Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
Ni wapi kwa hapa dar naweza pata vifaranga vya samaki aina ya sato?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi kwa hapa dar naweza pata vifaranga vya samaki aina ya sato?
wanunuzi kuna ambao wanakufata hadi kwenye mabwawa wakanunua kwa jumla na ukiamua wewe mwenyewe unaweza fungua duka la samaki ukauza reja reja. bei kwa kilo ni kuanzia elfu saba
Ufugaji samaki ni tasnia inayokua kwa kasi duniani hata hapa nchini ni kweli inakua. Hali halisi ya kijiografia hapa nchini ni chachu ya maendeleo ya ufugaji samaki.
Kwa wakulima waliokwishaanza naombeni majibu yenu kwa maswali yangu haya.
1. Je! kuna yeyote ambaye amevuna samaki aina ya sato wenye nusu au kilo moja ndani ya miezi kuanzia sita, tisa na mwaka mmoja ?
2. kuna yeyote ambaye amefuga madume tu? (sato) na vipi ukuaji wake upoje ?
3. Kwa mtazamo wako we unaonaje kati ya kufuga samaki mchanganyiko jinsia zote au jinsia moja, upi kwako umeona ni bora.
4. Changamoto ya chakula unaionaje ?
ANGALIZO: Usitumie majibu ya kugoogle au kufundishwa darasani. Majibu yalenge hali halisi ya kijiografia Tanzania
Habari za leo wadau?
Mimi kuhusu ufugaji samaki nimehamasika ila napenda niwafahamu ma kuwatembelea wafugaji samaki waliofanikiwa. Hapa nina maanisha walioweza kuuza samaki wakiwa na miezi sita kwa uzito mzuri. Hii imetokana na kwamba ktk hii biashara tunaenda kinadharia mno. Uzalishaji unaoongelewa siyo ambao unapatikana kihalisia labda mimi huwa nakutana na waliofeli tu. Maana huwa wanakalamika samaki wanadumaa. Wadau niunganisheni na waliofanikiwa.
Bandugu,
Hakika Elimu Bahari. Kwa muda mrefu nimekuwa na hamu ya kufahamu mengi juu ya UFUGAJI WA SAMAKAI kibiashara na kwa ajili ya kitoweo (maana kwa kweli nakipenda sana kitoweo hiki). Leo nimepata mwanga baada ya kuutembelea uzi huu. tafadhali Bw Ha Muji naomba contacts zako tuwasiliane zaidi.
TCHAO!
nipe contacts za wanunuzi wa jumla niongee nao
ndugu hebu funguka vizuri bana kama unatubania uhondo vile... unajua sisi wengine ambao mahesabu yametupita ukianza kutaja squire mita basi ndio hatuelewi kabisa..ok najua wewe kama mtaalam unaweza ukaniambia mzunguruko wa tank wa kiasi gani unaweza ukaweka samaki 1000(mfano) inawezekana nikaenda kwenye viwanda vya plastic tank nikatoa order wakanitengenezea ukweli ufugaji wa samaki ukisoma maelezo utajiri unauona huu hapa ila tukija kwenye utendaji hasa huu ufugaji wa kisasa ni shughuli pevu....na hapo unaposema unajaza maji kwa lita moja sijakupata kidogo... halafu hivi hizi pump unakuwa unaiwasha kwa muda au ni kuanzia unapoingiza samaki mpaka unapowavuna... chanzo changu cha maji nategemea maji ya kuleta na gari ambayo sio ya chumvi.... hii project kk inaniumiza kichwa acha ukweli ninao kuku wa nyama ni mmbadala wa samaki ila nikipata taarifa za kutosha kuhusu ufugaji huu kweli murrano yangu naiona ilee ikitokea japan....over
Wadau wa ufugaji samaki tunakabiliwa na changamoto nyingi . Binafsi naamini tunaweza kutatua baadhi ya changamoto sisi wenyewe bila kusubiri wazungu au wachina ikiwa tutaamua kwa dhati. Malighafi zote tunazo tunachohitaji ni akili ya ubunifu tu na mtaji ambao naamini baadhi yetu wanavyo. Mfano: Changamoto ya upatikanaji wa floating pellets inaweza kwisha tukibuni simple and cheap pelleting machine kwa kushirikiana na ndugu zetu wa SIDO kinachotakiwa ni sisi kuwapelekea SIDO wazo letu na details ya kitu tunachokitaka, hawa jamaa hawavumi lakini wamo wamebuni vitu vingi sana vyenye manufaa kwa wakulima eg. mashine ya kutengeneza mkaa kw kutumia vumbi ya mkaa, incubators, water pumps, mashine za kupukuchua mahindi/karanga/kukata viazi, kubangua korosho/kahawa, kuvuna mpunga n.k
Long time kiongozi. Naomba feedback ikiwa kama ulianza. Pia karibu kwa discussion kwa chochote ulichokipata kuhusu ufugaji. Nipo flexible
Umefikisha average weight gram ngapi? Kuna masoko ya jumla mawili ambayo yanategemea uzito wa samaki ( haya yapo tu). Pia kuna mama ananunua lakini uwezo wake sio kilo zaidi ya 300.Nimeanza
shida yangu wanunuzi
unajua namna ya kunisaidia?
Inategemea na eneo lako kama ni mfinyanzi au mchanga. Vile vile ni mfumo gani wa uzalishaji unatumia....rejea thread hapo juu. Gharama za uchimbaji na ujenzi zitakuwa zimepanda kidogo. Ukijibu hayo utapatiwa gharamaufugaji wa samaki huwa unahitaji mtaji wa kiasi gani minimum?
Nimeanza
shida yangu wanunuzi
unajua namna ya kunisaidia?
Samaki ni bidhaa adimu hata kwa mikoa ya kanda ya ziwa inakuwaje unasema tatizo ni wanunuzi?
naitaji kununua vifarang wa samaki 1000..naombeni mchanganuo wa gharama za kuwanunua,kuwafuga hadi kuuza bila kusahau gharama za vifaa nataka kutumia tank...!!
sheria inasemaje kuhusu kujenga vizimba kwenye mito?
Nimeanza
shida yangu wanunuzi
unajua namna ya kunisaidia?