Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The syntax is fcuked up.
Try saying it loud and see if it makes sense [that is if you know...if you don't know it'll probably make sense but it doesn't].
Kinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).
Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.
Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.
Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.
Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.
Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.
Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".
Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.
Kwanini? Mie sijuwi.
Hapana, huo wa kuuawa wenyeviti wa CCM si mfano ni ukweli.
Unaonesha uko biased, akikamatwa mtu anaemtukana rais akatiwa adabu unakuona ni ugaidi lakini wakiuliwa watu chunga nzima kwa kuwa hawako chama unachokishabikia unaona ni mfano.
What a way of thinking.
we bibi watu wauawe wafanyiwe ukatili jamii ikae kimya? ushauri huu umeutoa kufuatia mapenzi yako huko ccm lkn nina uhakika kama saa8 angekuwa nduguyo lzm ungefikiri tofauti. haki huinua taifa.
Tunakaa kimya kwasababu tunaweza tukawa tunahusika nayo kwa namna moja au nyingineWell, Kama inabidi tupige kelele mbona tumekaa kimya wakati wenyeviti wa mitaa wa CCM wanauliwa kigaidi huku Mkuranga na Rufiji?
Kuna matukio yanayoashiria ugaidi zaidi ya hayo kwa sasa?
kutopigia kelele mauaji ya kusini, siyo kwamba unaunga mkono mauaji hayo lkn hata wewe unaweza kupigia kelele mauaji hayo lakini kutaka watu wanyamaze wakati watz wanateswa au kuawa siyo kitendo cha busara.Sijaona mtu akipigia kelele ugaidi wa kweli unaofanyika Kusini, au wale si binadam wanaouwawa kule?
When you can't debate the points you resort to insults[emoji23].Cut the BS. Am I saying anything here? I'm simply typing, shove your syntax in your behind dude.
Hapana, kwanza sidhani kama umefikia kiwango hicho cha kumchukulia kila mtanzania ni ndugu. Wataalam watanisahihisha lakini nadhani kuna UNDUGU na UDUGU. Undugu is more touching. When you miss, you real miss him or her. Ni vigumu kukaa kimya.Ni njia mojawapo ya kupigana na ugaidi, Watanzania wote ni ndugu na yanayowafika hata mimi yananihusu na ndiyo maana nimeleta mjadala huu.
Una picha za harusi na nakala za cheti cha ndoa?Sijawahi kumsikia mkewe Ben Saanane akisema chochote au wewe ndiye mkewe?
Una picha za harusi na nakala za cheti cha ndoa?
Ndoa ni mchakato, kama hajaupitia basi Ben Saanane hana mke
Hapana, kwanza sidhani kama umefikia kiwango hicho cha kumchukulia kila mtanzania ni ndugu. Wataalam watanisahihisha lakini nadhani kuna UNDUGU na UDUGU. Undugu is more touching. When you miss, you real miss him or her. Ni vigumu kukaa kimya.
King Cobra
Hao wa nje uliowataja kuwa ni magaidi, kama ni magaidi kweli, huwa wanajitangaza ili walichokifanya kiwafikie wengi.
Huu wa kwetu mpaka leo sijaona aliyejitangaza, si kwa matukio ya Kusini ya kuuliwa wenyeviti wa CCM wala tukio la Roma au la Ben Saanane. Kwanini?
Nafikia kusema kuwa hawa magaidi wa kwetu wanataka wanatutumia sisi tuliojawa hofu tutangaze na hofu isambae zaidi na zaidi. Dawa yake nini?
Nionavyo, tukitangaza ndiyo furaha yao kwani malengo yao yametimia.
Tukikaa kimya lengo lao moja la kutangazwa litakuwa halijatimia. Hii itakuwa pigo kubwa kwao na itabidi tu wajitangaze, na hapo ndiyo tutawabaini kiulaini.
Hata uvamizi wa Mawingu Media ni tukio la ugaidi,na kwa kuwa Kiongozi wa uvamizi alionekana dhahiri then Gaidi Mkuu anajulikanaKinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).
Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.
Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.
Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.
Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.
Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.
Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".
Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.
Kwanini? Mie sijuwi.
Tukio la Mawingu media kwa kuwa Kiongozi wa uvamizi alionekanaNilidhani uzi huu watakuja critical thinkers na kuanza kuchambua matukio ya hivi karibuni ili tuone lipi linafaa kuwekwa kwenye ugaidi na lipi halifai.
Mpaka sasa sijaona isipokuwa post mbili tatu zimeanza lakini hazikumalizia.
Hivi matukio yepi ya hivi karibuni tunaweza kuyahusisha na ugaidi?