Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Mkuu Million 40 Bora nikanunue Eicher Bus nikusanye laki mbili kila siku... kwa Mwaka Mmoja sikosi m100
Ndio maisha uliyoamua kuyafuata. Kama wewe umeamua kununua bus ni sawa. Kuna mwenzako ameamua kufuga samaki na mwingine ameamua kufuga mbuzi.
Maisha ndivyo yalivyo kuna wanaochukua risks na wengine wanakimbia.