Ufyatu 100%: Sababu zinazotolewa hazina mantiki au mantiki hazina sababu?

Huko ni kumuandalia rais aweze kupiga pesa kirahisi
 
Hii nchi ni ya kichoko sana, hili swala la bandari ni la kipumbavu sijui huyu Bibi yenu Samia hana ubongo kazeeka kila kitu. Ni uzuzu labda kama ametumwa atafute mianya ya kuvunja muungano. Hili kafanya kusudi ya kipumbavu kabisa
 
DP World wamepewa nafasi kwa kuhonga wabunge na waandishi wa habari, tender haikutangazwa popote, na mkataba wao ni wa kinyonyaji usio na ukomo, hawa waarabu ni maharamia.

Usijaribu hata dakika moja kulinganisha huu ujinga uliofanywa na Samia, na kile kilichofanyika wakati wa Magufuli, hawa hawafanani.

Eti "Rais yuko more informed" kwa wajomba zake! ndio atuletee mkataba usio na ukomo!

Kuna kampuni yoyote wakati wa Magufuli iliwahi kupewa mkataba wa milele?

Samia ni msaliti.
 
Tulikuwa vitani dhidi ya nani au nini Mkuu?
 
Tunaharibu kivipi?alipokuwa Magufuli anafanya kila kitu Kwa utashi wake haikuwa nchi inaharibika??
Kwa hiyo A na B zote ni sawa? Kwasababu Magufuli alikiuka matakwa ya kisheria hivyo inatoaruhusa kwa mrithi wake kutokiuka pia.

Sheria hizi tumezitunga ili iweje sasa. Kama zipo na hatuzifuati. Situzifute?


Tuwe na uzalendo hata kidogo. Rasilimali hizi sio zetu pekeetu.
 
Hongera kwa uchambuzi yakinifu. Umetufumbua wengi kuhusu pato na deni laTaifa litokanalo na uzalishaji Tanzania bara (Tanganyika).

Umenipa mtihani wa kupitia Bajeti ya JMT inayoendelea kujadiliwa bungeni, ni kwa kiasi gani Tanzania Visiwani (Zanzibar) inachangia kwenye bajeti ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa nao wana bajeti yao.
 

Naachaje kujadili kisiasa wakati hili suala ni la maamuzi ya wanasiasa?

Hata kama ukifanya ushawishi, huo ushawishi wao utakuwa hauna maana kwani hakuna uchaguzi Tanzania, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Na hata kama ni ushawishi, bado ww huna.
 

Huyu mnafiki aliyeanzisha huu uzi wakati Magufuli anavunja sheria alikuwa anaona sawa, kisa alikuwa anamsujudia. Saa hii tunamshangaa alikuwa wapi kuhoji uhuni kama huu kipindi cha dhalimu?
 
Tunaharibu kivipi?alipokuwa Magufuli anafanya kila kitu Kwa utashi wake haikuwa nchi inaharibika??
Kwahiyo mnafanya ujinga wa Magufuli? Alafu huo ujinga wanatakiwa wakemee tu waliokuwa wanamkemea Magufuli? Hivi kati ya aliyefanya ujinga na anayeiga huo ujinga nani mjinga zaidi?
 
Wewe na nawe Kilaza kweli,kama Magufuli alikosea basi na Mama afanye hivyohivyo?
Mbona Mama karuhusu mikutano ya siasa,basi mwambie afungie kama Magufuli!
Kwaiyo DP World (2006) wana uwezo mkubwa kuliko MAERSK SHIPPING COMPANY iliyoanzishwa mwaka 1904!
Nakuwekea na attachment ya kampuni kubwa za shipping Duniani na uone uyo DP World wenu anakaa wapi!
 
SGR na Bwawa la Nyerere zote zilitangazwa zabuni na aliyeshindwa akashindwa, rejea kumbukumbu sahihi
Uyo Kilaza tu,SGR waliomba mpaka Wachina Maswaiba wetu tangu harakati za Uhuru,walipigwa chini na Mturuki.Shida ya umu jukwaani Kuna watu wanajifanya wao ndiyo walikuwepo wakati Magufuli anatawala na wengine hatukuwepo!
 
Kuwa mkweli wewe documents za DPW ulikuwa unazijua?Samia kaweka wazi wapi wakati wote tumejua baada ya ngoma kuvujishwa!
 
Huyo unamwita Kafiri ndiyo mwenye nchi,alishawai kumwita Mfalame wenu wa Msoga akiwa Rais na kumuweka kitimoto kama Mtoto.
Endeleeni na ngonjera zenu,mtajua hamjui.Mama yenu kakaa kimya wala haongei,mnajua kimempata kitu gani,nyie ndiyo vimbelembele!
Tulieni hii nchi inaendeshwa na Vatican na USA/BRITISH.
 
Enzi na zama za giza zimepitwa na wakati ambazo wapiga kura wengi, hasa wa vijijini, waliamini ahadi za wagombea au wanayosikia kwenye vyombo vya habari, hasa radio, vikimilikiwa na Serikali ya utawala ulio madarakani. Kwa sasa nguvu ya mitandao ni kubwa kuliko mikutano ya hadhara.

Kuhusu wizi wa kura, wakati wa uchaguzi, ni dhana inayobebwa, duniani kote, na wagombea wanaoshindwa, hata huko kwa waasisi wa kinachoitwa demokrasia. Kura hupigwa, kusimamiwa na kuhesabiwa na watu, ambapo kimsingi mtu ni mbinafsi.
 
Huyu mnafiki aliyeanzisha huu uzi wakati Magufuli anavunja sheria alikuwa anaona sawa, kisa alikuwa anamsujudia. Saa hii tunamshangaa alikuwa wapi kuhoji uhuni kama huu kipindi cha dhalimu?
Kwanini asipongezwe kwa kuuona ukweli na kuusimamia?

Jikiteni kwenye hoja zake.


Sio busara kuendelea kuishi wakati uliopita sasa.

Tujadili hoja.
 
Jamaa anatetea kila jambo ili awakomoe ambao wako against. Si kwamba ana mantiki yeyote ila amechagua kuwa mpinzani wa previous regime.
 
Ukomo wa mkataba ni lini na tutanufaika kwa kiasi gani? Hebu nijibu hayo maswali tu maana hata serikali imeshindwa kuyajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…