Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama popobawa, "akikupitia usipotangaza anarudi tena na tena mpaka utangaze kuwa umeshughulikiwa na popobawa"
Ukweli sharti usemwe. Huwezi kukaa kimya ispokuwa kama makazi yako ni pale makumbusho.
Ukweli ni kuwa tunatekwa na maofisa wa usalama wa taifa."Ukweli" bado haujasemwa kwa kuwa wote sasa hivi tunadhani tu na ndiyo lengo.
Tafuta maana ya ugaidi mkuu.... tusitetee tu... palipo na shida tuwe pamoja bila kujali dini na kabila....Vikundi vya kihuni!
Ulimboka aliyetekwa hakumtaja wala kumshitaki hata wanaharakati waliokuwa wakimsaidia ulimboka hawakumshitaki, polisi wanaanzia wapi kukamata? Aliyemtaja alikuwa kwake na raha zake. Basi mtajaji awe na sifa za kusema ukweli. Lakini Kubenea na vyombo vyake ni waongo kushinda uongo wenyewe. Kwa hali hii polisi haiwezi chukuwa hatua.Ramadhan Igwondu alichukuliwa hatua gani kwa kumteka na kumtesa Dr. Uli?
Ndio maana sikutaka kuingia huko kiundani lakini wewe unajua wahanga wa ugaidi kwa tanzania hii ni watu aina gani!Tafuta maana ya ugaidi mkuu.... tusitetee tu... palipo na shida tuwe pamoja bila kujali dini na kabila....
Ugaidi tunaujua au tunausikia jamani? Neno zito hilo binamuKinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).
Lengo la ugaidi ni kuwatia watu hofu na kufikisha ujumbe kwa wengi kwa njia ya hofu.
Matukio yanayoongelewa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao yote ya kijamii mpaka nchi za nje kwa sasa ni hayo, kuanzia watu kutekwa, kutolewa bastola hadharani, mauaji ya Kusini huko, watu kukutwa kwenye viroba, kupotea kwa watu na mengi mengineyo, yote yanaashiria ugaidi.
Magaidi hujitokeza na kusema sisi ndiyo tuliyoyafanya hayo ili waogopwe au matakwa yao yatimizwe au hukaa kimya na kuwachochea kivingine kwa lengo hilo hilo.
Matukio ya ugaidi yanapotokea pia hujitokeza wengine ambao hutumia fursa hiyo kufikisha ujumbe wao kwa njia tofauti.
Kwa yanayotokea Tanzania, ukweli ni kuwa, kuna wanaofanya huo ugaidi wa kutisha na kuna wanaotumia huo gaidi kama ni fursa kwao kufikisha ujumbe wao ama kwa kuongezea ugaidi mwingine au kwa kuendeleza hofu kwenye jamii na vyombo husika.
Watanzania tunachotakiwa kufanya ni kukaa kimya na kufunga hii mijadala yote na kuwacha kuripoti matukio yote ya kigaidi ili kushindana na ugaidi.
Gaidi kama matukio yake hayaongelewi kazi yake inakuwa haijafanikiwa.
Au leta mawazo yako ni njia gani zitumike kutatuwa hili tatizo "linalotukabili".
Kwa muono wangu, kila tunapoyaongea na kuyasambaza ndiyo furaha ya magaidi na ndiyo lengo lao, wengi wajawe na hofu.
Kwanini? Mie sijuwi.
Ndo mkae mkijiuliza why ben? Why Roma? Tiss sio machizi kama wengi wenu humu, wale watu sio wa mchezo wana mbinu za kiitelijensia ya hali ya juu, cha muhimu ni watu maarufu kujua mipaka yao nini wanatakiwa kusema na kwa wakati gani, hakuna aliyedhihaki serikali akabaki salama, why wakamatwe ben na roma pekee? Sio mnakurupuka tu mnafikiri Tiss ni vibaka tu wa mitaaniUngemuomba diamond mtoe remix ya wimbo wake inaonekana mna mawazo yanayo fanana!
Eti tukae kimya, imagine ungekuwa mzazi wa Ben saanane ungenyamaza kimya?
Ungekuwa nape bastola live ungenyamaza kimya?
Nani katishwa? Na katishiwa nini? Na kwa sababu gani?Terrorism maana yake ni vitisho, hata nyumbani unapomkemea mwanao ni vitisho "terror".
Inabidi ubadili njia na uanze kumlea bila kutishana.
Chini hapo nimesema, sijuwi. Ni mjadala.
Rhetorical answerKuna kitu kinaitwa moles kwenye intelijensia.
Wewe nawe pia hujui, neno UGAIDI ni kitendo kinachofanywa na mtu GAIDI maneno hayo ya kiswahili yametafsiriwa kutoka ktk terms za kiingereza yaani Terror lenye kumaanisha pamoja na maana zingine KITISHO na TERRORISM lenye maana ya kitendo cha utishaji kinachofanywa na mtishaji TERRORIST, mfano mtu anaye mtishia mwingine kwa bastola anaweza kutumia maneno kama " hands up" au hata "terror" akimtaka ku-jitiisha chini ya amri zake. Sasa pamoja na exposure ya ugaidi kwa maana uliyoifafanua wewe ugaidi una maana pana zaidi, hivyo bado mleta mada hajakosea kwa tafsiri yake.Wewe ndo hujui, huo si ugaidi. Ugaidi una lengo la kushinikiza serikali/taasisi flani kufanya au kuwapa wanachohitaji. Sasa hawa wa tz wanahitaji nini maana hawajajitokeza.
Kwahiyo wewe hapa uko kwenye uzinduzi wa Reli?habari za ugaidi ndio zinapendwa sana na CHADEMA na ndio wamejaa huku kwenye mitandao wanazisambaza kwa kasi sana....leo Magufuli anaweka jiwe la msingi ujenzi wa reli hakuna anaejali....CHADEMA wako busy na habari za watu kutekwa! CHADEMA ni janga la Taifa
Kwanza Raisi ampangie kazi nyingine Bashite, hapo nahisi Magaidi watakosa point, maana matukio yote ya ugaidi mwisho anatajwa Bashite. Rais atafute kijana mwingine wa Kisukuma anayemwamini aanzie alipoishia BashiteKinachoendelea sasa hivi Tanzania ni ugaidi (terrorism).