minzemanonu
Senior Member
- Nov 15, 2015
- 143
- 194
Uko wapi mkuu? maana kuna kampuni ina vyakula vya fingerlings huko Arusha, lakini kwa bei zao ndio shughuli sasa, au uagize mwanza.Nishaweka oda ya vifaranga. Sasa nasaka chakula cha fingerlings. Ni adimu sana kwa sababu ya Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei zimechangamka sana. Nilipata powder Mwanza 43000/= mfuko wa kilo 10. Jumlisha usafiri 5000/=Uko wapi mkuu? maana kuna kampuni ina vyakula vya fingerlings huko Arusha, lakini kwa bei zao ndio shughuli sasa, au uagize mwanza.
Maji yenye chumvi kidogo hiyo yanafaa kwa ufugaji, ni kama maji ya wafugaji wangu wa wilaya ya Same maji ni ya chumvi kiasi, lakini samaki wanakua tu.Nataka kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki hasa mkoa wa Dodoma. Najua kuna changamoto ya maji lakini naomba ushauri, maji yenye chumvi kidogo yanafaa kufuga samaki.
Nataka kuchimbwa bwana pia, naomba minimum estimates za kutengeneza just a local pond kwa ajili ya samaki (Sato) 1,000 au kambale 500
Ngoma ndio huwa iko hapo, japo kitaalam vyakula vya kiwandani vinafanya vizuri sana kwa samaki.Bei zimechangamka sana. Nilipata powder Mwanza 43000/= mfuko wa kilo 10. Jumlisha usafiri 5000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi. Ila nataka wakiwa wadogo angalau niwape formula ya kiwandani kwa mwezi mmoja halafu ndio nianze kutengeneza mwenyewe.Ngoma ndio huwa iko hapo, japo kitaalam vyakula vya kiwandani vinafanya vizuri sana kwa samaki,
Unaweza kutengeneza hata Local fish foods, kwa kutafuta mchanganyiko wa materials kutoka kwa wataalam mbalimbali.
Kwa samaki naona kama Pwani na Dsm ndio zinaongoza. Sina takwimu rasmi ila kwa haraka haraka hawana mpinzani TzMimi ningependa kujua mikoa gani inajihusisha na fisheries most??
bee keeping???
Forestry??
livestock keeping?
msaada wadau,nimegoogle naona research za watu tuu..hakuna jibu la moja kwa moja
Wanakuja mkuu! Kwani huko mkoa gani?Natafuta wauzaji wa sato au perege
Dar mwengeWanakuja mkuu! Kwani huko mkoa gani?
Mkuu kambale ninao Tena wako live wako wengi Sana mmoja ntakuuzia buku jero Ni wakubwa Sana sema unahitaji wangapi shamba linapatikana Mkata -Tanga 0657999034Nimetangaza bingo kwa machalii fulani kwamba mtu akiniletea kambale hai hata kama ni mdogo vipi nampa buku tano. Nawatafuta sana hawa samaki. Nimepata sato ila kambale bado. Mategemeo ni makubwa,nikishindwa kuwapata mitaani, nitawafuata mbegani, wapo kule.
Unahitaji kilo ngapi?Dar mwenge
na mm nasubiri majibu hayaHabari yako Mkuu unaweza kunipa msaada wa mawasiliano wa huyo muhusika kutoka Kinguruila gerezani anayeuza kambale kwa tsh 30 maana nimetokea kuvutiwa na bei yake nzuri asante sana.
Mimi ningependa kujua mikoa gani inajihusisha na fisheries most??
bee keeping???
Forestry??
livestock keeping?
msaada wadau,nimegoogle naona research za watu tuu..hakuna jibu la moja kwa moja
Uko mkoa gani?
Mkuu ukiulizwa uko mkoa gani sio vibaya, ujue kwenye kumpigia mahesabu ya uchimbaji wa mabwawa mtu sisi kama wataalam wa samaki kuna vitu huwa tunaangalia.Weka estimate bwashee