Uganda imekubali kuwapa raia wa Afghanistani hifadhi ya ukimbizi

Uganda wanapaoneaaa...

Ma Zionist(Wana israeli) mwaka 1903 walipokosa nchi ya kujihifadhi Walikabidhiwa Uganda(eneo la kenya ya leo) na Muingereza kabla ya kukataa kusema sisi tunatokea Palestina
Leo hii wa Afrighanistan Wamepelekwa huko huko....
 
hao jamaa ni Sunni au Shia?
 
Mrangi mkuu unajua kuna siku ntakutafuta huko na exposure sana. Uligusiaga kidogo biashara yako ya real estate Canada kwenye comment flani hivi. Nikasema huyu si mwenzetu. Ila unakausha hujioneshioneshi.
Real Estate ndo nini baharia?
 
Kabisa na hao wengi walikuwa wanafanya kazi Za ukalimani,upishi n.k kwenye Kambi za Jeshi za USA ,wengi wanaofia maisha yao baada ya Talaban kuchukua nchi.USA imewahaidi kuwapa makazi USA ila mbali na kupata chanjo ya Corona,wanatakiwa kuwa Vetting na FBI na CIA ndo waweze ingia USA
 
Afadhali. Nimefarijika kusikia hivyo. Wanastahili kupata makao mapya bora zaidi kuliko walikotoka.
 
amekaa bongo kwa muda gani? au mzawa
 

Nani kakuambia aghan ni waarabu?
 
Nafikiri ni muda wa kutafta hifadhi kwa mzee Yoweri Kaguta πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mchongo wa kuzamia US umeiva
 
Ni kawaida Uganda kuhost wakimbizi. Uganda ni miongoni mwa nchi zenye rekodi ya kuhost wengi zaidi Duniani.
Mkimbizi Uganda anaruhusiwa kufanya kazi ya kujikimu na uhuru wa kutembea(hafungiwi kambini)
Uganda's progressive refugee policy has been widely acknowledged. ... Uganda is widely recognised as having one of the most progressive refugee policies in the world. In addition to hosting more refugees than any other country in Africa,[1] it allows refugees the right to work and significant freedom of movement
 
Kwani hao ndugu zao majirani si wako na utulivu? Kwa nini wasiende huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…