Sio mia 500 kachoma watu mia 900 na sio mtu binafsi ni Ni Baba Mchungaji Joseph kibweteere Uganda iyoo. Ni kiongozi wa Dini ya Kikristo sio kislam✅️.Hata achome mia tano, huyo ni mtu binafsi hajaagizwa na dini kama mohammad alivyoagiza kila anayeshtuka kutoka kwa uzombi wa dini yake awe anauawa. Kila uovu au uchafu uliofanywa na mohammad huchukuliwa kama sheria ya moja kwa moja.
hoja yako dhaifu kumwita raia w kawaida!!!🫡🫡
Mtu ambaye sio mkristo nisawa akisema uyo kibweteere ni raia ya kawaida✅️
lkn wewe kama ni mkristo uyo ni sehemu ya viongozi wa Kikristo ndio mana anaitwa Baba Mchungaji joseph kibweteere anamiliki Kanisa kubwa pale Uganda, Kanisa ilo ilo kalitumia kuchoma waumini mia900,,
ikiwa ww sio muislamu mtume Muhammad S.A.W kwako anakua ni raia tu wakaida.
Ndio mana unamwitaga Mudi jumbe zako za uko nyuma zipo,,
UKiongozi wake ni kwa waumini wake tu. Sio kila mtu kwako uyo ni mudi sio kiongozi✅️ kwako ww kiongozi yoyote wa Kanisa hata mwenye cheo kidogo sana kwako ananguvu kuliko Mudi,,
Mtume Muhammad S.A.W Sio kwa waumini wengine kama Cristian nk.
nakushangaa kumkana Joseph kibweteere na kumuita eti uyo raia tu kawaida 😜😜😜 mwite Baba Mchungaji Joseph kibweteere kondoo 900
wamefukiwa pale Uganda. Kwajina la YESUUUUUU
kubisha tukio uwezi sababu Dunia ipo kiganjani mwako.!!!
Wasomaji wetu jamii forum fanya ivi nenda Google
Andika tu Joseph kibweteere muone jina la YESU lilivomaliza watu Kanisa zima pale Uganda,,
Kwafaida yenu ilikuwa ivi.
Baba Mchungaji Joseph kibweteere ameongoza Kanisa kwamiaka kadhaa Tatizo likaja apa!!!
Mchungaji Joseph kibweteere kawaambia waumini wake kabla ya mwaka 2000 kufika.
Kawaambia Dunia mwisho wake mwaka 2000 sasa waumini kukosa maarifa Mungu atunusuru nasisi. Hatari sana.
Waumini wake wamemwamini wakauza nyumba wakauza mashamba wakauza kila kitu kusubiria mwisho wao mwaka 2000 wkt ule ilikuwa 1999 mwishoni!!!
kwaiyo siku ya mkesha wa kuingia mwaka 2000 wakiwa wamekesha namaombi Kanisani!!
Baba Mchungaji Joseph kibweteere akili yake ikaona ikiwa tutaamka salama asubuhi waumini wataniona mm Muongo nifanyeje ndio kapata wazo ilo kulimwagia petrol Kanisa lote kwa ndani wkt waumini wanaendelea kuomba kwajina la YESU YESU YESU
wengine wanamtaja mk254 wa ukunda pale!!
Baba Mchungaji Joseph kibweteere kufika saa 5 usiku kwamasikitiko kawasha MOTO kwandani na kuwafungia kwa nje!!!
Mchungaji Joseph kibweteere kawapa neno ili la mwisho mumpe salamu nyingiii sn bwana YESUU kisha mbiooo💀💀 💀💀💀❗️
mpaka kaja kukamatwa na Serikali ya Uganda kwasasa yupo ndani!!!!!!!