Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wa nguruwe huu,ukiitaji kujua kuhusu shamba njoo pmFafanua hayo mashamba ni mazao gani yanasitawi Huma?
Unawauza tsh ngapi ndugu?Pia nauza piglets wa miezi mitatu. Nipo Mwanza
Unawachanganyia kwenye chakula gani?Nilianza kufuga nguruwe Sep. 2019, nilianza na nguruwe 11 ila watatu ni kama wamedumaa naombeni msaada wa kuwafanya afya yao iwe vizuri?
NB: Ni mgeni kabisa kwenye ufugaji hata formula ya chakula huwa nagoogle ila nawachanganyia viru kama Pig boost hivi karibuni nimeanza kuwachanganyia pig extra.
Unawachanganyia kwenye chakula gani?
Au wana minyoo!
Mkuu, huo mchanganyiko uko vizuri, na dawa ya minyoo umesema umewachoma wiki mbili zilizopita, subiri matokeo, au ndiyo miili yao tu,Formula ya chakula huwa nachanganya vitu vifuatavyo
- Pumba za mahindi,
- Mahindi yaliyobaraswa,
- Mashudu ya Alizeti
- Dagaa
- Damu iliyokaushwa (Muda mwingine)
- Chokaa ya Wanyama
- Chumvi
Dawa ya Minyoo wamechomwa week 2 zilizopita
Shukurani sana Mkuu nitaleta mrejesho.Mkuu, huo mchanganyiko uko vizuri, na dawa ya minyoo umesema umewachoma wiki mbili zilizopita, subiri matokeo, au ndiyo miili yao tu,
Si unajua penye mamba na kenge hawakosi!
Haramu kwako halali kwa mwingine shekheastaghafirllah wewe unaleta ukafir humu tutakutangazia expire date yako...naanza nimesema mwisho wa kupost haram zako ni mwaka huu....nitakushtakia kwa muumbaji wa vidole na mdomo wako ili aone unavyodhulumu watu
Uko wapiNjoo nikuzie shamba laki mbili kwa eka tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mkuu, huo mchanganyiko uko vizuri, na dawa ya minyoo umesema umewachoma wiki mbili zilizopita, subiri matokeo, au ndiyo miili yao tu,
Si unajua penye mamba na kenge hawakosi!
uko wap mkuu?Njoo nikuzie shamba laki mbili kwa eka tu
Asante kwa kuufanya uzi usipotee![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Niko dar ila shamba liko mbele ya msatauko wap mkuu?
Kwa wastani nguruwe anaweza kula kilo ngapi kwa mwaka ?1.Nguruwe anachukua miezi 6 mpaka 12 mpaka kufikia uzito wa kutosha (inategemeanan na malisho)
2.Inategemeana na nafasi yako, ukiwa upo pale full time, wapagazi watatu ni more than enough (kumbuka usipokuwapo watu wanakuwa na uzembe flan). mimi nnao sita chini ya usimamizi mkali.
3.inategemea uko wapi. huku kwetu hata kama haulimi gunia la pumba za mahindi ni Tsh 10,000/=! mashudu ya alizeti gunia ni 20,000/=!
4. Ekari moja wanakaa kwa amani yote. ni vizuri kuwa mbali na makazi ya watu.
5. inategemea uko wapi. kwangu mm nauwezo wa kuuza nguruwe 200 kwa mwezi bila shida. watoto inasumbua kidogo kwa sababu wananunua wafugaji, ukitaka kuwauza kwa urahisi wakuze mpaka miezi mitatu hv.
6. Minyoo na ukurutu. Kikubwa ni chanjo na usafi wa hali ya juu KILA SIKU (nguruwe ni msafi sana akitunzwa, wa kwangu nikimkuta sebuleni nacheka tu-ni WASAFI kama pet)
Nguruwe wanahitaji usimamizi wa karibu sana, uwajue kwa namba ili uweze kufuatilia maendeleo yao kila asubuhi. Ukiona mnyama mmoja amezubaa mwite doctor haraka sana. usiachie wasaidizi kila kitu, kuwa makini na kuhakikisha wanapata milo miwili ya kutosha bila kusahau vegs. nguruwe wanapenda maji-usiwanyime starehe ya kwa kuwabananisha hawatanenepa vya kutosha. Nguruwe ana uwezo wa kuzaa mara mbili kwa mwaka. Mimi sijasoma kilimo na mifugo, ni ubishi tu na kuthubutu vilivyoletwa na maisha magumu. MUHIMU UKUBALI KUKAA SHAMBA, JF UIPATE KWA TTCL NA SOLLAR!
Ukipandisha jike na dume ambao ni ndugu, kuna uwezekano wa haya kutoke;Habari wakuu, naomba kujua ukweli apa nasikia ukipandisha jike kwa dume waliozaliwa mama mmoja watoto watakao zaliwa wanakufa muda mfupi baada ya kuzaliwa.