Uganda: Ndugu waungana kumkata mikono jamaa kisa ameaga uislamu na kujiunga Ukristo

Mimi Huwa naweka maandiko tu:
anayepinga alipinge Hilo Andiko:

Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"

Mila za Waarabu zinasababisha watu weusi tuchinjane na kuuana wenyewe kwa wenyewe:

Ukisikia Upumbavu ndio huu sasa:
Ref: Sudan, Somalia, Nigeria Kaskazini, Msumbiji nk.
Watu wa Mungu wanageuka kuwa Mazombie bila hata kutafakari:
 

Pale Rwanda ni mila zanani tumeuwana watu laki 9 yani 900,000 mauaji mabaya zaidi kuliko kote uko umekutaja sijui mila za Waarabu!!!

Chuki yenu dhidi ya UISLAM zinakwama kujificha hamuwezi!!!

Nairobi yenyewe imeshikwa na waislamu !!
wengine wapo tu kucheza sebene la YESU ✝️😜😜😜😜😜😜😜
 
Jitu linafiki kujificha haliwezi 😜

Ona kataja Sudan Somalia Nigeria Msumbiji lkn Rwanda kaiyacha japo ipo Africa Mashariki kaenda Sudan kaenda Nigeria akili kisoda ☠️☠️👈 yote kujenga propaganda yake dhidi ya UISLAM

polisi wetu fanyenyi kufumba macho kidogo tupungukiwe na mizwazwa kama hii 🤔🤔
 
Ule ni Ukabila na sio maamrisho ya Dini:
hivi hili Andiko niliandika
Mimi ?
Dogo vipi ?

Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"

Hicho kitabu Cha Sunan an Nisai niliandika Mimi au Mwislamu wa Saudi Arabia Swahaba Abbasi?

Muwe munajitafakari hata kidogo basi:

Maandiko yenu tukiyaweka humu mnasema tuna chuki dhidi ya Uislamu:
Muyafiche basi watu wasiyaone:
 
Soma na rudia Tena hapo Juu,
La sivyo nenda Saudi Arabia waambie Waarabu wavichome moto hivyo vitabu ambavyo hutaki kuviona
 

Sio dini imetumika maana hamna sehemu Yesu alihubiri watu wafanyiwe hayo kama alivyokua anafanya muasisi wa uislamu Mohammad mwenyewe kuua Wayahudi Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani, hata kama alikua na hasira na Wayahudi, palikua na umuhimu gani kuuza watoto wakateseke. Halafu akajiopolea mwanamke wa Kiyahudi baada ya kuua ndugu zake wote, na huyo huyo mwanamke ndiye aliyemuua kwa sumu kisa minyege nyege zilizopelekea hata kudinya katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa.
 
Sunan an-Nasa'i 4059
Ibn 'Abbas said:
"The Messenger of Allah [SAW] said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"

Why Allah and Muhamad teach these nonsense ?
 
Tofautisha tafsiri inayotolewa na ma ulamaa wa wakati fulani na msimamo wa qoran yenyewe.Tafsiri kila mtu ana yake.Qoran haijasema mtu akabafiki dini auawe,sio kweli.Ila wapo ma ulamaa mbalimbali wana tafsiri zao juu ya mambo kadhaa ya dini

Hii sio qurani?

Surah At-Taubah Ayat 5 (9:5 Quran)

"Lakini miezi mitukufu itakapomalizika, wauweni wale wanaomshirikisha Mwenyezi Mungu na miungu mingine popote mnapowakuta; wakamatini, wazingireni, na wakaliini katika kila sehemu ya kuvizia. Lakini wakitubu na wakasimamisha Swala na wakatoa Zaka, basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu daima."
 

Chuki inaongozwa na waislamu maana mnaua Waafrika wenzenu tena watu weusi kama nyie kisa dini ya muarabu, kama huo sio ujinga ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…