Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mkuu Hii Habari nina wasiwasi kuwa sio habari ya Ukweli soma hapa chini Habari kamili.Watu wengi kwa sasa wamependelea kula ugali uliopikwa kwa unga wa mahindi usiokobilewa, maarufu 'dona'. Pamoja na kwamba mahindi uhifadhiwa kwa madawa ili yasiharibike (athari kwa fedha) kuna tatizo lingine kwa afya zetu yasemekana.
Tahadhali na unga wa dona, ni hatari kwa afya kwa sababu ya sumu inayoitwa 'aflatoxin" ambayo huwa ndani ya kiini cha mbegu ya mhindi. Ukikobolewa kiini uondolewa na kubaki unga mweupe (sembe).
Wengi sasa hawependi kula ugali wa sembe kwa sababu ya kukosa protini (iliyomo kwenye kiini). Lakini hasara ya kukosa hiyo protein ni ndogo sana kulinganisha na madhara ya "aflatoxin" itakayosababisha "cancer" mwilini mwa binadamu.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
VYAKULA NA MAGONJWA; Faida na hasara ya unga wa mahindi wa kukoboa
Kwa ufupi
- Kwa sababu, hawataweza kula chakula cha kutosha na kupata virutubisho hasa wanga kwa kiasi kinachohitajika na mwili. Kinachotakiwa ni kuwaelimisha njia mbadala ya kuziba pengo la virutubisho linaloweza kupatikana na matumizi ya unga uliokobolewa.
- Chanzo.VYAKULA NA MAGONJWA; Faida na hasara ya unga wa mahindi wa