Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

Mkuu Million 40 Bora nikanunue Eicher Bus nikusanye laki mbili kila siku... kwa Mwaka Mmoja sikosi m100

Ndio maisha uliyoamua kuyafuata. Kama wewe umeamua kununua bus ni sawa. Kuna mwenzako ameamua kufuga samaki na mwingine ameamua kufuga mbuzi.

Maisha ndivyo yalivyo kuna wanaochukua risks na wengine wanakimbia.
 
Kama unanawa vile 😀
Kuhangaika na Samaki anayekula kila siku na msosi wake unazidi thamani yake, kwa miezi 9 ni sawa na kufuga Ng'ombe mjini unamnunulia Majani hupati faida maziwa yenyewe akija kutoa lita nne au tano. Biashara ya Bus pesa siku hiyo hiyo jioni na huambiwi leo biashara ngumu tulikaa kituoni bila abiria.

Nadhani Mtaalam wetu kimahesabu hayupo vizuri.
 
Mkuu Million 40 Bora nikanunue Eicher Bus nikusanye laki mbili kila siku... kwa Mwaka Mmoja sikosi m100
Hahaha, nani alikwambia ukiwa na eicher unakusanya laki mbili kila siku? Halafu ni eicher gani hiyo utakayoipata kwa mil 40?
 
Kuhangaika na Samaki anayekula kila siku na msosi wake unazidi thamani yake....kwa miezi 9 ni sawa na kufuga Ng'ombe mjini unamnunulia Majani hupati faida maziwa yenyewe akija kutoa lita nne au tano.... Biashara ya Bus pesa siku hiyo hiyo... jioni na huambiwi leo biashara ngumu tulikaa kituoni bila abiria...

Nadhani Mtaalam wetu kimahesabu hayupo vizuri
Una hakika kua gharama ya malisho ya samaki inazidi thamani yake?
 
Hahaha, nani alikwambia ukiwa na eicher unakusanya laki mbili kila siku? Halafu ni eicher gani hiyo utakayoipata kwa mil 40?
Kuna Mikopo unapewa muda kumalizia zinapatikana kwa m80 ukilia lia unapunguziwa kidogo.... ni zile za abiria 40 na tunazo mkuu karibu tukuelimishe.... kuna watu wanahesabu hadi laki mbili na 20 to 50 Uda imewatoa sana Wao hesabu zingine zilifika hadi laki tatu... unabwia tu daily...
 
Sasa laki unadhani ukitoa na pesa za service, mafuta na rushwa wanazotoa madereva kwa traffic, kuna faida hapo?
 
Sasa laki unadhani ukitoa na pesa za service, mafuta na rushwa wanazotoa madereva kwa traffic, kuna faida hapo?
Sisi ni wazoefu tunajua pesa inawekezaje, na urejeshaji wake na muda, hii ya Bus Mpya ni Biashara ya uhakika, sio Bus kuu kuu ndizo Traffic akizikama hakosi kosa ila ujue Derava ukishaelewana naye Hesabu yako ipo pale pale usidhanie makosa ni ya mwenye gari Gari mpya Trafic aikamatie kwa lipi na ina kila kitu zaidi makosa ya Dereva ni yake na hawezi leta malalama kwa Tajiri.

Mafuta Siku ya kwanza ni ya Tajiri lakini ni Mtaji ambao unarejeshwa kila siku si mali ya Dereva. Omba Ushauri utapata. kwa Gari Mpya lakini si Kuu kuu Sikushauri.
Alamsiki
 
Sisi ni wazoefu tunajua pesa inawekezaje.... na urejeshaji wake na muda... hii ya Bus Mpya ni Biashara ya uhakika... sio Bus kuu kuu ndizo Traffic akizikama hakosi kosa ila ujue Derava ukishaelewana naye Hesabu yako ipo pale pale usidhanie makosa ni ya mwenye gari Gari mpya Trafic aikamatie kwa lipi na ina kila kitu zaidi makosa ya Dereva ni yake na hawezi leta malalama kwa Tajiri... Mafuta Siku ya kwanza ni ya Tajiri lakini ni Mtaji ambao unarejeshwa kila siku si mali ya Dereva... Omba Ushauri utapata... kwa Gari Mpya lakini si Kuu kuu Sikushauri... Alamsiki
Kwa Eicher kama za UDA ni bei gani kuagiza hadi kuitoa babdarini?
 
Kwa Eicher kama za UDA ni bei gani kuagiza hadi kuitoa babdarini?
Kwanini uagize wakati zipo sisi tule wapi sasa Njoo Tukuuzie utoe Nusu na nusu tunakukopesha... ila kuna masharti na vigezo kuzingatiwa
 
Kwanini uagize wakati zipo sisi tule wapi sasa Njoo Tukuuzie utoe Nusu na nusu tunakukopesha... ila kuna masharti na vigezo kuzingatiwa
Uko show room? Vipi kwa bei ya kimachinga, I mean punguzo kwa anayenunua kwenu, inapatikana kwa ngapi?
 
Nimepnda je wajua gharama za kuchimba hyo mabwawa
Maelezo mazuri ila umesahau kuongelea magonjwa yanayonyemelea samaki na tiba zake.
Asante mkuu kwa somo,naomba kuuliza kuhusu maji yanayotumika,je naweza kutumia maji ya kisima ambayo yana chumvikiasi au ni mpaka yawe baridi kabisaa? na je hali halisi ya maji hayo namaanisha acidity au alikalinity ya maji inatakiwa iweje?

asante.
 
Asante mkuu kwa somo,naomba kuuliza kuhusu maji yanayotumika,je naweza kutumia maji ya kisima ambayo yana chumvi
kiasi au ni mpaka yawe baridi kabisaa? na je hali halisi ya maji hayo
namaanisha acidity au alikalinity ya maji inatakiwa iweje? asante.
Tilapia (sato/perege) wa maji baridi anafugika katika umunyu (chumvi) kuanzia 0-5.

Maji ya kisima hayawezi kuzidi hapo hivyo unaweza kufuga. Vile vile tafiti nyingi zinaonesha huyo tilapia wa maji baridi anakuwa zaidi katika umunyu mpaka 15. Kwa ziada kuna tilapia wa maji chumvi.

Kuhusu acidity yanatakiwa yawe 7-8.5 hii ndio bomba kabisa. Ukishafanya vipimo vya maabara weka hapa tukusaidie kutafsiri.
 
Tilapia (sato/perege) wa maji baridi anafugika katika umunyu (chumvi) kuanzia 0-5. Maji ya kisima hayawezi kuzidi hapo hivyo unaweza kufuga. Vile vile tafiti nyingi zinaonesha huyo tilapia wa maji baridi anakuwa zaidi katika umunyu mpaka 15. Kwa ziada kuna tilapia wa maji chumvi. Kuhusu acidity yanatakiwa yawe 7-8.5 hii ndio bomba kabisa. Ukishafanya vipimo vya maabara weka hapa tukusaidie kutafsiri.
Asante sana mkuu.
 
KUNA JAMAA YANGU ANAFUGA MBONA SIONI KAMA ANASUMBUKA......YEYE ANACHOOMBA NI KUWA SAMAKI WASIPATE UGONJWA AU MTU KUWATILIA SUMU.......YE ANAWAMWAGIA PUMBA TU MWANZO MWISHO........WANAKULA WANASHIBA.....
 
Kwa hiyo diet lazima wadumae.
 
Back
Top Bottom