Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Kaka though wengi wamechangia,nami pia nichangie kidogo.Mie nafuga for the past 8 months na nalima pia

1. Gharama kubwa ya ufugaji nguruwe ni chakula (about 80%) especially kama unafuga huku pwani. ni vema kama waweza kulima mahindi,matango,maboga,alizeti au hata mtama gharama zitashuka sana. Kwa sasa hv kama unanunua chakula kilichochanganywa (pumba pekee haitoshi,unahitaji madini,protein etc) ina average shs.600,000 per tonne.Nguruwe mmoja mkubwa anakula 2-3kg za hiyo complete ration. Ukichanganya mwenye (unahitaji formula) inaweza kuwa about tshs.400,000. Kama unalima hayo mazao hapo juu ni way cheaper.
Kwa hiyo nguruwe 20 watakula a minimum of 1200kg per month.upo kaka!!,Nguruwe 200 inakuwa=....
2.Band sio expensive sana lakini ukiwa nao wengi ni considerable cost! Banzi 1 wanauza 3000/-
3. Unahitaji kuwa na daktari wa wanyama karibu au ambae anaweza kutembelea regularly. Ukipata uzoefu haitakuwa mara kwa mara only unapokuwa na case za ugonjwa
4. Kwa mtu ambaye unaanza project hii naungana na ushauri wa kuanza na wa 5. Itakupa opportunity ya kupata uzoefu uzoefu ukiwa na wachache na waweza kuwamudu kirahisi unless kama utaajiri mtaalamu. Ukipata mbegu ambayo ni prolific hao watupa watoto wasipopungua 35! Ukiona mambo yanaenda vizuri baada ya miezi 6 waweza kuongeza wengine. Hiyo ya kuanza na wengi ni kama una mtaalamu au ww upo fulltime.
Pia nashauri kuanza na nguruwe wenye mimba za kwanza au pili. Tembelea wafugaji,chagua mbegu nzuri, then mwambie akupandishie. Wachukue nguruwe wakiwa na mimba za miezi 2 na dume mmoja wa miezi 8-12. Nguruwe huzaa baada ya miezi3 week3 siku 3. Unawanyonyesha piglets kwa 6-8 weeks halafu unawaachisha. Nguruwe huhitaji dume siku 5 baada ya kuachisha watoto kama alikuwa analishwa vizuri. Baada ya mwaka mmoja utakuwa na nguruwe zaidi ya 80. Karibu kaka.
 
Wasalaam.

Mwisho wa siku, wakati wa mavuno, kwa wastani, nguruwe mmoja anauzwa bei gani?
 
Ufugaji wenye tija huanza kwa kuchagua mbegu(breed) ya ngururuwe nzuri nashauri utafute large white au landrace(wenye masikio yaliyo lala) weupe ni vizuri kuchagua jike mwenye chuchu zisizo pungua 12,hii ni dalili ya kwanza ya mzao bora.
Ni vizuri kuwalisha nguruwe chakula chenye mchanganyiko wenye virutubisho vyote,mara nyingi vyakula tunavyolisha vinakuwa havina mchanganyiko wa virutubisho vyote hivyo wape madini na vitamin maalum za viwandani kama nguruwe/pig mix,pigboost,vikuzi(growth promoters)-kwa nguruwe wadogo kwa ajiri kumnenepesha na kuimalisha mifupa yake.Wakiwa wadogo kwa umri wa siku 3-5 wapigwe sindano ya kuzuia upungufu wa damu(irondextran),watakavyo kuwa wakubwa wapewe dawa za vitamin na minyoo kila baada ya miezi mitatu,pamoja na mambo mengine waliyosema wadau,banda ninashuri la mabanzi ambayo yanapatikana kwa wingi mikoa ya kusini kwa bei ndogo sana labda chini ya 200,inategemea na eneo ulipo.
 
Kaka though wengi wamechangia,nami pia nichangie kidogo.Mie nafuga for the past 8 months na nalima pia

1. Gharama kubwa ya ufugaji nguruwe ni chakula (about 80%) especially kama unafuga huku pwani. ni vema kama waweza kulima mahindi,matango,maboga,alizeti au hata mtama gharama zitashuka sana. Kwa sasa hv kama unanunua chakula kilichochanganywa (pumba pekee haitoshi,unahitaji madini,protein etc) ina average shs.600,000 per tonne.Nguruwe mmoja mkubwa anakula 2-3kg za hiyo complete ration. Ukichanganya mwenye (unahitaji formula) inaweza kuwa about tshs.400,000. Kama unalima hayo mazao hapo juu ni way cheaper.
Kwa hiyo nguruwe 20 watakula a minimum of 1200kg per month.upo kaka!!,Nguruwe 200 inakuwa=....
2.Band sio expensive sana lakini ukiwa nao wengi ni considerable cost! Banzi 1 wanauza 3000/-
3. Unahitaji kuwa na daktari wa wanyama karibu au ambae anaweza kutembelea regularly. Ukipata uzoefu haitakuwa mara kwa mara only unapokuwa na case za ugonjwa
4. Kwa mtu ambaye unaanza project hii naungana na ushauri wa kuanza na wa 5. Itakupa opportunity ya kupata uzoefu uzoefu ukiwa na wachache na waweza kuwamudu kirahisi unless kama utaajiri mtaalamu. Ukipata mbegu ambayo ni prolific hao watupa watoto wasipopungua 35! Ukiona mambo yanaenda vizuri baada ya miezi 6 waweza kuongeza wengine. Hiyo ya kuanza na wengi ni kama una mtaalamu au ww upo fulltime.
Pia nashauri kuanza na nguruwe wenye mimba za kwanza au pili. Tembelea wafugaji,chagua mbegu nzuri, then mwambie akupandishie. Wachukue nguruwe wakiwa na mimba za miezi 2 na dume mmoja wa miezi 8-12. Nguruwe huzaa baada ya miezi3 week3 siku 3. Unawanyonyesha piglets kwa 6-8 weeks halafu unawaachisha. Nguruwe huhitaji dume siku 5 baada ya kuachisha watoto kama alikuwa analishwa vizuri. Baada ya mwaka mmoja utakuwa na nguruwe zaidi ya 80. Karibu kaka.

Good darasa kaka.
 
Asante sana mkuu kwa elimu hii
 
WE JAMAA NI choko, NILIKUTUMIA PM KUWA TUBADILISHENE MAWAZO KUHUSU HUU MRADI KWAKUWA MI MWENYEWE NATAKA KUANZA KUFUGA LAKINI HUJANIJIBU MPAKA LEO, NA NI WIKI IMEPITA. MA$ABURI YAKO

Mmmmhhh malalamiko yako ni ya kweli umenitumia pm but mpaka time hii sijakujibu..Ndg yangu haimaanishi kuwa nimedharau au namna gani nilijaribu kureply lakini sikuwa nimetimiza vigezo na masharti ya JF when it comes to pm..Sijafurahishwa na kitendo chako cha kutokuwa na busara na kuamua kunita choko let me assume kuwa jazba tu zilikuzidi na sio tabia yako hivyo ulimi uliteleza..then tukiwa tunabadilishana huo uzoefu kwenye hizo pm unadhani wengine watanufaikaje? What if this man called Malafyale angeni pm watu wangeona details alizotoa? Let us share ideas and experiencies publically ili kila mmoja anufaike then jazba sio issue..
 
You've shown maturity, Big up.
 
You've shown maturity, Big up.

Very much indeed! Bila shaka utafanikiwa hata kwenye huo mradi wako kwani inaonekana wisdom ipo. Kuna watu hawakutukanwa wao lkn wamejibu matusi uliyetukanwa umetoa msamaha before kuombwa samahani hakuna sbb ila ni maturity kama alivyocomment baba v.
 
Natafuta vitoto viwili vya nguruwe dume na jike

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Baada ya kupata idea ya ufugaji kitimoto hapa JF niliamua kutafuta zaidi namna ya ufugaji wa hawa kitimoto. Niliamua kwanza kutembelea wafugaji wa kuu wa kitimoto hapa morogoro, ambao ni SUA , Magereza Kingulwira na Pangawe kwa Mkorea. nilivutiwa zaidi na Mkorea wa pangawe kwani yeye anafuga kiasili na kutunza mazingira. baada ya hapo niliamua kuingia mtandaoni na kuona huko korea wanafugaje hawa kitimoto.

wanafuga bila ya kuweka sakafu , chumba anachoishi huanza kwa kuchimba chini cm 100 - 120 na humo ndani ya shimo unaweka majani makavu, pumba za mpunga na randa za mbaokwa kuchanganya ujazo wa cm 30 -40 na nguruwe huishi juu ya mchanganyiko huu,hapo hakutakuwa na harufu ya aina yeyote toka ndani ya banda.

Pia ufugaji huu hauhitaji usafishaji wa banda kwani kinyesi hujichanganya na mchanganyiko uliowekwa huja kutolewa baada ya miaka 3 kwa kupata mbolea iliyobora kabisa kwa kilimo cha aina yeyote.

View attachment 131822

kwangu mimi nilianza na ngutuwe 30. kumi madume ya kuchinja, 2 madume ya mbegu na 18 majike ya kuzalisha na mpaka sasa yote yanamimba tayari. hapa nakuonyesha ufugaji huu ulivyo kwa namna mbalimbali.View attachment 131831 IMG_20140109_134924809.jpgIMG_20140109_131508880.jpgIMG_20140109_132126139.jpgIMG_20140109_131423548.jpgIMG_20140109_131410251.jpgIMG_20140109_131458707.jpgIMG_20140109_131321445.jpgIMG_20140109_130855191.jpgIMG_20140109_131146852.jpgIMG_20140109_130719603.jpgIMG_20140109_130829843.jpgIMG_20140109_131052045.jpgIMG_20140109_134228776.jpgIMG_20140109_130632260.jpg

Pamoja na kuwa mpaka sasa ninamuda wa miezi 6 ya ufugaji lakini nimeona tofauti kadha katika ufugaji wa aina hii
1. Gharama ndogo za uendeshaji kwani mpaka sasa nina mfanyakazi mmoja tu na anawamudu vizuri
2. zaidi ya kuchoma dawa za minyoo hakuna dawa nyingine ninazowapa na hawajapata gonjwa lolote hii ni sababu ya kuishia kiasili kwa kunusa udongo ambao wakolea wanasema unampunguzia magonjwa
3. Naishi ndani ya kijiji na nimezungukwa na watu wa dini na imani tofautitofauti lakini sijawahi pata lalamiko lolote kwani hakuna halufu inayotoka na nivigumu hata kwa bahati mbaya nguruwe kutoka nje maana anaishi ndani ya shimo.
4.Nimeweza vuna maji mengi toka kwenye paa la nguruwe na kuhifadhi zaidi ya lita 100,000
5. Kwakuwa pia nalima ninauhakika wa mavuno mazuri yanayotokana na mbolea ninayopata kwenye kitimoto hawa kiasi cha kuweza kuwalisha kwa mwaka mzima.

kwa manufaa haya naweza sema mazingira yangu nayatunza vizuri kutokana na ufugaji wa aina hii
Ebarhad
 
Kuanzia miezi mitatu naitaji wawili dume na jike iitakuwa sh ngapi?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Huu ni utaalam mzuri, ngoja nimuonyeshe huby nitarudi baadae na maswali zaidi
 
Baada ya kupata idea ya ufugaji kitimoto hapa JF niliamua kutafuta zaidi namna ya ufugaji wa hawa kitimoto. Niliamua kwanza kutembelea wafugaji wa kuu wa kitimoto hapa morogoro, ambao ni SUA , Magereza Kingulwira na Pangawe kwa Mkorea. nilivutiwa zaidi na Mkorea wa pangawe kwani yeye anafuga kiasili na kutunza mazingira. baada ya hapo niliamua kuingia mtandaoni na kuona huko korea wanafugaje hawa kitimoto.

wanafuga bila ya kuweka sakafu , chumba anachoishi huanza kwa kuchimba chini cm 100 - 120 na humo ndani ya shimo unaweka majani makavu, pumba za mpunga na randa za mbaokwa kuchanganya ujazo wa cm 30 -40 na nguruwe huishi juu ya mchanganyiko huu,hapo hakutakuwa na harufu ya aina yeyote toka ndani ya banda.

Pia ufugaji huu hauhitaji usafishaji wa banda kwani kinyesi hujichanganya na mchanganyiko uliowekwa huja kutolewa baada ya miaka 3 kwa kupata mbolea iliyobora kabisa kwa kilimo cha aina yeyote.

View attachment 131822

kwangu mimi nilianza na ngutuwe 30. kumi madume ya kuchinja, 2 madume ya mbegu na 18 majike ya kuzalisha na mpaka sasa yote yanamimba tayari. hapa nakuonyesha ufugaji huu ulivyo kwa namna mbalimbali.View attachment 131831View attachment 131834View attachment 131836View attachment 131835View attachment 131838View attachment 131839View attachment 131840View attachment 131841View attachment 131842View attachment 131843View attachment 131844View attachment 131846View attachment 131849View attachment 131848View attachment 131847

Pamoja na kuwa mpaka sasa ninamuda wa miezi 6 ya ufugaji lakini nimeona tofauti kadha katika ufugaji wa aina hii
1. Gharama ndogo za uendeshaji kwani mpaka sasa nina mfanyakazi mmoja tu na anawamudu vizuri
2. zaidi ya kuchoma dawa za minyoo hakuna dawa nyingine ninazowapa na hawajapata gonjwa lolote hii ni sababu ya kuishia kiasili kwa kunusa udongo ambao wakolea wanasema unampunguzia magonjwa
3. Naishi ndani ya kijiji na nimezungukwa na watu wa dini na imani tofautitofauti lakini sijawahi pata lalamiko lolote kwani hakuna halufu inayotoka na nivigumu hata kwa bahati mbaya nguruwe kutoka nje maana anaishi ndani ya shimo.
4.Nimeweza vuna maji mengi toka kwenye paa la nguruwe na kuhifadhi zaidi ya lita 100,000
5. Kwakuwa pia nalima ninauhakika wa mavuno mazuri yanayotokana na mbolea ninayopata kwenye kitimoto hawa kiasi cha kuweza kuwalisha kwa mwaka mzima.

kwa manufaa haya naweza sema mazingira yangu nayatunza vizuri kutokana na ufugaji wa aina hii
Ebarhad
Code:
[/QUOTE]
Hongera bwana Fuchi.
Nmeona pia kuna mkorea jirani anafuga hivyo..mi nafuga kwa kuweka sakafu lakini nimeadhimia kujaribu hiyo technique kwa mabanda mengine ninayotegemea kujenga hivi karibuni.
Nakubaliana na ww hiyo technique ni labour economy
 
Hapo kwenye hilo shimo hapalowi au kuweka unyevu unyevu?
 
Back
Top Bottom