Uganda: Ndugu waungana kumkata mikono jamaa kisa ameaga uislamu na kujiunga Ukristo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Baba yake alibariki huo ukatili na kusema sharia ya kiislamu inaruhusu kumfanyia chochote baada ya yeye kuaga hiyo dini ya muarabu.

Niliona pale Kampala idadi ya waislamu kama inazidi kuongezeka, haya matukio yataongezeka sana kwa mzee Museveni, kajizeekea na kuacha nchi iendelee kuharibika.
698494368_4470704866477998_461166811904813088_n.jpg

==============================

Muslim relatives of a man in eastern Uganda who accepted Christ in March cut off his hands on April 17 in an attack over his new faith, sources said.

Kalegeya Faruku, 40, was recovering from severe injuries after the attack at about 7 p.m. at his family home in Jinja, in the district of the same name.

“I gave my life to Jesus in early March 2026, and my family members were not happy,” Faruku told a Morning Star News contact. “They became very angry and started sending me threatening messages about taking my life.”

Faruku said that on April 17 he returned home briefly to collect personal belongings before relocating to a safer place. He intended to travel to Busembatia Town Council in Bugweri District, where a friend who had shared the gospel with him resides.

Relatives ambushed him upon arrival, he said.

“I found my brothers waiting for me, as if they had been informed,” Faruku said. “My elder brother approached me and pretended to ask about my whereabouts. Suddenly, he grabbed me, and others surrounded me.”

They took him into the house and cut off his hands while reciting Islamic scripture, he said. Morning Star News has seen photos of the severed limbs. The relatives later transported him about five kilometers away and abandoned him near a crossroads, severely injured, Faruku said.

“I thank God that a stranger found me and raised an alarm,” he added. “People came and rushed me to a nearby clinic for medical attention.”

He was receiving medical treatment at a health facility whose name is withheld for security reasons.

An assistant pastor of an evangelical church in the district said Faruku had been attending worship services at his church. The names of the church and assistant pastor are withheld for security reasons.

Faruku is still undergoing treatment the health facility.

His father, Lubega Issa, justified the attack by saying, “That is what sharia [Islamic law] instructs us to do to those who deny the religion of Allah,” according to the assistant pastor.

Police had not released a statement about the incident at this writing, and it remained unclear whether any arrests had been made.

Christian community members and leaders have called for a thorough investigation and for renewed emphasis on peaceful coexistence and freedom of belief.

The attack was the latest of many instances of persecution of Christians in Uganda that Morning Star News has documented.

Uganda’s constitution and other laws provide for religious freedom, including the right to propagate one’s faith and convert from one faith to another. Muslims make up no more than 12 percent of Uganda’s population, with high concentrations in eastern areas of the country.

If you would like to help persecuted Christians, visit https://morningstarnews.org/resources/aid-agencies/ for a list of organizations that can orient you on how to get involved.

If you or your organization would like to help enable Morning Star News to continue raising awareness of persecuted Christians worldwide with original-content reporting, please consider collaborating at
https://morningstarnews.org/donate/?
 
1)We kwenu Mafuta hakuna unaangaika kufanya propaganda kuupinga UISLAM!!

2) Unajua Sheria iliopitishwa India kuusiana kubadili Dini

3) mbona habari zako ni juu ya ubaya wa UISLAM tu kama unapenda habari za Dini mbona matukio yapo mengi ya iman zote UISLAM Ukristo lkn wewe kwako ni UISLAM tu!!

Unatafuta matukio mpaka Uganda wkt kwenu Kenya yapo matukio yanavutia zaidi lkn ulet!!!

mfano lile tukio la Baba Mchungaji w kanisa kunasa kwenye Mbunye ya mke wa mtu tena mumewe uyo mwanamke ni mshirika wa Kanisa ilo ilo!!!!

ukweli Wachungaj wahuni sana !!
na hawana aibu!!!

pata picha jinsi tukio limetokea Mchungaji kachukua uyo mke wawatu kampeleka Gest house wakati wanaendelea kuzivunja amri za Mungu ikatokea wamenasana Mchungaji ukuni wake umenasa ndani ya uyo mke wawatu!!

Baada kushindwa kujinasua kwenye mbunye Mchungaji na uyo mwanamke ilibidi wapige kelele kuomba msaada 🫡🫡

watu wakajaaa wakawatambua kwanza kisha wakatoa msaada wakawafunika shuka jeupe na kuwabeba wote kwa pamoja wakapelekwa hospital.

Mwanaume wakamtambua ni Baba Mchungaji mwenye kuongoza kanisa jiran tu apo😜 mwanamke ni mke wa mshirika wake kanisani apo apo😜

nakuu

1) Mke wa mtu

2)mke wa mshirika wake kanisani.

Baba Mchungaji anajibebea kwenda kutafuna!!!!

Mk254 habari kama izi mbona unazipita tena apo apo kwenu Kenya

unaangaika kwenda Uganda kutafuta habari lengo lako ni UISLAM tu!!!!!!!!!!!!!!
 
Mnanijua sinaga habari za uwongo ukitaka kuisoma iyo habari ipo✅️

fanya ivi ingia Google andikwa tu kwa kiswahili Mchungaji anasa kwenye mbunye Kenya ✅️

itafunguka utasoma mwenyewe na picha utaona pia!!

Jamii forum inazuiya picha za ivyo kitumwa apa.

Soma mwenyewe lkn picha usitume jamii forum❌️
 
Unatumia nguvu nyingi kutetea huo uchafu kwenye hiyo dini ya muarabu ilhali maandiko yako wazi, mumeagizwa kuua yeyote anayeshtuka na kuaga huo uzombi wa muarabu.

1. Sahih al-Bukhari 6922
Hili ndilo agizo la moja kwa moja zaidi kuhusu kuacha dini.
  • Matini: "Yeyote atakayebadilisha dini yake (ya Kiislamu), basi muueni."
  • Matini ya Kiarabu: مَنْ بَدَّلَ دِينَهُ فَاقْتُلُوهُ
  • Namba mbadala: Unaweza pia kuikuta kama Juzuu ya 9, Kitabu cha 84, Hadithi ya 57 kulingana na toleo la kitabu.

2. Sahih Muslim 1676a
Hadithi hii inataja kuacha dini kama moja ya mazingira matatu pekee ambapo inaruhusiwa kuchukua maisha ya Muislamu.
  • Matini: "Damu ya Muislamu... hairuhusiwi kumwagwa isipokuwa katika visa vitatu: mzinifu aliyeoa/aliyeolewa, kulipiza maisha kwa maisha [uaji], na mwenye kuacha dini yake na kujitenga na jamii."
  • Namba mbadala: Katika baadhi ya tafsiri za Kiingereza au mifumo ya zamani ya namba, inatajwa kama Kitabu cha 16, Hadithi ya 4152 au Hadithi 1676. Pia inapatikana katika Hadithi 40 za An-Nawawi (Hadithi ya 14).
 
Mnanijua sinaga habari za uwongo ukitaka kuisoma iyo habari ipo✅️

fanya ivi ingia Google andikwa tu kwa kiswahili Mchungaji anasa kwenye mbunye Kenya ✅️

itafunguka utasoma mwenyewe na picha utaona pia!!

Jamii forum inazuiya picha za ivyo kitumwa apa.

Soma mwenyewe lkn picha usitume jamii forum❌️

Hayo ni matukio ya mtu binafsi, hajaagizwa na dini moja kwa moja, ni matukio tu kama yale ya mohammad kudinya katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa.
 
Sasa uyo Aisha ni Bint yani kike miaka 9 na hakuna ushahidi wa %100

Namm nijibu kwako pande yako
na ushahidi upo w%100 au 200 ukitaka✅️

tuamie kwako tuone kulivo kutakatifu 🫡🫡🫡🫡

MASKOFU kudinya vitoto vya kiume kwanzia miaka 3 kwenda mbele naomba jibu lako?????

Kumbuka msomaji sio kike no❌️

kesi ya uku Cristian tofaut!!

sasa tupo kudinya kiume tn miaka 3+ ??
Msiondoke tujibiwe pamoja??

Mk254 usikimbie tujibu❗️
 
Swala

Issue ni kwamba uyo aliyefanya amefanya kwa tamaa ya mwili maandiko ya biblia haya support shida ambayo MK254 amei rise ni juu ya maandiko ya kiislamu kubariki mauaji kwa mtu aliyeacha dini ndo swala lina kuja apo yaaani muislamu akimuua muislamu aliyeacha imani sio dhambi na sio uovu icho tuuu ndo kinachoonesha shida katika imani
 
Wachungaj kenya wanawauwa waumini wake kama kuku au ndio vile ni Kondoo wameitwa ivyo!°

mk 254 kinyaaaaaa tena kwaoo apo apo!!

Visa va Wachungaj kenya vinatisha ni zaidi ya uhuni mana vinausisha mauaji kabisa lkn!!!

jamaaa yetu kimyaaa!!!! Anavipotea wkt vinatakiwa kuongelewa zaid ili kuelimisha jamii!!!

Vengine vinachekesha kama sio kusikitisha!

Baba Mchungaji mmoja baada y kukutwa na mke wa mtu Gest house yeye anadai ilikuwa ni uduma ya maombezi tu maalum!!!

japo wote wawili wamekutwa nguo zimepunguzwa sana mwilini tuseme pengine joto la maombi😜😜😜

Mimi nasema ukweli muache propaganda dhidi ya UISLAM sababu kwenu kumeoza zaidi na kunaendelea kuoza lkn waislamu hawanaga kufanya propaganda za Kidini !!!

ndiomana mnaoza kimyaa kimyaaa mkitaka kila tukio lije umu haaaaaaa tutachafua jukwaaa na msingi wa jukwaa utapotea

mengine tuyawache uko uko
yalipo bila kuchagua iwe Mchungaji au Shekhe ✍️
 
Swala

Issue ni kwamba uyo aliyefanya amefanya kwa tamaa ya mwili maandiko ya biblia haya support shida ambayo MK254 amei rise ni juu ya maandiko ya kiislamu kubariki mauaji kwa mtu aliyeacha dini ndo swala lina kuja apo yaaani muislamu akimuua muislamu aliyeacha imani sio dhambi na sio uovu icho tuuu ndo kinachoonesha shida katika imani

Kwaiyo kwako iman ipi nzuri tuanzie apo????

mbona Wachungaj wanauwa waumini wao wa Kikristo kwa jina la YESU wako¿¿¿¿

mfano Paul Makenzie kauwa kondoo wenu zaidi mia700 wameambiwa wafe njaa waende kwa YESU

jibu na ili bado nipo kenya

uyu Makenzie Dini gani ??

UISLAM umeusika apo kwenye ivyo vifo??

Nijibu nije uko uko Uganda pengine ujui ❗️❗️

imani yenu ya Ukristo imewafanya nn waumini wake!!!!
apo apo Uganda✍️

kisa kidogoo mbioo jamii forum

ndugu kukatana visu kumeanza leo¿¿

kupiga risasi mbona yapo sana Duniani kote!!

kuna uhakika gani km ni Dini sio ugomvi mwengine???
 
Baba Mchungaji Joseph kibweteere kachoma moto waumini wake mia900 ☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️
napo pale Uganda kwajina la YESU

mimi naitaga kondoo waliopotea mia900 wamechomwa!!!!

na kawaambia mnaenda kwa YESU moja kwa moja njiaaa imenyookaaaaaaa kwa YESU anawapokea !!!!!

Baba Mchungaji wetu kibweteere mpaka leo yupo na yu hai pale Uganda bwana asifiweeeeee

anatumikia kifungo cha maisha 😜😜😜 huu ndio mwisho wa Dunia 2000

Kazi kipimo cha utu kondoo waumini wanauwawa kwa kukosa maarifa.

Sijui kati ya UISLAM na Ukristo Dini ipi inauwa waumini wake kwangu YESU anatumika vibaya na Wachungaj wenu..

ushauri wangu kwenu hamuwezi kuuchafua UISLAM kwenu kumeoza zaidi✍️
 
Sasa uyo Aisha ni Bint yani kike miaka 9 na hakuna ushahidi wa %100

Namm nijibu kwako pande yako
na ushahidi upo w%100 au 200 ukitaka✅️

tuamie kwako tuone kulivo kutakatifu 🫡🫡🫡🫡

MASKOFU kudinya vitoto vya kiume kwanzia miaka 3 kwenda mbele naomba jibu lako?????

Kumbuka msomaji sio kike no❌️

kesi ya uku Cristian tofaut!!

sasa tupo kudinya kiume tn miaka 3+ ??
Msiondoke tujibiwe pamoja??

Mk254 usikimbie tujibu❗️

Ushahidi upo kwenye maandiko yenu ya kuhusu Mohammad kufanya huo uchafu kwa kudinya katoto umri miaka tisa, ni aina ya uchafu unaotia kichefu chefu cha kutapikisha. Katoto hakajaota hata chuchu yaani lizee miaka hamsini na mijasho yote ya huko uarabuni linakatia dushe.....

Kuhusu maaskofu kufanya uchafu wowote hao ni watu binafsi ambao wamejiunga kwenye Ukristo walioukuta, sio kama mohammad ambaye yeye alianzisha kabisa dini yake ya uislamu, maana kwamba kila alichokifanya kinachukuliwa kama sheria na wote wanaofuata hiyo dini yake.

Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa."Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.
 
Baba Mchungaji Joseph kibweteere kachoma moto waumini wake mia900 ☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️
napo pale Uganda kwajina la YESU

mimi naitaga kondoo waliopotea mia900 wamechomwa!!!!

na kawaambia mnaenda kwa YESU moja kwa moja njiaaa imenyookaaaaaaa kwa YESU anawapokea !!!!!

Baba Mchungaji wetu kibweteere mpaka leo yupo na yu hai pale Uganda bwana asifiweeeeee

anatumikia kifungo cha maisha 😜😜😜 huu ndio mwisho wa Dunia 2000

Kazi kipimo cha utu kondoo waumini wanauwawa kwa kukosa maarifa.

Sijui kati ya UISLAM na Ukristo Dini ipi inauwa waumini wake kwangu YESU anatumika vibaya na Wachungaj wenu..

ushauri wangu kwenu hamuwezi kuuchafua UISLAM kwenu kumeoza zaidi✍️

Hata achome mia tano, huyo ni mtu binafsi hajaagizwa na dini kama mohammad alivyoagiza kila anayeshtuka kutoka kwa uzombi wa dini yake awe anauawa. Kila uovu au uchafu uliofanywa na mohammad huchukuliwa kama sheria ya moja kwa moja.
 
1)We kwenu Mafuta hakuna unaangaika kufanya propaganda kuupinga UISLAM!!

2) Unajua Sheria iliopitishwa India kuusiana kubadili Dini

3) mbona habari zako ni juu ya ubaya wa UISLAM tu kama unapenda habari za Dini mbona matukio yapo mengi ya iman zote UISLAM Ukristo lkn wewe kwako ni UISLAM tu!!

Unatafuta matukio mpaka Uganda wkt kwenu Kenya yapo matukio yanavutia zaidi lkn ulet!!!

mfano lile tukio la Baba Mchungaji w kanisa kunasa kwenye Mbunye ya mke wa mtu tena mumewe uyo mwanamke ni mshirika wa Kanisa ilo ilo!!!!

ukweli Wachungaj wahuni sana !!
na hawana aibu!!!

pata picha jinsi tukio limetokea Mchungaji kachukua uyo mke wawatu kampeleka Gest house wakati wanaendelea kuzivunja amri za Mungu ikatokea wamenasana Mchungaji ukuni wake umenasa ndani ya uyo mke wawatu!!

Baada kushindwa kujinasua kwenye mbunye Mchungaji na uyo mwanamke ilibidi wapige kelele kuomba msaada 🫡🫡

watu wakajaaa wakawatambua kwanza kisha wakatoa msaada wakawafunika shuka jeupe na kuwabeba wote kwa pamoja wakapelekwa hospital.

Mwanaume wakamtambua ni Baba Mchungaji mwenye kuongoza kanisa jiran tu apo😜 mwanamke ni mke wa mshirika wake kanisani apo apo😜

nakuu

1) Mke wa mtu

2)mke wa mshirika wake kanisani.

Baba Mchungaji anajibebea kwenda kutafuna!!!!

Mk254 habari kama izi mbona unazipita tena apo apo kwenu Kenya

unaangaika kwenda Uganda kutafuta habari lengo lako ni UISLAM tu!!!!!!!!!!!!!!
Tofautisha utashi wa mtu mmoja mmoja na sheria za dini..nyie mnatumia sheria ya dini kuua watu..sasa hiyo ni dini au ushetani?
 
Haya

Haya yote uliyo orothesha haujaitetea iman yetu badala yake umeleta ulinganisho wa ubaya kwakifupi hao walyokata nduguyao mikono kma nikweli wamefanya makosa mana katka din yetu hakuna mahal panasema anae acha uislam akatwe mikono wakukatwa mikono ni mwizi tuu
 
Back
Top Bottom