Tetesi: Ufunguzi wa barabara ya Arusha-Tengeru double carriage road!!

Kwa hili nampungeza sana Mheshimiwa...ametupa fursa ya lami maeneo mengi ya Arusha yaliyokua barabara za vumbii.
 
Nenda kaishi Kenya kama unao vipi Bongo [emoji1241]badala na kusifia vya kwenu wewe kazi kusifia vya wengine [emoji23]
Huwa sina mda na mazwazwa kama wewe.,Kwani Kenya sio Afrika hadi uone siwezi enda ishi?Kwani hata Che Nkapa alivyozalisha wakimbizi kwa mara ya kwanza kutoka Tz~Zanzibar si walikimbilia shimoni Kenya?So zalisheni wakimbizi tena nitaenda kwani mshaonja damu za watu hamuwezi kuacha.
 

Sema tu haujui uelezwe.

Huu mradi ni mkopo wa ADB. Walitaka barabara ijengwe dual carriageway mpaka kupita Himo kuelekea Voi Kenya. Serikali ya TZ wakaelekeza ijengwe mpaka Tengeru, na kwingine kurekebishwe tu ma culvert. Upande wa Kenya wanapiga double kutoka Voi mpaka boarder, pia kwa mkopo wa ADB kwa ajili ya mradi huohuo.
 
Hizo story fake za BBC ziliishia wapi?hao wakimbizi walirudi lini?walipitia wapi?
UNHCR ina takwimu za hao wakimbizi?
 
Mkopo ni hela ya bure?Si inalipwa!
Kwani ni mradi wa kwanza kutekelezwa kwa mkopo?

Hujui tofauti ya mkopo na msaada?
 

"HIVI HII LAMI NDO INAIPA ARUSHA HADHI YA JIJI? KWA HIYO SIKU YA UFUNGUZI NDO ITAKUWA DECLARED JIJI AU NI UMBEA WAKO TU MA MIHEMKO"
 
Hata wakoloni walileta reli ya Dar- Arusha.
CCM inajenga Reli....Inajenga Meli...Inanunua ndege na kujenga barabara kiwango cha lami kila kona ya nchi....huo ndio utofauti kati ya ukoloni na uongozi madhubuti wa CCM!
 
Hata wakoloni walileta reli ya Dar- Arusha.
CCM inajenga Reli....Inajenga Meli...Inanunua ndege na kujenga barabara kiwango cha lami kila kona ya nchi....huo ndio utofauti kati ya ukoloni na uongozi madhubuti wa CCM!
 
CCM inajenga Reli....Inajenga Meli...Inanunua ndege na kujenga barabara kiwango cha lami kila kona ya nchi....huo ndio utofauti kati ya ukoloni na uongozi madhubuti wa CCM!

Samahani, meli ipi imejengwa na CCM?
 
Mimi napita hiyo barabara kila wiki,acha kutudanganya fala we. Before nilikuwa natumia 6 hours sasa hivi 2hours unaleta story za kiku**ma hapa. Kafungue nawewe bikin yako usilete maada za kichonganishi kama huna data
 
Wewe ni MUONGO, umepita njia ya voi- Taveta ambayo ni part ya hiyo miradi, haifikii hata robo ya huu mradi wa Tanzania.
 
Na zinalipwa na wana CCM tu hizo kodi?
Zinasimamiwa na wanaCCM...Kumbuka mwenyekiti wenu ni mmoja wa wakwepa kodi kwa hiyo usitake kujisifia unalipa kodi ilhali unaongozwa na mwenyekiti mkwepa kodi!
 
East Africa ni nani??? Na hiyo mikopo ya ADB na Japan italipwa na Kodi za kina nani?
Nikufahamishe tu mradi wowote unaoendeshwa na Jumuiya ni Serikali za nchi husika ndizo zinazogharamia. Na kama ni mkopo ni Serikali hizo hizo za nchi husika smbapo kila nchi inakopa.

Mradi huu wa Bara bara ya Arusha-Tengeru to holili Gharama za upanuzi wa barabara ya Arusha - Tengeru na barabara ya kuzunguka nje ya jiji la Arusha kwa upande wa Tanzania ni shilingi bilioni 209.6, ambapo kati ya fedha hizo Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) itatoa mkopo wa shilingi bilioni 190.2 na serikali ya Tanzania itatoa shilingi Bilioni 19.4.
Hivyo ni Serikali ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…