Ufugaji wa sungura na njiwa wenye tija

Bluetooth vp tena?wiki imeisha tena ndugu yangu.nina moto wa kufuga usiniache mpaka nipoe.nasubiri kusikia kwako
 
Habari wanajamii?kupitia hapa hapa jamvini nilionao maelekezo ya wapi pa kupata sungura mbegu kubwa na nikafuatilia nimepata ni wa kubwa waziri.pia hapo hapo dar es salaam zoo nimeona mabanda ya sungura yalivyo.sasa naanza ufugaji wa sungura wa kubwa.kama ukipata nafasi nawe jaribu kutembelea huko.
 

Ni wapi huko na sisi tutembelee.
 
Mama timmy nataka na mimi mbegu ya sungura jike na dume lakini kama yakwako ,je umenunua wapi na ni shilingi ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Mkaguzi nimepata mbegu Nzuri ya sungura.

Ahsante kwa taarifa Mama Timmy, naomba details then ni wapi, aina, bei na nawapataje pls. Unaweza weka hapa ama ukanipm. Chaguo ni lako
 
Kumbe huku jf kuna vitu vzr na vya maendeleo.nimechelewa sana kujua.mimi hata kufuga sijui ila nit anazaa na njiwa.kwani na hii ni raisi zaidi kuwafuga.
 
Jamani kaka shossi mbona umemjibu kwa kumtisha?mpe moyo aanze halafu pagumu lazima atawatafuta wazoefu Kama kweli anamaanisha kufuga njiwa kibiashara.😛eace:

Mimi wa kwangu wananishinda sasa maana anaewahudumia hajakuja jana na leo inabidi nichelewe kazini kwa ajili ya kuwahudumia asubuhi. Kwahiyo mtu akisema ni rahisi kuwafuga mhnnn haya.
 
Mimi wa kwangu wananishinda sasa maana anaewahudumia hajakuja jana na leo inabidi nichelewe kazini kwa ajili ya kuwahudumia asubuhi. Kwahiyo mtu akisema ni rahisi kuwafuga mhnnn haya.
Lakini si umeona amekiri kuwa haujui kufuga.nahisi a nataka kufuga kienyeji yaani anajenga mabanda halafu anaweka njiwa na anawaacha wakazurure .akihitaji njiwa bora Kama Hao wakwako nadhani atakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…