The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 559
Asante sana superman, Lakini mimi napendekeza mheshimiwa Mgombea wa Urais angekuwa anaruhusu maswali mawili au matatu ya papo kwa papo, nadhani yataweza kumuinua sana Slaa, itaonyesha kuwa haogopi kuzungumza na wananchi wake sio kuongea na wazee wa Dar alafu huwapi nafasi ya kutoa mawazo yao au kuuliza maswali.du kamaliza
du kamaliza
Uislamu wangu anaujua muumba wa wangu. Kipi cha uongo katika pandiko langu? kusema Halima Mdee msabato? au Anna Komu mgala? au Dr Slaa Padri?
Get your ugala right kabla kuzungumzia uislamu wangu
Asante sana superman, Lakini mimi napendekeza mheshimiwa Mgombea wa Urais angekuwa anaruhusu maswali mawili au matatu ya papo kwa papo, nadhani yataweza kumuinua sana Slaa, itaonyesha kuwa haogopi kuzungumza na wananchi wake sio kuongea na wazee wa Dar alafu huwapi nafasi ya kutoa mawazo yao au kuuliza maswali.
Ingalikuwa vyema iwapo Chadema itakuwa imenunua muda kwa hivi vituo vyetu vya TV kwa ajili ya sisi tuliokuwa mbali kushuhudia tukio hilo muhimu. Ila sidhani kama kuna Kituo cha TV kitadiriki kurusha matangazo hayo jinsi walivyo waoga!
[IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.gif[/IMG] Re: Ilani ya CHADEEMA na mapungufu yake katika tafsiri ya ufisadi [/B]
We are the cause of our own sufferings. Tumepewa akili ya kufikiri hatutaki kuzitumia. Nini chanzo cha UMASIKINI wa Tanzania kama sio uongozi mbovu wa serikali zilizokuwa madarakani miaka yote hii? Illiteracy ni 30% kwa sababu gani? Vifo vya kina mama wajawazito 550/100,000 kwa nini? Mbona Chile sio matajiri kihivyo lakini wananchi wake wanaishi miaka 80-90 sawasawa na Marekani iliyo mbali mno kiuchumi? Kenya wakati wa Uhuru ilikuwa sawa na South Korea, leo tofauti unaionaje? nini tatizo kama sio utawala mbovu? Afadhali hata wao waliishitukia KANU mapema wakaipiga chini, kuliko sisi huku tunaozungumza upuuzi kufurahisha midomo yetu. Kuna watu humu wanaandika rubbish, rubbish tu wanafikiri watu wote humu wanafikiri ka wanavyofikiri wao. Tatizo la TANZANIA NI UONGOZI, kama ni Resources tunazo hamna mfano lakini ubovu wa viongozi wetu wengi hawajui kufikiri wanashindwa kuzitumia.
Watu mu argue mkijua kuna watu wanaofikiri humu msidhani mnaongea wa wacheza ngoma.
Asante sana Superman
Hajamaliza... Kaanzisha safari mpya ya Taifa jipya la Tanzania! Hivyo basi kama tunapenda maisha mema yenye mafanikio, hatuna budi tumuunge mkono atuongoze!!
Superman, nakushukuru sana kwa kutumia muda wako kutupatia habari ndugu yetu. Ahsante!!
Steve Dii
Thanks a lot Superman kwa kutuhabarisha, nilikuwa kama vile niko karibu na luninga au viwanjani !!!
Bravo!