Malila nadhani ungem PM mkawasiliana na kumsaidia mkuu kwenye hio project yake. Najua wewe ni mtaalamu wa fani hiyo hivyo fanya kazi yako kwa kumsaidia vizuri na kumpa maelekezo yote juu ya ufugaji samaki wa aina mbali mbali na maeneo mbali mbali.
mkuu nimeku pm. Je umepata? na shida sana na huyo bwana samaki.
Hapana mkuu ku Pm hapa sio sawa cos hii ni jamii tuko wengi tunaobenefi kwenye haya maelezo na uchangiaji wa hawa ndugu huku kama mimi nilikua nafikiria kuanza ila nilikua sijui maeneo ya kununua lakni hapa kidogo nimeanzakupata msaada kwahio nashauri waendelee kujibizana live ile na sisis wengine tuelewe, ku PM ni confidencial info tu pleaseMalila nadhani ungem PM mkawasiliana na kumsaidia mkuu kwenye hio project yake. Najua wewe ni mtaalamu wa fani hiyo hivyo fanya kazi yako kwa kumsaidia vizuri na kumpa maelekezo yote juu ya ufugaji samaki wa aina mbali mbali na maeneo mbali mbali.
Naomba nichangie mawili matatu,
Kabla hujaenda huko kwa watalaam, je eneo lako lina maji ya namna gani? Yanatiririka, yatakuwa ya kutuama, au ya kuleta kwa pampu/mfereji, je yamewahi kutokea mafuriko/au huwa yapo, ardhi ni mali ya nani/.Aina ya udongo uliopo ktk eneo lako.
Haya maswali lazima utaulizwa huko kwa watalaam. Nimeweka red kama tahadhali, nina rafiki yangu Isele Mkuranga, alipata mkondo mzuri wa maji bure, akafanya vitu vyake kitalaam,mavuno ya kwanza yakawaamsha waliolala,hawataki jamaa apanue biashara yake,kuuza hawataki, na wao kufuga hawawezi.
nipm nikupe contact za afisa uvuvi mtaalam sana ye nimstaafu kwa sasa wengi anawafanyia hizo kazi but yupo Iringa town
hizo mbegu unazipanda au
Mkuu pale moshi gereza la karanga wanauza mbegu ya samaki perege na wakubwa wake jamii ya sato (Nile perch)
okay ningekushauri fuga kambale (cat fish) ufugaji wake ni rahisi, wanazaana sans na mavuno ni ndani ya muda mfupi
hivi mjini kuna watu wanakula hao samaki?
Hebu acha kujishauwa wewe unaishi mji gani? Ni stockholm au London?
Maana usiniambie Dar mji ambao watu wanakula mpaka vichwa vya kuku, miguu ya kuku, utumbo wa kuku, pumbu za mbuzi, pumbu za ng'ombe, kwato za wanyama, mikia vichwa na ulimi.
Hapana, unaziKWEA....
Mkuu pale moshi gereza la karanga wanauza mbegu ya samaki perege na wakubwa wake jamii ya sato (Nile perch)
okay ningekushauri fuga kambale (cat fish) ufugaji wake ni rahisi, wanazaana sans na mavuno ni ndani ya muda mfupi
Kuna kampuni kibaha nimesahau jina fuatilia tena na soko wanakupa wao.
Habari Wadau,
Naomba kujuzwa au anae dili na kuuza samaki yaani mbegu kwa ajili ya kufuga. naitaji sato.
au aina nyingine yoyote iliyo nzuri kufuga kwenye mabwawa hapa dar.
Hapana, unaziKWEA....
Ni jengo gani hapo Sokoine niweze kwenda kuwatembelea?mkuu hapa njoo hapa sokoine kuna hatchery unit watakuuzia na pia utapata ushauri wa kitaalamu...
faith aquaculture wapo kibamb, eden wapo chanika. Ulipata ushauri wa kitaalam wa kufuga samaki?Habari Wadau,
Naomba kujuzwa au anae dili na kuuza samaki yaani mbegu kwa ajili ya kufuga. naitaji sato.
au aina nyingine yoyote iliyo nzuri kufuga kwenye mabwawa hapa dar.