Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Kwani wemekimbia nini huko na Uganda Kuna Nini?

USSR
 
Marekani wamemwomba raisi Museven awahifadhi kwa muda kabla hawajapelekwa Marekani.

Wapo 2000 na wote inabidi wapimwe COVID-19 wawe documented maana wengine waliingia tu kwenye ndege.

Hivyo wapo kwenye Transit Uganda itapiga mpunga wa kutosha hapo.

Ni shughuli ya miezi mitatu na nchi zingine zitaleta watu hao hapo Uganda.

Marekani itagharamia kila kitu.
 
Mkuu usilaumu sana. Hao wote hawatakaa Uganda maishani mwao yote. Watakuwa chini ya UNHCR. Baada ya paper works kukamilika watatawanywa kila mmoja ama familia nchi tofauti tofauti zilizoendelea Australia, Marekani, Canada, Uingereza EU. Na sio wao wataamua ni nchi gani wanaenda.

Process itachukuwa muda kwaanzia miezi 12 hadi miaka 5. Wa Afghanistan wanaofanya kazi UNHCR watakuwwpo hapo kufacilirate kila kitu wakisaidiana na wafanyakazi wengine.

Halafu kwa Museveni ni hela ndefu atapata sana kwa kipindi hicho. Hao Waafghanistan watapokea msaada wa fedha na malazi kwa kipindi chote wakisubiri kuwaresettled hawajapoteza chochote kabisa.

Kumbuka pia majeshi ya Ethiopia jamii ya Tigray walioenda kulinda amani Darfur na kwengineko wote kwa mamia wako Uganda kama wakimbizi wakisubiri ni nchi gani watapelekwa.
 
Na wale mercenaries ambao US itawatuma kwenda Congo watatokea kwenye unit ipi?

Kwenye hao hao mamluki waliotoka Afghan au kitakuja kikosi fresh from pentagon?

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Wasingeweza kuwachukua ghafla vile
Na hao wote wataondoka hapo wengine marekani na ulaya...
 
Hapo hapo Uganda hao jamaa walivyokuwa wapiganaji wanaweza kutusua,trust me

Ova
 
Jamaa zetu flani baada ya kusikia hiyo issue ya Uganga wameondoka fasta now wapo namanga wanachanja mbuga to Entebe
 
Hapo hapo Uganda hao jamaa walivyokuwa wapiganaji wanaweza kutusua,trust me

Ova
Afghan are very good people. Ni jamii ya Pashtun ndio watata na ndio Taliban na wako wengi ni asilimia 42 na hao Pashtun hawasafiri kabisa. Ni hizi jamii zingine za afghanistan minority kama Uzbek, Hazara, Tajik, Aimak, Baloch (akina Rostam), Turkmen hao ndio unawaona wanatoroka Afghanistan. Wanaonewa sana na Taliban kwasababu wametofautiana kimafundisho na mila.

Malala ni pashto wa Pakistan sijui imetokea vipi akawa na Mrengo tofauti. Ndo maana Taliban wanammaindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…