Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Vyombo vya habari vinaogopa kuambiwa vinaandika uchochezi, je gazeti la serikali limeipa coverage hiyo habari ya Mapolisi 7 kuuwawa?FaizaFoxy-Huyu naye aliyeua Askari wetu saba kwa mkupuo naye ni gaidi?Ni kwa sababu ni Tanzania tu.Nilikuwa naangalia magazeti ya leo.Karibu yote ni siasa tu.Gazeti moja au mawili ysmeandika tena si kwa uzito.Shooting ya polisi Saba at a time ni habari kubwa kwa wanaotambua umuhimu wa Askari.Kuna vurugu mkoani pwani vyombo vya habari viko bize na siasa na habari za Simba na Yanga..
osama ni mpango wa marekani,Watu wanadhuriwa halafu mnataka sisi tukae Kimya. Osama alipatikana kwa kuwa Wamarekani hawakukaa kimya. Kama mumeo ndiye angekuwa Ben Saanane ungekaa kimya?
Akili matopeUgaidi unaletwa na CCM.
Uislam una uhusiano mkubwa sana na ugaidiKinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).
Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.
Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.
Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.
Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.
Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.
Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".
Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.
Kwanini? Mie sijuwi.
Uislam una uhusiano mkubwa sana na ugaidi
Pumbavu zake!Hayo unasema wewe na ndivyo ulivyojazwa ujinga lakini wale wasomi ambao hawajajazwa ujinga, tafiti zao zinasema hivi:
All Terrorists are Muslims…Except the 94% that Aren’t
Non-Muslims Carried Out More than 90% of All Terrorist Attacks on U.S. Soil
Kama lugha inapanda uje utufahamishe ni nani terrorist wa kweli?
= lori
Umekurupuka na umefanya kiherehere. Laiti unegeusoma vizuri huu uzi usingekuja na comment hiyo.
Ni kweli kuna tatizo kubwa tu na njia ya kulitatua bado hatuijui mkuu.Tukubali kuwa Tanzania kwa sasa tuna tatizo na tutafute njia za kulitatua.
Matakwa yao ni yapi? Wameshakwambia madai yao hadi uamue kuwa kukaa kimya ndio solution?Lengo ni kupigana na ugaidi kwa kudhoofisha matakwa yao.
bahati yako kuna kitufe cha kuedit. Mtu mzima ovyo= lori
Umekurupuka na umefanya kiherehere. Laiti ungeusoma vizuri huu uzi usingekuja na comment hiyo.
Kwa hiyo wewe unajionaga Mrs. Clean ila wenzio ndio wakosefu wa lugha?Ulifikiri kiliwekwa kwa bahati mbaya?
Haha kwa ukilaza wako kitu kikiandikwa kwa kimombo tu ndio kipo credible,Hayo unasema wewe na ndivyo ulivyojazwa ujinga lakini wale wasomi ambao hawajajazwa ujinga, tafiti zao zinasema hivi:
All Terrorists are Muslims…Except the 94% that Aren’t
Non-Muslims Carried Out More than 90% of All Terrorist Attacks on U.S. Soil
Kama lugha inapanda uje utufahamishe ni nani terrorist wa kweli?
Acha blabla hakuna cha ugaid hapa nchini. Haya yanayoendelea ni sarakasi za kisiasa tu, na msizushe kutuharibia nchi yetu.
Magaid yanajulikana duniani kote, ata wewe unawajua sababu ni kundi moja. Kama wamekutuma uje kupotosha huku waambie haiewezekani