Uganda: Ndugu waungana kumkata mikono jamaa kisa ameaga uislamu na kujiunga Ukristo

Sawa nimekuelewa
 
Hii ni tafsiri ya uongo kabisa kuhusu uislamu na kubadili dini.Dini ya kiislamu inawatambua wakristo kama ahly al kitab na haisemi kumuua mwislamu aliyebadili dini kuwa mkristo,ni uongo uongo wa hovyo kabisa
 


Achome hata watu milioni moja, hiyo ni sera ya mtu mmoja yeye binafsi hajaagizwa afanye na dini kama namna uislamu huagiza mchinje watu.
Mohammad mwenyewe muasisi wa huo uislamu alichinja Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani, hata kama alikua na hasira na Wayahudi, palikua na umuhimu gani kuuza watoto wakateseke. Halafu akajiopolea mwanamke wa Kiyahudi baada ya kuua ndugu zake wote, na huyo huyo mwanamke ndiye aliyemuua kwa sumu kisa minyege nyege zilizopelekea hata kudinya katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa.
 
Hii ni tafsiri ya uongo kabisa kuhusu uislamu na kubadili dini.Dini ya kiislamu inawatambua wakristo kama ahly al kitab na haisemi kumuua mwislamu aliyebadili dini kuwa mkristo,ni uongo uongo wa hovyo kabisa

1. Sahih al-Bukhari 6922
Hili ndilo agizo la moja kwa moja zaidi kuhusu kuacha dini.
  • Matini: "Yeyote atakayebadilisha dini yake (ya Kiislamu), basi muueni."
  • Matini ya Kiarabu: مَنْ بَدَّلَ دِينَهُ فَاقْتُلُوهُ
  • Namba mbadala: Unaweza pia kuikuta kama Juzuu ya 9, Kitabu cha 84, Hadithi ya 57 kulingana na toleo la kitabu.

2. Sahih Muslim 1676a
Hadithi hii inataja kuacha dini kama moja ya mazingira matatu pekee ambapo inaruhusiwa kuchukua maisha ya Muislamu.
  • Matini: "Damu ya Muislamu... hairuhusiwi kumwagwa isipokuwa katika visa vitatu: mzinifu aliyeoa/aliyeolewa, kulipiza maisha kwa maisha [uaji], na mwenye kuacha dini yake na kujitenga na jamii."
  • Namba mbadala: Katika baadhi ya tafsiri za Kiingereza au mifumo ya zamani ya namba, inatajwa kama Kitabu cha 16, Hadithi ya 4152 au Hadithi 1676. Pia inapatikana katika Hadithi 40 za An-Nawawi (Hadithi ya 14).
 

Sera ya mtu. Kwaiyo. Sio Dini. Imetumika kuwauwa wale 900

kwamba vifo vyao wameambiwa wataenda moja moja
Mwandoni Mombasa!!!

sio Mbinguni kupokewa na YESU kristo mwenyewe!!!!

Pamoja na ujinga wao lkn kama wangeambiwa!!

mkifa mnaenda moja kwa moja Mwandoni Mombasa na mtapokewa na yeye MK 254 !!

wangeshtuka wote na kusingekuwa na Vifo vyovyoye!!!

Tatizo kawekwa vichwani mwao YESU wakaambiwa bwana YESU anawasubiri kwa hamu sana wakajaaaa!!!

Uganda 🇺🇬 900 kwenu Kenya kilifi 700

ilo Tukio huwezi kulitenga na Dini hawakufa kukufata ww !!!

au raia yoyote au Mchungaji Joseph kibweteere wamekufa kwenda kwa YESU
na miundombinu imetumika kuwachoma ni KANISA sio Baaa.

Vip unadai ni tukio la mtu mmoja. Mwengine uyo raia tu.
Ushahidi upo wazi

wamekusanyikia wapi wakauwawa sio Msikitini sio Baa sio Uwanja wa mpira

1) Mtuhumiwa mkuu ni Baba Mchungaji joseph kibweteere ✅️

1)Sehemu ya mauaji
KANISANI ✅️

3)Sababu ya tukio
waende kwa YESU mbinguni ✅️

Bado sio Dini ¿¿¿¿¿¿¿¿¿

Bado mnadai ni tukio tu la mtu mmoja sijui raia tu mmoja

wamekufa wakienda wp???
 
Ingekuwa w900 wamekufa kisa UISLAM naona mngesema UISLAM upigwe marufuku!!!!
Kule Darfur, Sudan Ma-ustaadh wa Janjaweed wamefanya mauaji ya kimbari (genocide) kwa Waafrika weusi zaidi ya 400,000, na mamilioni wengine wamesambaratishwa kutoka manyumbani mwao
 
Je walichokifanya kipo supported na maagizo ya biblia ili ndo swali ukisema ndio basi ukristo hauna maana kama ni hapana basi ni utashi wa mtu
 
Jamii yetu ya weusi tukiacha chuki tukiacha rohoo mbaya tukiacha wivu ushilikina tukiacha zulma tukaishi vile Dini imetuelekeza tuishi. Tunatoboa!! Lkn sasa tumezongwa na akili za zulma chuki nk.

Heshim sana maneno ya Mungu yaliosema uhaminifu ni mtaji.

Jamii ya waislamu kwenye biashara wanafanya vizuri sababu wanaishi vile kufatana na maelekezo kwenye Dini Wamedhingatia sana uhaminifu✅️

Sasa weusi wasiodhingatia Dini maelekezo yake ndio tunakwama ukiaminiwa kidogo tu unamuona aliekwamini Mpumbavu naww ndio mwenye akili 🫡🫡

kembe unajikwamisha mwenyewe kwenye chochote kile unafanya!!

Waislam wenye iman yao wanasali popote muda mfupi sana wanasepa,

njoo kwa Cristian anatoka kongowe kwenda kusali kawe Ubungo Tabata nk.

Njiani anapita Makanisa kibao njiani anapita masikini kibao pesa yake au Sadaka yake anampelekea Tajiri Dini inatutaka tutoe kwa masikini sio Tajiri lkn vijana wa Kikristo wanatoa kwa Tajiri !!

ukitoka apo muda wanaotumia kwenye Ibada masaa mengi unachosha akili yako ni ujinga

Ukipata pesa kwenye biashara zako za halali shukuru mungu kimya kimya ficha bank kimya kinya sio kwenda baaa au kucheza sebene la YESU masaa kibao ni ujinga.

Saidia masikini unao waona yani jiran zako sio unawapita awa unaenda kutafuta masikini kwengine au ndio kumpa Sadaka Tajiri Mungu achezewi ndugu.

Wenzako wanapesa nyingi zaidi na uwezi kuwajua!!!

wewe unataka watu wakukome ujinga

Tupunguze ujinga kushinda kucheza miziki tukizani tunafanya Ibada ni ujinga.

muda wetu ni mali tuelekee zaidi kwenye Biashara zetu moyoni tuishi kufatana na mafundisho ya Dini tutatoboaaa tu..
 
Huyu jamaa Ana akili ndogo sana yaaani anazungula zunguka hoja ya msingi hakibu
 
Je walichokifanya kipo supported na maagizo ya biblia ili ndo swali ukisema ndio basi ukristo hauna maana kama ni hapana basi ni utashi wa mtu
Uwezi kusema utashi w mtu wkt Dini imeusika tuelewana apo!! Ingekuwa Dini sio Sababu tungekubaliana lkn msingi wa tatizo wamekufa kwasababu ya Dini sio chengine!!!

Mfano pale Rwanda kuna Makanisa walikutwa Watusi wengi wameuwawa je tuseme Sababu ya ni kuingia Kanisani au Dini sio kweli tutakuwa wanafiki!!!

Sababu kuu ya vile Vifo Kanisan
i ni Ukabila wao sio KANISA ✅️ japo tunajua kuna makasisi wamekamatwa lkn msingi mkuu sio Dini ni Ukabila ✅️

Lkn hoja ya Uganda Kenya ni DINI wamekufa watu 1600 Sababu ya Dini waende kwa YESU ✅️
 
Tofautisha tafsiri inayotolewa na ma ulamaa wa wakati fulani na msimamo wa qoran yenyewe.Tafsiri kila mtu ana yake.Qoran haijasema mtu akabafiki dini auawe,sio kweli.Ila wapo ma ulamaa mbalimbali wana tafsiri zao juu ya mambo kadhaa ya dini
 
Kule Darfur, Sudan Ma-ustaadh wa Janjaweed wamefanya mauaji ya kimbari (genocide) kwa Waafrika weusi zaidi ya 400,000, na mamilioni wengine wamesambaratishwa kutoka manyumbani mwao
Sudan vita vyao sio Dini ❌️
pengine useme Ukabila lkn sio weupe kwa weusi pia ni uwongo❌️

Kama unafuatilia iyo Vita utaona Majeshi ya Serikali kuna wanajeshi weupe na weusi!!!

ukija kwa RSF napo ni ivyoivyo wana Wanajeshi weupe na weusi tatizo kuu pengine Ukabila✅️

lkn sio Dini sio ubaguzi wa langi❌️
 
Sio ubabuzi wa rangi ni ubaguzi wa rangi,sio langi ni rangi
 
Mimi sichambui vitabu vya Dini nasema kufatana na Msingi wa jambo husika Sababu yake kuu ipi.✅️
 
Naona unapambana kuonesha uchi wa akili yako kwenye huu uzi. Unaandika ushuzi wa haki ya juu we maamuma.
 
Mimi sichambui vitabu vya Dini nasema kufatana na Msingi wa jambo husika Sababu yake kuu ipi.✅️
Pambana maana unapenda sana ligi. Hongera utashinda kama ulivyoshinda kwenye vita ya Iran na USA/ISRAEL
 
Wanaotekeleza mauaji ya kimbari Darfur ni Janjaweed, je hao ni nani?
👇
The Janjaweed are a Sudanese Arab Islamist militia group, primarily active in Darfur and eastern Chad, known for their role in the Darfur genocide, engaging in ethnic cleansing against non-Arab groups, conducting mass killings, and rape, targeting the Fur, Masalit, and Zaghawa tribes.
 
Naona unapambana kuonesha uchi wa akili yako kwenye huu uzi. Unaandika ushuzi wa haki ya juu we maamuma.

Ulokole mzigo mzigo nyie mshukuru polisi ya Tanzania ipo macho lkn Kama Kenya wamekufa wengi kisa YESU Uganda wengi kisa YESU

Tanzania polisi yetu ndio yakupongezwa kuzuiya mizwazwa yetu ibaki baki kutafakari😜😜

,lkn badala kuwaheshimu polisi wetu mnawaita polisi CCM ndio shuklan yenu kwao,

Ipo siku polisi watakuja kumwachia Mchungaji kichaaa 😄😄

siku moja mwenye kujiita Baba mtukufu Mchungaji awanyoleshe kama buku2 mkafukiwe ndio mtapata na adabu!!!!
 
Kwaiyo wewe kuandika wao Waarabu

wewe kuandika wao Jeshi la Kiislamu ndio tukwamini ???

Nijibu kwanza Wanauwawa ni Wakristo au Waislam????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…