Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Si wote wanaoingia JF; hivyo yeyote mwenye maandiko kwenye fomati ya vitabu ni vyema vikasambazwa kwa wale ambao hawwana access ya internet ili twende nao sambamba kwenye kupeana elimu.

Binafsi kuna mtu nilimpatia nakala ambazo nilidowload; kwa kuwa yeye ana muda wa kushughulika na kazi hiyo, ndani ya mwaka mmoja nimemkuta ana kuku wa kienyeji zaidi ya 1500 na kwa kudhamini msaada nilompatia (wa hizo chapisho) kanipatika kuku 11 kama shukrani.
 
siwezi kuyauza ninatoa bure kusaidia watu wenye interest, sina tatizo la kuuza vitu kama hivyo ninafanya hivyo kama kuwasaidia wenye nia ya kubadilisha maisha yao. Kuna baadhi ya watu nimeshawatumia bure ila kwa mwenye kuhitaji serious tu. Kwani tuna ugomvi kaka mbona kama hutaki nifanye wema mmenizoea jukwaa lile tu mnaona kila kitu ni naniliu

Napenda kupata cha ufugaji wa kuku
 
mkuu uko sawa kabisa...sasa shida iko kwa hao jamaa wa SIDO wataielewa hiyo machine au ndio wewe itabidi uwafundishe...nikwambie kitu mimi ni mmoja wa wanaofikiria kufuga samaki hasa tilapia......mpango wangu ni kutumia plastick tank shida ipo kwenye wapi nitapata water pump nzuri ya kuingiza hewa kwenye maji, pili ni hiyo machine ya kutengeneza floating pelletes...niko dar uhakika wa maji na eneo dogo la kukaa fish tanks kama tano ninao...msaada kidogo au unanishauri

Binafsi sikushauri kufuga tilapia kwa 7bu wameshawatoa nishai wafugaji wengi kwa kuzaliana hovyo na kudumaa unakuta 6months bado wana 100g. Labda uwachanganye na African catfish.

Kulingana na mazingira uliyopo mie naona ungefuga ornamental fish alafu utengeneze na aquarium inaweza kukulipa vzr zaidi. Ni vema ukitembelea wafugaji wengne ujifunze changamoto kabla hujaanza.

Kuhusu SIDO ni suala la kuwapa maelezo ya kitu tunachotaka na kuwaonesha picha na video za hizo machine za wenzetu jinsi zinavyofanya kazi (video kibao zipo youtube) na pellets zenyewe then wao watatumia ujuzi na vipaji vyao kubuni wanaweza sana.
 
HABARI WADAU..KUMEKUA NA TATIZO LA.KUTOPATIKANA WATAALAMU WA MASWALA YA UFUGAJI VIUMBE VYA MAJINI HUSUSANI SAMAKI.HILI HUPELEKEA WENGI KUKATA TAMAA YA KUFANYA BIASHARA HII YENYE FAIDA.KAMA UKIFANYA KWA KUZINGATIA.WENGI WAMEFUGA KUTOKANA NA KUSOMA ARTICLES ZA GOOGLE NA KUSIKIA SIKIA TUU..ACTUAL FISH FARMING INALIPA SANA MAMBO MUHIMI MAWAILI UKIYAZNGATIA KWANZA UPATE ENEO.ZURI LENYE MAJI SAFI MENGI NA UDONGO MZURI HII.ITAKUPUNGUZIA GARAMA.PILI UPATE CHAKULA BORA KWA AJILI YA KUKUZIA MPAKA WATAPOFIKA MARKET SIZE KWAN RATIO HUWA TOFAUTI KULINGANA NA UMRI WA SAMAKI.TATU UPATE MTAALAMU KW AJILI YA KUFANYA GENERAL MANAGMENT NA KUFATILIA KILA HATUA..KWAN SAMAK WANA CHANGAMOTO ZAKE IKIWEMO MAGONJWA.BINAFSI NI MTAALAMU TOKA CHUO.KIKUU CHA DAR ES SALAAM..NKATKA MASWALA YA UFUVI NA UFUGAJI WA VIUMBE MAJI YANI BACHELOR OF SCIENCE IN FISHERIES AND AQUACULTURE..HIVO KAMA UTAITAJI MSAADA.ZAIDI TUWASILIANE...0717451771 AU Emeil.muhalaf@yahoo.com.
 
HABARI WADAU..KUMEKUA NA TATIZO LA.KUTOPATIKANA WATAALAMU WA MASWALA YA UFUGAJI VIUMBE VYA MAJINI HUSUSANI SAMAKI.HILI HUPELEKEA WENGI KUKATA TAMAA YA KUFANYA BIASHARA HII YENYE FAIDA.KAMA UKIFANYA KWA KUZINGATIA.WENGI WAMEFUGA KUTOKANA NA KUSOMA ARTICLES ZA GOOGLE NA KUSIKIA SIKIA TUU..ACTUAL FISH FARMING INALIPA SANA MAMBO MUHIMI MAWAILI UKIYAZNGATIA KWANZA UPATE ENEO.ZURI LENYE MAJI SAFI MENGI NA UDONGO MZURI HII.ITAKUPUNGUZIA GARAMA.PILI UPATE CHAKULA BORA KWA AJILI YA KUKUZIA MPAKA WATAPOFIKA MARKET SIZE KWAN RATIO HUWA TOFAUTI KULINGANA NA UMRI WA SAMAKI.TATU UPATE MTAALAMU KW AJILI YA KUFANYA GENERAL MANAGMENT NA KUFATILIA KILA HATUA..KWAN SAMAK WANA CHANGAMOTO ZAKE IKIWEMO MAGONJWA.BINAFSI NI MTAALAMU TOKA CHUO.KIKUU CHA DAR ES SALAAM..NKATKA MASWALA YA UFUVI NA UFUGAJI WA VIUMBE MAJI YANI BACHELOR OF SCIENCE IN FISHERIES AND AQUACULTURE..HIVO KAMA UTAITAJI MSAADA.ZAIDI TUWASILIANE...0717451771 AU Emeil.muhalaf@yahoo.com.

nITAKUTAFUTA KWA SIMU TUONGEE ZAIDI, ILA BINAFSI NIMETUMIA MACHAPISHO MBALIMBALI NA NIMEFANIKISHA KWENYE HILI; NAWATIA MOYO WASOMAJI WA MACHAPISHO WASOME KWA UMAKINI SIO KURUKIA RUKIA VICHWA VYA HABARI TU
 
sawa mtaalam wa UDSM, ila kwanini na wewe usifuge samaki badala ya kutoa ushauri tu,ukifuga watu watakuja kujionea kwako na kujifunza na watakuamini na hivyo utapata kazi nyingi sana.
 
sawa mtaalam wa UDSM, ila kwanini na wewe usifuge samaki badala ya kutoa ushauri tu,ukifuga watu watakuja kujionea kwako na kujifunza na watakuamini na hivyo utapata kazi nyingi sana.

Kufuga kunahitaji capital as initial investment. CoZ unahitaji eneo...na garana zingne ambazo kwa mm.kwa ss siwez ku afford adi pale ambapo nitakua nipo sawa financial.

And about mahali ambapo panaweza kua kama demo kupo.coz.wapo watu nafanya nao.kazi.katka mashamba yao..then kumbuka hapa sijatafuta kazi bali kwa atakaehitaji uo.msaada atapata tuu..tuna share knowlge na wengne.wapo.wenye uhitji uo.
 
Naomba kufahamu majina ya samaki hawa wa maji baridi kwa kiingereza - kambale, perege, sangara, sato na wengine wengi....
 
Naomba kufahamu majina ya samaki hawa wa maji baridi kwa kiingereza - kambale, perege, sangara, sato na wengine wengi....

Perege =tilapia.. sato pia ni tilapia ila wanaotoka apo victoria wanaitwa nile tilapia. Kambale ni catfish..sangara ni nile perch
 
Ok thanx bwana muhala, inaelekea samaki unawajua vizur sana, naomba unisaidie na hawa wa maji chumvi- changu, chewa, tasi e.t.c
 
Owk nimekupata mkuu, vp unapiga hizo business nini?

Wakubwa kwa yeyote anayeelewa mahala pa kupata permit kwa ajili ya kupeleka bidhaa kama nyama na samaki Zanzibar coz nasikia custom pale huwa wanasumbua kama huna permit, upande wa samaki nimeambiwa ukifika office za fisheries pale Ferry utapata je vp kuhusu nyama ( beef in particular)
 
Hi Ina mchanganuo safi sana...natafuta Enzo mwanza niweze kuthubutu huu mradi....kwakuwa mwanza kuna ziwa victoria me mradi huu utakuwa na Tina ukijaribu kuangalia kuwa ziwa Lina supply na bwawa pia.
 
Ili kuanza ufugaji wa samaki.katka bwawa.unahitaj kua na eneo.zuri hiyo ndio kitu cha kwanza..uzuri kvp? Kwanza liwe mahali penye maji safi na salama.na ya kutosha....pili liwe na udongo mzuri..kwa maana ya pH...na aina yake..udongo wa mfinyanzi ni mzur zaid kwan hupunguza gharama za ujenz wa bwawa..maji pia yanawez kua from vyanzo tofauti..mfno.kisima..mto..ziwa...mvuaa.au chochote kiwezacho kukupa maji mengi...2.eneo.liwe na usalama kwa maana pasiwe na matukio.ya wizi au vingnevyo..3.uwe na mtaalamu wa kukuelekeza namna ya kuchimb bwawa lako ..na ukarbu wa material ya ujengeaji...na mwisho utachimba bwawaa..bwawa likikamilika apo unawez kupanda samaki wako..idadi hutegemea na zaiz ya bwawa..(stocking density) kawaida uwa tunashauri kupanda 10 fish per 1sqr m..haswa kwa semi intesive aquaculture ambapo utahitajika kua na usimamiz wa wa wastani kwa samak.wako...apo utawalisha na pia utawek chakula.cha asili.yan natural food..smaki uw3za kukua kufkia gm500 ndn ya miez.6 ad 8..tegemea na level ya managment yako..na chakula cha samaki uwa kinalishwa depend on idadi.ya samaki...size yake kwa maana ya uzito na umri...ivo mtaalamu anaitajik.kwa ajl.ya kukuambia namna ya kulisha samk wako..vifaranga wa mono sex ni wazur zaid kwa commecial fish farming kwan hawazalian na hifanya idad kubak kua ile ile..ukuaj hua mzuri na hata managment huwa rahisi..ANZA SASA KAMA..UKIDHUBUTU UTAWEZA.


naomba ushauri kwa hili:
ukiangalia kwenye mitandao mfano youtube jinsi wenzetu wanavyofuga samaki kwenye plastic tanks inaonekana kama ni rahisi zaidi, shida kwangu iko hivi nikiwa na plastic tank(simtank) mbili za lita 4000 nizitumie kwa ufugaji wa samaki je ninatakiwa niweke samaki wa ngapi kwa kila tank na ni mara ngapi ndani ya hii miezi sita natakiwa nibadilishe maji, pia ni wapi kwa hapa dar es salaam naweza kupata pump nzuri ya kuingiza hewa kwenye maji hayo.

Tukija kwenye chakula tunaambiwa chakula kizuri kiwe kwa mtindo wa pelletes sasa sijui wapi unaweza ukapata hii machine.

nilifikiria vitu vyote hivi nikaishia njiani nikaamua kufuga kuku kwa sasa ila kuku wamechanganya sasa nataka nurudi kwenye samaki nategemea msaada wako na wanajamvi wengine ili tuweze kukaa meza moja na akina manji...over
 
naomba ushauri kwa hili:
ukiangalia kwenye mitandao mfano youtube jinsi wenzetu wanavyofuga samaki kwenye plastic tanks inaonekana kama ni rahisi zaidi...shida kwangu iko hivi nikiwa na plastic tank(simtank) mbili za lita 4000 nizitumie kwa ufugaji wa samaki je ninatakiwa niweke samaki wa ngapi kwa kila tank na ni mara ngapi ndani ya hii miezi sita natakiwa nibadilishe maji, pia ni wapi kwa hapa dar es salaam naweza kupata pump nzuri ya kuingiza hewa kwenye maji hayo... tukija kwenye chakula tunaambiwa chakula kizuri kiwe kwa mtindo wa pelletes sasa sijui wapi unaweza ukapata hii machine....
nilifikiria vitu vyote hivi nikaishia njiani nikaamua kufuga kuku kwa sasa ila kuku wamechanganya sasa nataka nurudi kwenye samaki nategemea msaada wako na wanajamvi wengine ili tuweze kukaa meza moja na akina manji...over

Sawa mkuu.ni hivi kwenye swalabla idadi samaki tunaangalia eneo lake kwan apo inabid ujue surface area ya ayo matang and ukijua unaweza weka samaki 6 kwa kila one mete

kwan hata maji hujazi full tank..unajaza kimo cha lita moja tuu. Mbili maji unashauriwa kubadli kila.baada ya wek 2 au ttatu kwa kupunguz walau nusu ya volume...na kujaza tena..swala na.pelletes machine kw tanzania bado azpo.adi.uagize na garama yake inategemea na aina na ukubwa wake

lakin zpo machine za kusagia.nyama unawez tumia izo kma huna fish weng...pump zpo piaaa unawez tafuta tuu.lakini izo pelets ss tunauza .
 
Ndugu soko lipo juuu sana sio kwa dar tu..nilipata order ya kg300 ya samki ila.akashindkana mtu wa kua nao..ss kama kg moj.dukan ni sh.7000 ad 8000..jumla utapatana na mnunuzi and utaona.how much itaingiza

nipe contacts za wanunuzi wa jumla niongee nao
 
Sawa mkuu.ni hivi kwenye swalabla idadi samaki tunaangalia eneo lake kwan apo inabid ujue surface area ya ayo matang and ukijua unaweza weka samaki 6 kwa kila one meter..kwan hata maji hujazi full tank..unajaza kimo cha lita moja tuu. Mbili maji unashauriwa kubadli kila.baada ya wek 2 au ttatu kwa kupunguz walau nusu ya volume...na kujaza tena..swala na.pelletes machine kw tanzania bado azpo.adi.uagize na garama yake inategemea na aina na ukubwa wake...lakin zpo machine za kusagia.nyama unawez tumia izo kma huna fish weng...pump zpo piaaa unawez tafuta tuu.lakini izo pelets ss tunauza .

ndugu hebu funguka vizuri bana kama unatubania uhondo vile... unajua sisi wengine ambao mahesabu yametupita ukianza kutaja squire mita basi ndio hatuelewi kabisa..ok najua wewe kama mtaalam unaweza ukaniambia mzunguruko wa tank wa kiasi gani unaweza ukaweka samaki 1000(mfano) inawezekana nikaenda kwenye viwanda vya plastic tank nikatoa order wakanitengenezea ukweli ufugaji wa samaki ukisoma maelezo utajiri unauona huu hapa ila tukija kwenye utendaji hasa huu ufugaji wa kisasa ni shughuli pevu....na hapo unaposema unajaza maji kwa lita moja sijakupata kidogo... halafu hivi hizi pump unakuwa unaiwasha kwa muda au ni kuanzia unapoingiza samaki mpaka unapowavuna... chanzo changu cha maji nategemea maji ya kuleta na gari ambayo sio ya chumvi.... hii project kk inaniumiza kichwa acha ukweli ninao kuku wa nyama ni mmbadala wa samaki ila nikipata taarifa za kutosha kuhusu ufugaji huu kweli murrano yangu naiona ilee ikitokea japan....over
 
Pia kwa wafugaji wa samaki waliopo DSM mkihitaji chakula cha samaki, kinapatikana maeneo ya karibu na mlimani city. Ukihitaji naweza kukuelekeza kwa kiwango unachohitaji.

Naomba contacts zako ili tuwasiliane kwa ajili ya chakula cha samaki.
 
Back
Top Bottom