Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

Ugaidi Tanzania Unafanikiwa

FaizaFoxy-Huyu naye aliyeua Askari wetu saba kwa mkupuo naye ni gaidi?Ni kwa sababu ni Tanzania tu.Nilikuwa naangalia magazeti ya leo.Karibu yote ni siasa tu.Gazeti moja au mawili ysmeandika tena si kwa uzito.Shooting ya polisi Saba at a time ni habari kubwa kwa wanaotambua umuhimu wa Askari.Kuna vurugu mkoani pwani vyombo vya habari viko bize na siasa na habari za Simba na Yanga..
Vyombo vya habari vinaogopa kuambiwa vinaandika uchochezi, je gazeti la serikali limeipa coverage hiyo habari ya Mapolisi 7 kuuwawa?
 
Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).

Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.

Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.

Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.

Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.

Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.

Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.

Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.

Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".

Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.

Kwanini? Mie sijuwi.
Uislam una uhusiano mkubwa sana na ugaidi
 
Mkuu wacha urongo na chokochoko,ushaambiwa kelele zenu abiria hazina maana,wacha roli lisonge

= lori


Umekurupuka na umefanya kiherehere. Laiti ungeusoma vizuri huu uzi usingekuja na comment hiyo.
 
"The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people. But because of the silence of the good people"

Napoléon Bonaparte
 
Hayo unasema wewe na ndivyo ulivyojazwa ujinga lakini wale wasomi ambao hawajajazwa ujinga, tafiti zao zinasema hivi:

All Terrorists are Muslims…Except the 94% that Aren’t

Non-Muslims Carried Out More than 90% of All Terrorist Attacks on U.S. Soil

Kama lugha inapanda uje utufahamishe ni nani terrorist wa kweli?
Haha kwa ukilaza wako kitu kikiandikwa kwa kimombo tu ndio kipo credible,
Unajua ni kitu gani kilichotokea this week hapa Dortmund Germany??same week Stockholm Sweden and so and so

Nikupe hint tu ...bus la timu ya ujerumani inayoshiriki Champions league Borussia Dortmund limepigwa bomu na kujeruhi baadhi ya wachezaji waliokuwa wanakwenda kwenye mechi ya klabu bingwa ya ulaya,na kukutwa barua iliosomeka hivi

Allah is our God and Muhammad is our prophet,islam is our religion,we have a list of famous people tht are supposed to be killed among them are footballers,musicians etc.

Stockholm gaidi alichukua lorry na kuliendesha kwa dhamira ya kuua watu ndani ya shopping centre na kufanya mauaji na kujeruhi vibaya innocent people,dereva alioendesha hilo gari ni mkimbizi toka Syria ambae ni muislam na ni gaidi
 
Acha blabla hakuna cha ugaid hapa nchini. Haya yanayoendelea ni sarakasi za kisiasa tu, na msizushe kutuharibia nchi yetu.

Magaid yanajulikana duniani kote, ata wewe unawajua sababu ni kundi moja. Kama wamekutuma uje kupotosha huku waambie haiewezekani

Nami nimeshangaa ugaidi anaujua au anausikia?? Ghaidi anayeua askari kisha kuwaita wananchi waje wachukue mkaa au vithibiti vilivyokamatwa pale kituo cha polisi. Magaidi walojichimbia kibiti, rufiji na maeneo hayo. Lol Hanna ugaidi wa namba hiyo ndugu

Jaman tujiongeze tu hawa.... hawa watu kuna mambo hawakubaliani nayo hasa ktk ili Beria lililoko uko maeneo ya kibiti. Mkuranga. Na maeneo hayo bhana
 
Back
Top Bottom