Tetesi: Ufunguzi wa barabara ya Arusha-Tengeru double carriage road!!

CCM inajenga Reli....Inajenga Meli...Inanunua ndege na kujenga barabara kiwango cha lami kila kona ya nchi....huo ndio utofauti kati ya ukoloni na uongozi madhubuti wa CCM!
Wewe hukukosea kujiita jingalao yaani kubwa la majinga yote.
 
Mradi wa EA huu acha uongo wa kipuuzi.
Miradi karibu yote ya maendeleo ina mkono wa wafadhili. Hii kipande cha Tanzania ni wajibu wa serikali ya ccm isimamie ikamailike kwa wakati. Na ndicho walichofanya.
 
Mimi napita hiyo barabara kila wiki,acha kutudanganya fala we. Before nilikuwa natumia 6 hours sasa hivi 2hours unaleta story za kiku**ma hapa. Kafungue nawewe bikin yako usilete maada za kichonganishi kama huna data
Iko cnini ya kiwango mkuu. Sasa hiyo ndiyo lugha gani unaitumia kwenye mijadala. Kwani tuna ugomvi? Hayo si maoni na mtizamo wangu? Kama unaona assessnent yangu siyo sahihi kuna haja gani kutumia ya kashfa bamna hiyo. Hivi ndivyo unavyoongea hata katika familia yako? Najaribu ku figure out utakuwa ni mtu wa aina gani. Badala ya kujibu hoja kwa hoja imekuwa hoja kwa matusi? Sikufahamu lakini kusema kweli nimelazimika kukushusha sana. Any way this was an open discussion kama nimekukera wewe binafsi, I am sorry!
 
Wewe ni MUONGO, umepita njia ya voi- Taveta ambayo ni part ya hiyo miradi, haifikii hata robo ya huu mradi wa Tanzania.
Uongo wangu ni nini hapo?Sasa unalinganisha Voi na Arusha?Nenda Nairobi ukaone maajabu kuanzia Kajiado,Kitengela,Athriver kuingia Mombasa road,Mlolongo nk.
 
Zinasimamiwa na wanaCCM...Kumbuka mwenyekiti wenu ni mmoja wa wakwepa kodi kwa hiyo usitake kujisifia unalipa kodi ilhali unaongozwa na mwenyekiti mkwepa kodi!


Wewe mwehu kabisa. Unakwepa hoja kijinga sana. Hebu niambie wana CCM wanaolipa kodi ni asilimia ngapi wa walipa kodi wote.
 
Mkuu uko sawa wachina walilipua vibaya sana, barabara ya Arusha sijaiona ila kati ya barabara iliyosukwa vizuri kwa Tanzania, ni barabara ya Iringa- Mafinga
 
acha kupotosha huo mradi ni wa wold back tanzania hatujatoa hata sent tano
 
Hii barabara imejengwa kwa ufadhili wa ADB na WD sio CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…