pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
hahaaaaaaaaaaaa! KUNYWA BIA UOKOE MAJI!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nadhani sio kweli kuwa ''kansa nyingi huku kwetu zimekuja juzi juzi tu''. Zilikuwepo ila kwa sababu ya uhaba wa hospital na utibabu wenye utaalam mdogo basi watu wengi walifariki bila watu kujua ni nini kimewaua. Mawazo yako ni kama ya waafrika wengi wanaosema eti wazungu wengi wana macho mabovu kwa sababu ya kuvaa miwani. Kumbe ukweli ni kuwa huku kwetu hakuna madaktari wa macho wengi na watu wengi wanazeeka bila kupata huduma ya macho.
Katumwa Huyu ni ofisa biashara wa Monobani & azamu company limited .Aliyekufundisha kakupoteza kabisa, na kama umetumwa kamwambie amechemsha!
Sikatai kuwa maisha ya sasa i.e. vyakula, mazingira na life style vimechangia kuongezeka kwa magonjwa mengi. Nachosema ni kuwa hata zamani yalikuwepo tena sana ila diagnosis ndio ilikuwa shida. Bila kusahau upashanaji habari. Zamani watu walikuwa wanajua matukio yanayotokea kijijini na maeneo ya karibu, lakini siku hizi mtu unapata matukio ya nchi nzima kwa urahisi zaidi.soka za mchangani bila data hazifai sijaongelea kansa pekeake
chukua statistics za miaka ya 90 nakitu na saivi uone tofauti kama sio mfumo wa maisha ya usasa yanayoleta hayo yote
maraya mwisho umekula mboga za majani lini na kutafuna caroti sema ukweli kutoka moyono mwako
kama mmojawapo wa walachipsi wazuri unaongelea macho macho na daktari kamatatizo la macho si la kurithi basi sababu ni wewe mwenyewe angalia hata viumbe wala majani wanaishi zaidi ya wanaokula nyama afu unaongelea tatizo la macho .
We mtu umenichekesha sana. Kwa hiyo unaamini sumu ikipikwa haileti tena madhara. Kama vile vimelea vya magonjwa?Daah!...kama na dona sumu basi hakuna chakula tena
Ila hata kama kuna huyo "aflatoxin" kwenye dona bado virutubisho vya dona vinaweza kua ni vingi kuliko hiyo sumu
Na kabla ya kusonga ugali ule uji hua unachemka kwa centigrade nyingi sana hiyo sumu bado inabaki salama?
Mkuu umenirudisha form two kwenye disadvantage of kingom fungi ha ha haWatu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA