Tetesi: Ufunguzi wa barabara ya Arusha-Tengeru double carriage road!!

Umewaumbua wajinga wajinga,wanakimbiza thread wenyewe kwa wenyewe,wanajibizana utafikiri ngonjera.
Wadau wanawachora
Hiyo imejengwa na TZ ila ni barabara ya kuunganisha EA kila nchi itajenga upande wake!.
 
Acheni upumbavu kuisifia CCM wakati haijachangia hata mia kwenye huo mradi
 
ccm inahusika vipi na miradi ya African Development Bank


 
wakazi wa Arusha tujitokeze kwa wingi kusupport Serikali katika hili...Mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa tuhamasishe wananchi kujitokeza
 
Wacha waseme hakuma kinachofanyika lakini mwisho wa siku wanapita kwenye barabara hizo hizo na mbuzi wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…