingi itasababisha kupungua kwa kiwango cha ukuaji (ambako ndio kudumaa).

Kwa maelezo hayo, jibu langu kwa swali lako ni NDIO.

Na ndio maana huwa tunashauri banda lijengwe sehemu angalau yenye kivuli, na juu liwe na paa la kuzuia jua kali, usiwaanike nguruwe (na mifugo mingine pia) kama solar panels.

Ufugaji mwema.
Asante mkuu
 
Hii mbegu ni adimu na order ni ndefu. Shamba ipo morogoro na ukinunua unawafuata hapo at your own costs.Sehemu zingine za nchi bado hawajazalishwa.Waweza wasiliana nasi kwa 0789412904 kwa order za July,August na September. Hatuna wenye mimba bado,tunauza wakiwa na umri wa week 8-10.
Hao wa wiki 8 bei gani
 
Back
Top Bottom