Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

Dunia Ya Sasa Ujuzi mwingi mpaka Sisi wenyewe tunajiona sumu


Jigo
 
Aaah! kwenda zenu huko tumechoka na porojo za kila kitu sumu, tukila sembe akina mzizimkavu wanatwambia tunakosa nguvu za kiume. sasa tunakula dona tena inasumu? kuna wazee wako vijijini huko wameanza kula dona we mtoa mada hujazaliwa na mpaka leo wapo wanadunda tu. . . . peleka huko matetesi yako. . . pumba kabisa
 



soka za mchangani bila data hazifai sijaongelea kansa pekeake
chukua statistics za miaka ya 90 nakitu na saivi uone tofauti kama sio mfumo wa maisha ya usasa yanayoleta hayo yote

maraya mwisho umekula mboga za majani lini na kutafuna caroti sema ukweli kutoka moyono mwako
kama mmojawapo wa walachipsi wazuri unaongelea macho macho na daktari kamatatizo la macho si la kurithi basi sababu ni wewe mwenyewe angalia hata viumbe wala majani wanaishi zaidi ya wanaokula nyama afu unaongelea tatizo la macho .
 
"Mawazo yako ni kama ya waafrika wengi wanaosema eti wazungu wengi wana macho mabovu kwa sababu ya kuvaa miwani. Kumbe ukweli ni kuwa huku kwetu hakuna madaktari wa macho wengi na watu wengi wanazeeka bila kupata huduma ya macho".



mimi ni mwafrika na mawazo lazima yawe ya kiafrika wewe mzungu mweusi una mawazo ya kizungu
nahisi ulizaliwa Africa accidentally VIVA AFRICA N I LOVE AFRICA ILL DIE IN AFRICA,NAUKUBALI UAFRIKA

BILA AFRICA HAO WAZUNGU WANGEKUWA WAPI HUKUSOMA HATA history @ macho_mdiliko said
 
Sikatai kuwa maisha ya sasa i.e. vyakula, mazingira na life style vimechangia kuongezeka kwa magonjwa mengi. Nachosema ni kuwa hata zamani yalikuwepo tena sana ila diagnosis ndio ilikuwa shida. Bila kusahau upashanaji habari. Zamani watu walikuwa wanajua matukio yanayotokea kijijini na maeneo ya karibu, lakini siku hizi mtu unapata matukio ya nchi nzima kwa urahisi zaidi.
 
Mi Naendelea Tu Kugonga Donna Mixed Ngano Na Uwele, Kama Kawa Tu!! Sembe Haipandi Kabisa!!!
 
jamani hivi kweli nitaweza kuacha maana mimi nachanganyaga dona na unga wa muoga yaaan sidhani kama nitaweza kuacha kuula naupenda sana yaaan hii ni taarifa mbaya kwangu
 
We mtu umenichekesha sana. Kwa hiyo unaamini sumu ikipikwa haileti tena madhara. Kama vile vimelea vya magonjwa?
 
Huyu jamaa katuona wa dodoma tuanze kula viwavi jeshi? Dona udaga na mtama nikupiga huo na sato wangu najisikia vzr kimwili kiafya na kiakili mkuu
 
Mkuu umenirudisha form two kwenye disadvantage of kingom fungi ha ha ha
 
Tangazo la shetani hilo, huko vijiji kuna vizee vimekula dona tokea utoto hadi wamezeeka hakuna hiyo canser sasa kizazi hiki ndio kizazi chakutangaziwa kila tangazo la kifo ili kuwaogopesha watu, hayo mambo ya cancer ni yako dona kama kawaida ingekuwa ni kweli tungrpoteza wafungwa wote na magerezani na madent wa boarding schools
 
Du walisema tusile Sembe! leo wanasema tusile dona! Sasa tule nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…