Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni tetesi kwa sababu hakuna takwimu zenye kuhusisha ulaji wa ugali wa dona na kansa.
Bado ukweli ni kwamba kiini cha mahindi hutunza "fungus" na ndiyo mama wa "aflatoxin".
Kwa maeneo ya joto na unyevunyevu (kama huku TZ) kansa ni ugonjwa mkubwa kwa kula aina hiyo ya vyakula vinavyozalisha "fungus" km dona, unga wa mhogo unaovundikwa hadi kuwa mweusi nk.
"Fungus" hafi kwa kuchemsha chakula.
Sikitumwa na Bakhtesa
Sifanyi biashara ya nafaka au yoyote biashara.
Nimedokezwa tetesi ili wataalamu humu jamvini watuthibitishie
Mkuu laiti watu wengi wangekuwa na busara kama zako. Mimi bado nasisitiza kuwa elimu yetu ni majanga. Hii sumu iko dhahiri lakini kuna watu wanauliza mbona fulani kala dona mpaka kazeeka! Really? Mtu anayewaza namna hii elimu ilimsaidia? Wao wanataka kuona yale madhara ya tit for tat! Hawajui mambo ya probability...
Mkuu tungejaribu kupanua mawazo kidogo. Sidhani kama wanasema kula dona au unga wa mihogo utapata hayo madhara! Ni kula dona ambayo inatokana na mahindi ambayo hayajahifadhiwa vizuri. Na ule kwa kipindi kirefu. Na mihogo ni hivyo hivyo. Sasa nenda mbali zaidi uone hao wanaotumia unga wa mihogo huwa wanahifadhi namna gani? Mimi najua kuna njia za jadi za kukausha vitu kama mihogo ambazo ni nzuri sana kiasi ambacho fungus hawawezi kusogea. Halafu angalia upande wa pili wa shilingi: Je imeshafanyika research kujua kama kuna madhara au ongezeko la kansa kwa hilo eneo? Je diagnosis za hospital zetu ni nzuri kiasi ambacho tunajua kila ugonjwa unaosababisha kifo? Je ni wote wanakwenda hospital wanapougua? Mkuu hivi vitu bila research nadhani sio rahisi kujua! Unajua kuna mtu anaweza kuzaliwa mpaka akafikisha miaka 70 bila kuwa na mtu wa karibu ambaye amepata kansa kwa sababu ya sigara? Je inaondoa ukweli kuwa tunaweza kuwa na ndugu wengi wanavuta sigara na sigara zinachochea aina fulani za kansa?hivi mpaka una kula mahindi yenye fungus utakua huwaoni mbona fungus wanaonekana by naked eyes
Aspergillus flavus
Fungus
Aspergillus flavus is a saprotrophic and pathogenic fungus with a cosmopolitan distribution. It is best known for its colonisation of cereal grains, legumes, and tree nuts. Postharvest rot typically develops during harvest, storage, and/or transit. Wikipedia
Scientific name: Aspergillus flavus
Higher classification: Aspergillus
Rank: Species
cha muhim ni kwamba tafuta mahindi safi osha kwa kadri utakavyoweza nenda kasage au nunua kutoka kwa reliable source.
kuna mdau aligusia unga wa mhogo kwa ufupi hakuna watu wanaoutumia sana kama watu wanaotoka kanda ya ziwa
lakini sijasikia canser cases za kutisha kiasi hicho mnachosema ,karanga pia yale yale jamani tusiwe washabiki kwanza topic yenyewe ukifuatilia imeandikwa tetesi ,wacha watu wale mbegu ndo mojawapo ya chakula alichoruhusu Mungu
usiwatishe kiasi hicho.
Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Hakika hawajakaza kula dona wala mihogo! Wametoa tu tahadhari ya kuhifadhi vizuri! Hata soda watu bado wanakunywa! Ila kuna tahadhari ya kutozidisha, Kama ilivyo pombe!sasa tule nini kila kitu sumu too much is harmful soda sumu mbona zinatengenezwa ukiishi ivo kila kitu utaacha kula TUSIKIMBIE KULA TOENI SULUHISHO
kwani kansa haidhuiriki ipo kwenye dona tu
kuzitoa radicals au sumu zozote mwilini unazimaliza kwa vyakula ivo ivo you are for what you eat
matunda hayawezi kuweni makini na data zenu
Hakika hawajakaza kula dona wala mihogo! Wametoa tu tahadhari ya kuhifadhi vizuri! Hata soda watu bado wanakunywa! Ila kuna tahadhari ya kutozidisha, Kama ilivyo pombe!
Mkuu laiti watu wengi wangekuwa na busara kama zako. Mimi bado nasisitiza kuwa elimu yetu ni majanga. Hii sumu iko dhahiri lakini kuna watu wanauliza mbona fulani kala dona mpaka kazeeka! Really? Mtu anayewaza namna hii elimu ilimsaidia? Wao wanataka kuona yale madhara ya tit for tat! Hawajui mambo ya probability...
Mkuu tungejaribu kupanua mawazo kidogo. Sidhani kama wanasema kula dona au unga wa mihogo utapata hayo madhara! Ni kula dona ambayo inatokana na mahindi ambayo hayajahifadhiwa vizuri. Na ule kwa kipindi kirefu. Na mihogo ni hivyo hivyo. Sasa nenda mbali zaidi uone hao wanaotumia unga wa mihogo huwa wanahifadhi namna gani? Mimi najua kuna njia za jadi za kukausha vitu kama mihogo ambazo ni nzuri sana kiasi ambacho fungus hawawezi kusogea. Halafu angalia upande wa pili wa shilingi: Je imeshafanyika research kujua kama kuna madhara au ongezeko la kansa kwa hilo eneo? Je diagnosis za hospital zetu ni nzuri kiasi ambacho tunajua kila ugonjwa unasababisha kifo? Je ni wote wanakwenda hospital wanapougua? Mkuu hivi vitu bila research nadhani sio rahisi kujua! Unajua kuna mtu anaweza kuzaliwa mpaka akafikisha miaka 70 bila kuwa na mtu wa karibu ambaye amepata kansa kwa sababu ya sigara? Je inaondoa ukweli kuwa sigara zinachochea aina fulani za kansa?
Mimi nadhani sio kweli kuwa ''kansa nyingi huku kwetu zimekuja juzi juzi tu''. Zilikuwepo ila kwa sababu ya uhaba wa hospital na utibabu wenye utaalam mdogo basi watu wengi walifariki bila watu kujua ni nini kimewaua. Mawazo yako ni kama ya waafrika wengi wanaosema eti wazungu wengi wana macho mabovu kwa sababu ya kuvaa miwani. Kumbe ukweli ni kuwa huku kwetu hakuna madaktari wa macho wengi na watu wengi wanazeeka bila kupata huduma ya macho.k
kwani kama kwenye dona huyo fungus akiingia kwenye sembe atashindwa kwanza unazijua tabia za fungus na reproduction yake wacha bwana fungus anareproduce asexualy kwa maana hata wakiingia punje
kuhusu dona mii naquote alichoandika mtoa mada sababu amecompare dona na sembe ,mimi nistick nachojua kansa nyingi tumeanza kuzisikia kutoka katika chi zilizoendelea huku kwetu zimekuja juzijuzi tu na nyingi ninavyojua zinatokaana na mabadiliko katika hali ya maisha kutoka ukale kuja katika usasa ni kama cases za presha na stroke.
Kuna mazoezi ambayo hayatajiwi kwa aina fulani ya watu hasa watu wenye umri kuanzia 35 na kuendelea.
Kama ni mbolea hata vijijini wanatumia sana kiongozi.Bado nasisitiza tunaomba ushauri tule nini?Tumia dona ambayo mahindi yake hayakutiwa dawa. Unaweza kuagiza mahindi hata kijijini kwenu ukasaga mwenyewe kuliko kununua katka masoko.
Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA