Sio mia 500 kachoma watu mia 900 na sio mtu binafsi ni Ni Baba Mchungaji Joseph kibweteere Uganda iyoo. Ni kiongozi wa Dini ya Kikristo sio kislam✅️.Hata achome mia tano, huyo ni mtu binafsi hajaagizwa na dini kama mohammad alivyoagiza kila anayeshtuka kutoka kwa uzombi wa dini yake awe anauawa. Kila uovu au uchafu uliofanywa na mohammad huchukuliwa kama sheria ya moja kwa moja.
Salim Ahmed SalimHakuna muislam mwenye akili dunia hii
Kama yupo Nipe mfano yule pale fulani anajielewa.!
Haya
Haya yote uliyo orothesha haujaitetea iman yetu badala yake umeleta ulinganisho wa ubaya kwakifupi hao walyokata nduguyao mikono kma nikweli wamefanya makosa mana katka din yetu hakuna mahal panasema anae acha uislam akatwe mikono wakukatwa mikono ni mwizi tuu
Hili la kudai miji ya waislamu ni tajiri sidhani kama ni kweli kwani hata hapa Tanzania tu maeneo wanakoishi waislam waga kuna umaskini sana.Waislamu awanaga maujinga ya kufanya propaganda za kidini kum'beba Mungu wao!!!
Waislamu ndio mana miji ya waislamu ni tajiri zaidi wamejielekeza kutibu tatizo Sio majungu jungu.
ona Waraabu walivo matajiri akili yao ipo kutafuta pesa na kuukimbiq Umasikini mweusi ukiwa Cristian majanga yanakudhidi sana
kuongozwa na Wachungaj wenyewe mazuzu Vichwani!!!!
Sio Utashi na sio mtu mmoja mmoja wacha kutetea ujinga jibu hoja??Tofautisha utashi wa mtu mmoja mmoja na sheria za dini..nyie mnatumia sheria ya dini kuua watu..sasa hiyo ni dini au ushetani?
Two wrongs don't make a right. Kuwa mtumwa wa hizi dini za kuletewa na kuwa fanatic mpaka kudhuru wengine kwa sababu ya hizo dini ni upumbavu na uwendawazimu.1)We kwenu Mafuta hakuna unaangaika kufanya propaganda kuupinga UISLAM!!
2) Unajua Sheria iliopitishwa India kuusiana kubadili Dini
3) mbona habari zako ni juu ya ubaya wa UISLAM tu kama unapenda habari za Dini mbona matukio yapo mengi ya iman zote UISLAM Ukristo lkn wewe kwako ni UISLAM tu!!
Unatafuta matukio mpaka Uganda wkt kwenu Kenya yapo matukio yanavutia zaidi lkn ulet!!!
mfano lile tukio la Baba Mchungaji w kanisa kunasa kwenye Mbunye ya mke wa mtu tena mumewe uyo mwanamke ni mshirika wa Kanisa ilo ilo!!!!
ukweli Wachungaj wahuni sana !!
na hawana aibu!!!
pata picha jinsi tukio limetokea Mchungaji kachukua uyo mke wawatu kampeleka Gest house wakati wanaendelea kuzivunja amri za Mungu ikatokea wamenasana Mchungaji ukuni wake umenasa ndani ya uyo mke wawatu!!
Baada kushindwa kujinasua kwenye mbunye Mchungaji na uyo mwanamke ilibidi wapige kelele kuomba msaada 🫡🫡
watu wakajaaa wakawatambua kwanza kisha wakatoa msaada wakawafunika shuka jeupe na kuwabeba wote kwa pamoja wakapelekwa hospital.
Mwanaume wakamtambua ni Baba Mchungaji mwenye kuongoza kanisa jiran tu apo😜 mwanamke ni mke wa mshirika wake kanisani apo apo😜
nakuu
1) Mke wa mtu
2)mke wa mshirika wake kanisani.
Baba Mchungaji anajibebea kwenda kutafuna!!!!
Mk254 habari kama izi mbona unazipita tena apo apo kwenu Kenya
unaangaika kwenda Uganda kutafuta habari lengo lako ni UISLAM tu!!!!!!!!!!!!!!
Hili la kudai miji ya waislamu ni tajiri sidhani kama ni kweli kwani hata hapa Tanzania tu maeneo wanakoishi waislam waga kuna umaskini sana.
Angalia hata mikoa iliyo kwenye mwambao wa Afrika Mashariki yenye jamii ya kiislamu asilimia kubwa yao wana maisha duni.
Angalia hata kule bara miji iliyokaliwa na waarabu wakati wa biashara ya utumwa inakuwa kwa shida sana.
Two wrongs don't make a right. Kuwa mtumwa wa hizi dini za kuletewa na kuwa fanatic mpaka kudhuru wengine kwa sababu ya hizo dini ni upumbavu na uwendawazimu.
Ndio akili ya mweusi ilipo nini kukata mkono wa mtoto wako pale Uganda!!!!!!!Dini inakuvuruga mpaka unakatisha uhai wa mwanao... Unashangaa dini yenyewe haimwabudu Mungu wa kweli.
Ujinga wa hali ya juu sana,Ndio akili ya mweusi ilipo nini kukata mkono wa mtoto wako pale Uganda!!!!!!!
pale kilifi Kenya familia yani Baba mama watoto wamekufa kwa njaaaa uku wanajiona leo kafa mtoto wanazika wanaendelea na njaaa kesho kafa Baba mpaka wote W4!!!
Yote wameambiwa na Baba Mchungaji Paul Makenzie iyo ndio njia ya kwenda mbinguni Eti ili tu kwenda kwa YESU!!! Wakafika mia700
Sifanyi propaganda fatilia uwelewe zaidi ingia Google Andika tu Mchungaji Paul Makenzie kila kitu utakisoma mwenyewe ✍️
Sasa unamuongelea Baba Mchungaji Joseph kibweteere na mia 900 kwa MOTO
au unamuongelea Baba Mchungaji Paul Makenzie na mia700 kondoo waliopotea kawazika mwenyewe!!
Na kuna Uganda vijana wamekatana mkono kisa Dini
Kwako wewe baba mwenye familia tupe hekima yako Dini ipi tupige marufuku ???ni upumbavu
Kwa kuziamini(zote) ni ukosefu wa akili, kuwa brainwashed mpaka kufikia kudhuru wengine kwa sababu ya hizo dini za kuletewa ni upumbavu na uwendawazimu.Sasa unamuongelea Baba Mchungaji Joseph kibweteere na mia 900 kwa MOTO
au unamuongelea Baba Mchungaji Paul Makenzie na mia700 kondoo waliopotea kawazika mwenyewe!!
Na kuna Uganda vijana wamekatana mkono kisa Dini
Kwako wewe baba mwenye familia tupe hekima yako Dini ipi tupige marufuku ???
Uislamu ni dini ya hakiBaba yake alibariki huo ukatili na kusema sharia ya kiislamu inaruhusu kumfanyia chochote baada ya yeye kuaga hiyo dini ya muarabu.
Niliona pale Kampala idadi ya waislamu kama inazidi kuongezeka, haya matukio yataongezeka sana kwa mzee Museveni, kajizeekea na kuacha nchi iendelee kuharibika.
==============================
Muslim relatives of a man in eastern Uganda who accepted Christ in March cut off his hands on April 17 in an attack over his new faith, sources said.
Kalegeya Faruku, 40, was recovering from severe injuries after the attack at about 7 p.m. at his family home in Jinja, in the district of the same name.
“I gave my life to Jesus in early March 2026, and my family members were not happy,” Faruku told a Morning Star News contact. “They became very angry and started sending me threatening messages about taking my life.”
Faruku said that on April 17 he returned home briefly to collect personal belongings before relocating to a safer place. He intended to travel to Busembatia Town Council in Bugweri District, where a friend who had shared the gospel with him resides.
Relatives ambushed him upon arrival, he said.
“I found my brothers waiting for me, as if they had been informed,” Faruku said. “My elder brother approached me and pretended to ask about my whereabouts. Suddenly, he grabbed me, and others surrounded me.”
They took him into the house and cut off his hands while reciting Islamic scripture, he said. Morning Star News has seen photos of the severed limbs. The relatives later transported him about five kilometers away and abandoned him near a crossroads, severely injured, Faruku said.
“I thank God that a stranger found me and raised an alarm,” he added. “People came and rushed me to a nearby clinic for medical attention.”
He was receiving medical treatment at a health facility whose name is withheld for security reasons.
An assistant pastor of an evangelical church in the district said Faruku had been attending worship services at his church. The names of the church and assistant pastor are withheld for security reasons.
Faruku is still undergoing treatment the health facility.
His father, Lubega Issa, justified the attack by saying, “That is what sharia [Islamic law] instructs us to do to those who deny the religion of Allah,” according to the assistant pastor.
Police had not released a statement about the incident at this writing, and it remained unclear whether any arrests had been made.
Christian community members and leaders have called for a thorough investigation and for renewed emphasis on peaceful coexistence and freedom of belief.
The attack was the latest of many instances of persecution of Christians in Uganda that Morning Star News has documented.
Uganda’s constitution and other laws provide for religious freedom, including the right to propagate one’s faith and convert from one faith to another. Muslims make up no more than 12 percent of Uganda’s population, with high concentrations in eastern areas of the country.
If you would like to help persecuted Christians, visit https://morningstarnews.org/resources/aid-agencies/ for a list of organizations that can orient you on how to get involved.
If you or your organization would like to help enable Morning Star News to continue raising awareness of persecuted Christians worldwide with original-content reporting, please consider collaborating at https://morningstarnews.org/donate/?
Aiseee kweli wajinga ndio waliwao!Mtu mweusi mwache tu yeye jinsi alivo!!!
Pale Ghana kuna Baba Mchungaji kawaambia waumini wake mwisho wa Dunia ni 2026
kwaiyo Baba Mchungaji kachonga Safina ili tu kupanda waumini wenye Baraka kuokoka na kiama cha Dunia!!
Ile Safina Baba Mchungaji akadai wanye kuingia niwale wenye kutoa Sadaka kubwa kwaajili ya bwana.
Sasa fikiria akili ya mtu mweusi wamefanyaje !!!
unaambiwa wapo wengine waumini wake walikuwa Ulaya wakaacha kazi kuja kuwai kupanda Safina 😄😄
wengine palepake Ghana wameuza Mali zao zote ili kupata pesa kujilipia nafasi kwenye Safina wao na Familia zao😄😄
wengine tena wemeuza gari zao kupata pesa kujilipia nafasi!!
Tukio kidogo
lifanane na la Mchungaji Joseph kibweteere
tofaut yake yeye uyu wa Ghana katumia busara zaidi
kawaambia waumini Wake nimeongea na Mungu na kakubali ombi langu la kwakuwa Safina zengine bado zipo kwenye matengenezo basi Mungu ughailishe Kiama kwasasa mpaka wkt tutakuwa tayali tumejenga Safina zetu,
mtu mweusi shikamoo sana!!
MCHUNGAJI baada ya kuona pesa nyingi kaenda kununua BENZI matata sana mpyaa
Sasa wewe muumini umeuza Gari Mchungaji kaenda nunua Gari!!!
na kiama kimesitishwa ndotoni mwake!!!
Polisi wakamkamata
lkn ujinga wanani Mchungaji au waumini wenyewe !!!
mana yeye kaletewa hakuiba hakukulazimisha !!!
sijui ile kesi utamfungaje Mahakamani!!!
na siku wana mkamamata Mchungaji kasema mimi sijamlazimisha mtu kunipa chochote niwao kwa Imani yao kwangu
nikawaza uyu Mchungaji angepata wakili kama Kibatala mbona kesi ingefutwa muda mfupi tu pengine kama kukaa ndani ingetazamwa upande mwengine labda wa Usalama wake!!!
mana watu wameacha kazi Ulaya waende mbinguni😜😜 😜
ujinga wao mnifunge mimi sijaiba sijakaba😀😀😀😀😀