Uganda: Ndugu waungana kumkata mikono jamaa kisa ameaga uislamu na kujiunga Ukristo

Uganda: Ndugu waungana kumkata mikono jamaa kisa ameaga uislamu na kujiunga Ukristo

lengo lao ni kufanya propaganda ya Kidini sitaki kuchambua ilo tukio ujinga !!!

Sababu kuwa muislamu sio ndio ww mtakatifu!!!

mbona waislamu wanapigana popote ata ndani ya misikiti mambo ya kawaida kwenye kijamiii!!!

ikiwa ww mkristo unaona UISLAM unamakosa vipi kwako kusafi mbona kwenu kunanuka zaidi Ndio nataka wajibu apo tukio kwa tukio

kukatwa mikono mtu !!!

na watu mia900 kuuwawa kwa jina YESU lipi tukio bayaaa apo,???

Ingekuwa w900 wamekufa kisa UISLAM naona mngesema UISLAM upigwe marufuku!!!!

sasa wamekufa kwajina la YESUUUUUUUU mpo kimyaaa !!

Sisi watu mweusi tunatatizo kubwaa la kuelewa mambo.

Majungu mengi rohoo mbaya mbayaa nikama wachawi wachawi kiakili
ndiomana masikini sana kwenye hii Dunia sababu unafiki umewajaaa kwenye akili.

Akili zetu zielekezwe kwenye kujifunza zaidi sio mambo ya Dini propaganda hazina msaada wowote ni ujinga tu.

sasa Cristian kwao kunamajanga kibao lkn kwa ujinga tu bado wanayafumbia macho majanga yao!!!

na kutafuta vitukio ili kuupiga majungu UISLAM Sijui umewakosea nn kwa mafano!!!! Uwepo wake usiwepo wewe inakutatiza nn ?? Kama sio kujaza ujinga kichwani!!
Sawa nimekuelewa
 
Baba yake alibariki huo ukatili na kusema sharia ya kiislamu inaruhusu kumfanyia chochote baada ya yeye kuaga hiyo dini ya muarabu.
Niliona pale Kampala idadi ya waislamu kama inazidi kuongezeka, haya matukio yataongezeka sana kwa mzee Museveni, kajizeekea na kuacha nchi iendelee kuharibika.

==============================

Muslim relatives of a man in eastern Uganda who accepted Christ in March cut off his hands on April 17 in an attack over his new faith, sources said.

Kalegeya Faruku, 40, was recovering from severe injuries after the attack at about 7 p.m. at his family home in Jinja, in the district of the same name.

“I gave my life to Jesus in early March 2026, and my family members were not happy,” Faruku told a Morning Star News contact. “They became very angry and started sending me threatening messages about taking my life.”

Faruku said that on April 17 he returned home briefly to collect personal belongings before relocating to a safer place. He intended to travel to Busembatia Town Council in Bugweri District, where a friend who had shared the gospel with him resides.

Relatives ambushed him upon arrival, he said.

“I found my brothers waiting for me, as if they had been informed,” Faruku said. “My elder brother approached me and pretended to ask about my whereabouts. Suddenly, he grabbed me, and others surrounded me.”

They took him into the house and cut off his hands while reciting Islamic scripture, he said. Morning Star News has seen photos of the severed limbs. The relatives later transported him about five kilometers away and abandoned him near a crossroads, severely injured, Faruku said.

“I thank God that a stranger found me and raised an alarm,” he added. “People came and rushed me to a nearby clinic for medical attention.”

He was receiving medical treatment at a health facility whose name is withheld for security reasons.

An assistant pastor of an evangelical church in the district said Faruku had been attending worship services at his church. The names of the church and assistant pastor are withheld for security reasons.

Faruku is still undergoing treatment the health facility.

His father, Lubega Issa, justified the attack by saying, “That is what sharia [Islamic law] instructs us to do to those who deny the religion of Allah,” according to the assistant pastor.

Police had not released a statement about the incident at this writing, and it remained unclear whether any arrests had been made.

Christian community members and leaders have called for a thorough investigation and for renewed emphasis on peaceful coexistence and freedom of belief.

The attack was the latest of many instances of persecution of Christians in Uganda that Morning Star News has documented.

Uganda’s constitution and other laws provide for religious freedom, including the right to propagate one’s faith and convert from one faith to another. Muslims make up no more than 12 percent of Uganda’s population, with high concentrations in eastern areas of the country.

If you would like to help persecuted Christians, visit https://morningstarnews.org/resources/aid-agencies/ for a list of organizations that can orient you on how to get involved.

If you or your organization would like to help enable Morning Star News to continue raising awareness of persecuted Christians worldwide with original-content reporting, please consider collaborating at
https://morningstarnews.org/donate/?
Hii ni tafsiri ya uongo kabisa kuhusu uislamu na kubadili dini.Dini ya kiislamu inawatambua wakristo kama ahly al kitab na haisemi kumuua mwislamu aliyebadili dini kuwa mkristo,ni uongo uongo wa hovyo kabisa
 
Sio mia 500 kachoma watu mia 900 na sio mtu binafsi ni Ni Baba Mchungaji Joseph kibweteere Uganda iyoo. Ni kiongozi wa Dini ya Kikristo sio kislam✅️.

hoja yako dhaifu kumwita raia w kawaida!!!🫡🫡

Mtu ambaye sio mkristo nisawa akisema uyo kibweteere ni raia ya kawaida✅️

lkn wewe kama ni mkristo uyo ni sehemu ya viongozi wa Kikristo ndio mana anaitwa Baba Mchungaji joseph kibweteere anamiliki Kanisa kubwa pale Uganda, Kanisa ilo ilo kalitumia kuchoma waumini mia900,,

ikiwa ww sio muislamu mtume Muhammad S.A.W kwako anakua ni raia tu wakaida.

Ndio mana unamwitaga Mudi jumbe zako za uko nyuma zipo,,


UKiongozi wake ni kwa waumini wake tu. Sio kila mtu kwako uyo ni mudi sio kiongozi✅️ kwako ww kiongozi yoyote wa Kanisa hata mwenye cheo kidogo sana kwako ananguvu kuliko Mudi,,

Mtume Muhammad S.A.W Sio kwa waumini wengine kama Cristian nk.

nakushangaa kumkana Joseph kibweteere na kumuita eti uyo raia tu kawaida 😜😜😜 mwite Baba Mchungaji Joseph kibweteere kondoo 900

wamefukiwa pale Uganda. Kwajina la YESUUUUUU

kubisha tukio uwezi sababu Dunia ipo kiganjani mwako.!!!

Wasomaji wetu jamii forum fanya ivi nenda Google
Andika tu Joseph kibweteere muone jina la YESU lilivomaliza watu Kanisa zima pale Uganda,,

Kwafaida yenu ilikuwa ivi.

Baba Mchungaji Joseph kibweteere ameongoza Kanisa kwamiaka kadhaa Tatizo likaja apa!!!

Mchungaji Joseph kibweteere kawaambia waumini wake kabla ya mwaka 2000 kufika.

Kawaambia Dunia mwisho wake mwaka 2000 sasa waumini kukosa maarifa Mungu atunusuru nasisi. Hatari sana.

Waumini wake wamemwamini wakauza nyumba wakauza mashamba wakauza kila kitu kusubiria mwisho wao mwaka 2000 wkt ule ilikuwa 1999 mwishoni!!!

kwaiyo siku ya mkesha wa kuingia mwaka 2000 wakiwa wamekesha namaombi Kanisani!!

Baba Mchungaji Joseph kibweteere akili yake ikaona ikiwa tutaamka salama asubuhi waumini wataniona mm Muongo nifanyeje ndio kapata wazo ilo kulimwagia petrol Kanisa lote kwa ndani wkt waumini wanaendelea kuomba kwajina la YESU YESU YESU

wengine wanamtaja mk254 wa ukunda pale!!

Baba Mchungaji Joseph kibweteere kufika saa 5 usiku kwamasikitiko kawasha MOTO kwandani na kuwafungia kwa nje!!!

Mchungaji Joseph kibweteere kawapa neno ili la mwisho mumpe salamu nyingiii sn bwana YESUU kisha mbiooo💀💀 💀💀💀❗️

mpaka kaja kukamatwa na Serikali ya Uganda kwasasa yupo ndani!!!!!!!



Achome hata watu milioni moja, hiyo ni sera ya mtu mmoja yeye binafsi hajaagizwa afanye na dini kama namna uislamu huagiza mchinje watu.
Mohammad mwenyewe muasisi wa huo uislamu alichinja Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani, hata kama alikua na hasira na Wayahudi, palikua na umuhimu gani kuuza watoto wakateseke. Halafu akajiopolea mwanamke wa Kiyahudi baada ya kuua ndugu zake wote, na huyo huyo mwanamke ndiye aliyemuua kwa sumu kisa minyege nyege zilizopelekea hata kudinya katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa.
 
Hii ni tafsiri ya uongo kabisa kuhusu uislamu na kubadili dini.Dini ya kiislamu inawatambua wakristo kama ahly al kitab na haisemi kumuua mwislamu aliyebadili dini kuwa mkristo,ni uongo uongo wa hovyo kabisa

1. Sahih al-Bukhari 6922
Hili ndilo agizo la moja kwa moja zaidi kuhusu kuacha dini.
  • Matini: "Yeyote atakayebadilisha dini yake (ya Kiislamu), basi muueni."
  • Matini ya Kiarabu: مَنْ بَدَّلَ دِينَهُ فَاقْتُلُوهُ
  • Namba mbadala: Unaweza pia kuikuta kama Juzuu ya 9, Kitabu cha 84, Hadithi ya 57 kulingana na toleo la kitabu.

2. Sahih Muslim 1676a
Hadithi hii inataja kuacha dini kama moja ya mazingira matatu pekee ambapo inaruhusiwa kuchukua maisha ya Muislamu.
  • Matini: "Damu ya Muislamu... hairuhusiwi kumwagwa isipokuwa katika visa vitatu: mzinifu aliyeoa/aliyeolewa, kulipiza maisha kwa maisha [uaji], na mwenye kuacha dini yake na kujitenga na jamii."
  • Namba mbadala: Katika baadhi ya tafsiri za Kiingereza au mifumo ya zamani ya namba, inatajwa kama Kitabu cha 16, Hadithi ya 4152 au Hadithi 1676. Pia inapatikana katika Hadithi 40 za An-Nawawi (Hadithi ya 14).
 
Achome hata watu milioni moja, hiyo ni sera ya mtu mmoja yeye binafsi hajaagizwa afanye na dini kama namna uislamu huagiza mchinje watu.
Mohammad mwenyewe muasisi wa huo uislamu alichinja Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani, hata kama alikua na hasira na Wayahudi, palikua na umuhimu gani kuuza watoto wakateseke. Halafu akajiopolea mwanamke wa Kiyahudi baada ya kuua ndugu zake wote, na huyo huyo mwanamke ndiye aliyemuua kwa sumu kisa minyege nyege zilizopelekea hata kudinya katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa.

Sera ya mtu. Kwaiyo. Sio Dini. Imetumika kuwauwa wale 900

kwamba vifo vyao wameambiwa wataenda moja moja
Mwandoni Mombasa!!!

sio Mbinguni kupokewa na YESU kristo mwenyewe!!!!

Pamoja na ujinga wao lkn kama wangeambiwa!!

mkifa mnaenda moja kwa moja Mwandoni Mombasa na mtapokewa na yeye MK 254 !!

wangeshtuka wote na kusingekuwa na Vifo vyovyoye!!!

Tatizo kawekwa vichwani mwao YESU wakaambiwa bwana YESU anawasubiri kwa hamu sana wakajaaaa!!!

Uganda 🇺🇬 900 kwenu Kenya kilifi 700

ilo Tukio huwezi kulitenga na Dini hawakufa kukufata ww !!!

au raia yoyote au Mchungaji Joseph kibweteere wamekufa kwenda kwa YESU
na miundombinu imetumika kuwachoma ni KANISA sio Baaa.

Vip unadai ni tukio la mtu mmoja. Mwengine uyo raia tu.
Ushahidi upo wazi

wamekusanyikia wapi wakauwawa sio Msikitini sio Baa sio Uwanja wa mpira

1) Mtuhumiwa mkuu ni Baba Mchungaji joseph kibweteere ✅️

1)Sehemu ya mauaji
KANISANI ✅️

3)Sababu ya tukio
waende kwa YESU mbinguni ✅️

Bado sio Dini ¿¿¿¿¿¿¿¿¿

Bado mnadai ni tukio tu la mtu mmoja sijui raia tu mmoja

wamekufa wakienda wp???
 
Ingekuwa w900 wamekufa kisa UISLAM naona mngesema UISLAM upigwe marufuku!!!!
Kule Darfur, Sudan Ma-ustaadh wa Janjaweed wamefanya mauaji ya kimbari (genocide) kwa Waafrika weusi zaidi ya 400,000, na mamilioni wengine wamesambaratishwa kutoka manyumbani mwao
 
Sio Utashi na sio mtu mmoja mmoja wacha kutetea ujinga jibu hoja??

Baba Mchungaji Joseph kibweteere alikuwa anamiliki KANISA lenye kutambuliwa lenye waumin !!!

kauwa mia900 waende kwa YESU je Dini hii sio ushetani watu mia900 💀💀💀💀💀💀💀💀

Raia umiliki Baa sio KANISA wacha uwongo, zważwa w kilokole!!

Baba Mchungaji Paul Makenzie naye ni KANISA linafaamika ukitaka nikuekee majina ya ayo makanisa. Mm nipo kuelimisha sio kufanya propaganda Nakuekea apa majina ninayo??

Baba Mchungaji Paul Makenzie nayeye kwajina la YESUUUUUU kauwa njaaa mia700 je hii nidini kweli au ushetani mia 700 kondoo waliopotea kosa lao kubwa kukosa maarifa!

Najua ingekuwaa ni UISLAM wamefanya aya Wachungaj wangefanya propaganda kutaka UISLAM kufutwa kwa ujinga wao!!!

UISLAM upo kumkomboa tu mwanadamu sio kumdidimiza chini!!! Chunguza ukiwa huru ✍️
Je walichokifanya kipo supported na maagizo ya biblia ili ndo swali ukisema ndio basi ukristo hauna maana kama ni hapana basi ni utashi wa mtu
 
Jamii yetu ya weusi tukiacha chuki tukiacha rohoo mbaya tukiacha wivu ushilikina tukiacha zulma tukaishi vile Dini imetuelekeza tuishi. Tunatoboa!! Lkn sasa tumezongwa na akili za zulma chuki nk.

Heshim sana maneno ya Mungu yaliosema uhaminifu ni mtaji.

Jamii ya waislamu kwenye biashara wanafanya vizuri sababu wanaishi vile kufatana na maelekezo kwenye Dini Wamedhingatia sana uhaminifu✅️

Sasa weusi wasiodhingatia Dini maelekezo yake ndio tunakwama ukiaminiwa kidogo tu unamuona aliekwamini Mpumbavu naww ndio mwenye akili 🫡🫡

kembe unajikwamisha mwenyewe kwenye chochote kile unafanya!!

Waislam wenye iman yao wanasali popote muda mfupi sana wanasepa,

njoo kwa Cristian anatoka kongowe kwenda kusali kawe Ubungo Tabata nk.

Njiani anapita Makanisa kibao njiani anapita masikini kibao pesa yake au Sadaka yake anampelekea Tajiri Dini inatutaka tutoe kwa masikini sio Tajiri lkn vijana wa Kikristo wanatoa kwa Tajiri !!

ukitoka apo muda wanaotumia kwenye Ibada masaa mengi unachosha akili yako ni ujinga

Ukipata pesa kwenye biashara zako za halali shukuru mungu kimya kimya ficha bank kimya kinya sio kwenda baaa au kucheza sebene la YESU masaa kibao ni ujinga.

Saidia masikini unao waona yani jiran zako sio unawapita awa unaenda kutafuta masikini kwengine au ndio kumpa Sadaka Tajiri Mungu achezewi ndugu.

Wenzako wanapesa nyingi zaidi na uwezi kuwajua!!!

wewe unataka watu wakukome ujinga

Tupunguze ujinga kushinda kucheza miziki tukizani tunafanya Ibada ni ujinga.

muda wetu ni mali tuelekee zaidi kwenye Biashara zetu moyoni tuishi kufatana na mafundisho ya Dini tutatoboaaa tu..
 
Sera ya mtu. Kwaiyo. Sio Dini. Imetumika kuwauwa wale 900

kwamba vifo vyao wameambiwa wataenda moja moja
Mwandoni Mombasa!!!

sio Mbinguni kupokewa na YESU kristo mwenyewe!!!!

Pamoja na ujinga wao lkn kama wangeambiwa!!

mkifa mnaenda moja kwa moja Mwandoni Mombasa na mtapokewa na yeye MK 254 !!

wangeshtuka wote na kusingekuwa na Vifo vyovyoye!!!

Tatizo kawekwa vichwani mwao YESU wakaambiwa bwana YESU anawasubiri kwa hamu sana wakajaaaa!!!

Uganda 🇺🇬 900 kwenu Kenya kilifi 700

ilo Tukio huwezi kulitenga na Dini hawakufa kukufata ww !!!

au raia yoyote au Mchungaji Joseph kibweteere wamekufa kwenda kwa YESU
na miundombinu imetumika kuwachoma ni KANISA sio Baaa.

Vip unadai ni tukio la mtu mmoja. Mwengine uyo raia tu.
Ushahidi upo wazi

wamekusanyikia wapi wakauwawa sio Msikitini sio Baa sio Uwanja wa mpira

1) Mtuhumiwa mkuu ni Baba Mchungaji joseph kibweteere ✅️

1)Sehemu ya mauaji
KANISANI ✅️

3)Sababu ya tukio
waende kwa YESU mbinguni ✅️

Bado sio Dini ¿¿¿¿¿¿¿¿¿

Bado mnadai ni tukio tu la mtu mmoja sijui raia tu mmoja

wamekufa wakienda wp???
Huyu jamaa Ana akili ndogo sana yaaani anazungula zunguka hoja ya msingi hakibu
 
Je walichokifanya kipo supported na maagizo ya biblia ili ndo swali ukisema ndio basi ukristo hauna maana kama ni hapana basi ni utashi wa mtu
Uwezi kusema utashi w mtu wkt Dini imeusika tuelewana apo!! Ingekuwa Dini sio Sababu tungekubaliana lkn msingi wa tatizo wamekufa kwasababu ya Dini sio chengine!!!

Mfano pale Rwanda kuna Makanisa walikutwa Watusi wengi wameuwawa je tuseme Sababu ya ni kuingia Kanisani au Dini sio kweli tutakuwa wanafiki!!!

Sababu kuu ya vile Vifo Kanisan
i ni Ukabila wao sio KANISA ✅️ japo tunajua kuna makasisi wamekamatwa lkn msingi mkuu sio Dini ni Ukabila ✅️

Lkn hoja ya Uganda Kenya ni DINI wamekufa watu 1600 Sababu ya Dini waende kwa YESU ✅️
 
1. Sahih al-Bukhari 6922
Hili ndilo agizo la moja kwa moja zaidi kuhusu kuacha dini.
  • Matini: "Yeyote atakayebadilisha dini yake (ya Kiislamu), basi muueni."
  • Matini ya Kiarabu: مَنْ بَدَّلَ دِينَهُ فَاقْتُلُوهُ
  • Namba mbadala: Unaweza pia kuikuta kama Juzuu ya 9, Kitabu cha 84, Hadithi ya 57 kulingana na toleo la kitabu.

2. Sahih Muslim 1676a
Hadithi hii inataja kuacha dini kama moja ya mazingira matatu pekee ambapo inaruhusiwa kuchukua maisha ya Muislamu.
  • Matini: "Damu ya Muislamu... hairuhusiwi kumwagwa isipokuwa katika visa vitatu: mzinifu aliyeoa/aliyeolewa, kulipiza maisha kwa maisha [uaji], na mwenye kuacha dini yake na kujitenga na jamii."
  • Namba mbadala: Katika baadhi ya tafsiri za Kiingereza au mifumo ya zamani ya namba, inatajwa kama Kitabu cha 16, Hadithi ya 4152 au Hadithi 1676. Pia inapatikana katika Hadithi 40 za An-Nawawi (Hadithi ya 14).
Tofautisha tafsiri inayotolewa na ma ulamaa wa wakati fulani na msimamo wa qoran yenyewe.Tafsiri kila mtu ana yake.Qoran haijasema mtu akabafiki dini auawe,sio kweli.Ila wapo ma ulamaa mbalimbali wana tafsiri zao juu ya mambo kadhaa ya dini
 
Kule Darfur, Sudan Ma-ustaadh wa Janjaweed wamefanya mauaji ya kimbari (genocide) kwa Waafrika weusi zaidi ya 400,000, na mamilioni wengine wamesambaratishwa kutoka manyumbani mwao
Sudan vita vyao sio Dini ❌️
pengine useme Ukabila lkn sio weupe kwa weusi pia ni uwongo❌️

Kama unafuatilia iyo Vita utaona Majeshi ya Serikali kuna wanajeshi weupe na weusi!!!

ukija kwa RSF napo ni ivyoivyo wana Wanajeshi weupe na weusi tatizo kuu pengine Ukabila✅️

lkn sio Dini sio ubaguzi wa langi❌️
 
Sudan vita vyao sio Dini ❌️
pengine useme Ukabila lkn sio weupe kwa weusi pia ni uwongo❌️

Kana unafuatilia iyo Vita utaona Majeshi ya Serikali kuna wanajeshi weupe na weusi!!!

ukija kwa RSF napo ni ivyoivyo wana Wanajeshi weupe na weusi tatizo kuu pengine Ukabila✅️

lkn sio Dini sio ubabuzi wa langi❌️
Sio ubabuzi wa rangi ni ubaguzi wa rangi,sio langi ni rangi
 
Mimi sichambui vitabu vya Dini nasema kufatana na Msingi wa jambo husika Sababu yake kuu ipi.✅️
 
Mtu mweusi mwache tu yeye jinsi alivo!!!

Pale Ghana kuna Baba Mchungaji kawaambia waumini wake mwisho wa Dunia ni 2026

kwaiyo Baba Mchungaji kachonga Safina ili tu kupanda waumini wenye Baraka kuokoka na kiama cha Dunia!!

Ile Safina Baba Mchungaji akadai wanye kuingia niwale wenye kutoa Sadaka kubwa kwaajili ya bwana.

Sasa fikiria akili ya mtu mweusi wamefanyaje !!!

unaambiwa wapo wengine waumini wake walikuwa Ulaya wakaacha kazi kuja kuwai kupanda Safina 😄😄

wengine palepake Ghana wameuza Mali zao zote ili kupata pesa kujilipia nafasi kwenye Safina wao na Familia zao😄😄

wengine tena wemeuza gari zao kupata pesa kujilipia nafasi!!

Tukio kidogo
lifanane na la Mchungaji Joseph kibweteere

tofaut yake yeye uyu wa Ghana katumia busara zaidi

kawaambia waumini Wake nimeongea na Mungu na kakubali ombi langu la kwakuwa Safina zengine bado zipo kwenye matengenezo basi Mungu ughailishe Kiama kwasasa mpaka wkt tutakuwa tayali tumejenga Safina zetu,

mtu mweusi shikamoo sana!!

MCHUNGAJI baada ya kuona pesa nyingi kaenda kununua BENZI matata sana mpyaa

Sasa wewe muumini umeuza Gari Mchungaji kaenda nunua Gari!!!

na kiama kimesitishwa ndotoni mwake!!!

Polisi wakamkamata

lkn ujinga wanani Mchungaji au waumini wenyewe !!!

mana yeye kaletewa hakuiba hakukulazimisha !!!

sijui ile kesi utamfungaje Mahakamani!!!

na siku wana mkamamata Mchungaji kasema mimi sijamlazimisha mtu kunipa chochote niwao kwa Imani yao kwangu

nikawaza uyu Mchungaji angepata wakili kama Kibatala mbona kesi ingefutwa muda mfupi tu pengine kama kukaa ndani ingetazamwa upande mwengine labda wa Usalama wake!!!

mana watu wameacha kazi Ulaya waende mbinguni😜😜 😜

ujinga wao mnifunge mimi sijaiba sijakaba😀😀😀😀😀
Naona unapambana kuonesha uchi wa akili yako kwenye huu uzi. Unaandika ushuzi wa haki ya juu we maamuma.
 
Mimi sichambui vitabu vya Dini nasema kufatana na Msingi wa jambo husika Sababu yake kuu ipi.✅️
Pambana maana unapenda sana ligi. Hongera utashinda kama ulivyoshinda kwenye vita ya Iran na USA/ISRAEL
 
Sudan vita vyao sio Dini ❌️
pengine useme Ukabila lkn sio weupe kwa weusi pia ni uwongo❌️

Kama unafuatilia iyo Vita utaona Majeshi ya Serikali kuna wanajeshi weupe na weusi!!!

ukija kwa RSF napo ni ivyoivyo wana Wanajeshi weupe na weusi tatizo kuu pengine Ukabila✅️

lkn sio Dini sio ubabuzi wa langi❌️
Wanaotekeleza mauaji ya kimbari Darfur ni Janjaweed, je hao ni nani?
👇
The Janjaweed are a Sudanese Arab Islamist militia group, primarily active in Darfur and eastern Chad, known for their role in the Darfur genocide, engaging in ethnic cleansing against non-Arab groups, conducting mass killings, and rape, targeting the Fur, Masalit, and Zaghawa tribes.
 
Naona unapambana kuonesha uchi wa akili yako kwenye huu uzi. Unaandika ushuzi wa haki ya juu we maamuma.

Ulokole mzigo mzigo nyie mshukuru polisi ya Tanzania ipo macho lkn Kama Kenya wamekufa wengi kisa YESU Uganda wengi kisa YESU

Tanzania polisi yetu ndio yakupongezwa kuzuiya mizwazwa yetu ibaki baki kutafakari😜😜

,lkn badala kuwaheshimu polisi wetu mnawaita polisi CCM ndio shuklan yenu kwao,

Ipo siku polisi watakuja kumwachia Mchungaji kichaaa 😄😄

siku moja mwenye kujiita Baba mtukufu Mchungaji awanyoleshe kama buku2 mkafukiwe ndio mtapata na adabu!!!!
 
Wanaotekeleza mauaji ya kimbari Darfur ni Janjaweed, je hao ni nani?
👇
The Janjaweed are a Sudanese Arab Islamist militia group, primarily active in Darfur and eastern Chad, known for their role in the Darfur genocide, engaging in ethnic cleansing against non-Arab groups, conducting mass killings, and rape, targeting the Fur, Masalit, and Zaghawa tribes.
Kwaiyo wewe kuandika wao Waarabu

wewe kuandika wao Jeshi la Kiislamu ndio tukwamini ???

Nijibu kwanza Wanauwawa ni Wakristo au Waislam????????
 
Back
Top Bottom