Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
Mradi wa samaki ni ishu bomba sana ukilenga mahali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu habari za muda huu, nimefanya tafiti ya wafugaji wengi wa samaki hupendelea kufuga sato na kambale, sijabahatika kuona sangara. Mwenye utaalamu na hili anijuze je, sangara hawafugiki kwenye mabwawa ya kujengwa kwa cementi?
Honger, unafugia mkoa gani natak nijifunze maana huku niliko sijui barid mno miezi 6 still wadogo.!Aisee mimi nafanya ufugaji wa samaki wanalipa sana ila mitaji tu ni changamoto ili mtu uweze kuzalisha kwa wingi inahitaji eneo kubwa udril kisima kama una changamoto ya maji,ila kiufupi tu ni biashara inalipa kuliko ufugaji wa kuku,hao samaki wanaonekana Wana miezi 6/View attachment 2501235
Yeah ni kweli kabisa then hata ulishaji wa sangara wanahitaji nyama sanaNilimuuliza mtaalam, fulani akanijibu kuwa Sangara hafugiki kwasababu ni ambae anahitaji kutembea masafa marefu sana anahitaji eneo kubwa kumfuga.
Samaki wanaofugwa kwa Tz ni Sato/perege (Tilapia) na kambare kwa maji baridi kwa maji chumvi ni Prawns, Milky fish (Mwatiko) na kaa
Aisee mimi nafanya ufugaji wa samaki wanalipa sana ila mitaji tu ni changamoto ili mtu uweze kuzalisha kwa wingi inahitaji eneo kubwa udril kisima kama una changamoto ya maji,ila kiufupi tu ni biashara inalipa kuliko ufugaji wa kuku,hao samaki wanaonekana Wana miezi 6/View attachment 2501235
Kiwango cha chini kabisa ni nguvu kazi yaani watu wa kukuchimbia bwawa charging ni kulingana na eneo na vifaranga ni kulingana na ukubwa wa bwawa pia uwe angalau 1000,000-1,500,000Mm napenda na nataman sana kufuga samaki pamoja na kuku!!
nikitaka kufuga samaki kuanzia kujenga bwawa inatakiwa niwe na kias gan kwa kuanzia kiwango cha chini?
Sato umewapata wapiNimetangaza bingo kwa machalii fulani kwamba mtu akiniletea kambale hai hata kama ni mdogo vipi nampa buku tano. Nawatafuta sana hawa samaki. Nimepata sato ila kambale bado. Mategemeo ni makubwa,nikishindwa kuwapata mitaani, nitawafuata mbegani, wapo kule.
Unahitaji mbegu ya Sato?Sato umewapata wapi
Unahitaji mbegu ya Sato?Sato umewapata wapi
Vizimba vya namna hii bei yake imekaaje? Naweza kuvipata wapi? Elezea kidogo hapo ndugu
View attachment 2484028View attachment 2484029View attachment 2484030View attachment 2484031View attachment 2484033View attachment 2484034
Tani 25 chakula cha samaki toka zimbabwe...
Hahaha, vizimba unatengenezea PM?Njoo pm nikutengenezee vizimba
Fugia ziwani ndugu, achana na mabwawaHii kitu itakuwa hailipi mkuu. Ndiyo maana tangu 2010 watu wanaelezea matamanio yao tuuuu ya kufuga lkn hatuoni shuhuda za mafanikio. Washauri Ni weeeengi hatari.
Waliowahi kuingia field hii wanasema ufugaji wa samaki usikie tu. Kuna changamoto lukuki. Kulana zenyewe kwa zenyewe, unalisha miezi 6 lkn size haiongezeki, samaki kunuka tope na hivyo kukataliwa na wateja, magonjwa, udongo kuwa na madini sumu yanayouwa ama kudumaza samaki n.k
Ndiyo maana humu huoni mamilionea wakiibuka kupitia ufugaji wa samaki.
Imagine tangu 2010 ni swaga tuuuu.