Aliyekuwa akifanya Roho Mbaya huku Kwetu ni nani Specifically?Wao walikuwa hawapingi ni sisi wenyewe tu tulikuwa tukifanyiana roho mbaya kuzuiana .Sijawahi sikia tamko la Uganda kuzuia kahawa kuuzwa uganda.Labada nimesahau
Mtetezi wa wanyongeeeeeee.Aliyekuwa akifanya Roho Mbaya huku Kwetu ni nani Specifically?
Kwani sasa dola moja ni sh ngapi mkuu?Hayahaya tuliyakataa, nchi haiwezi kuendelea kwa kuimport tu. Sasa pesa yetu ya madafu inaenda kuzorota zaidi.
Inashangaza sana!Ukiwauliza Magu alikuta bei ya sukari per Kg ni sh. Ngapi na ameondoka bei kwa kilo ni sh. Ngapi hua hawajibu swali hilo.
Yaani kuna wale watu kila wakigusa dhahabu linageuka jiwe ndio hawa, hawana options zozote ila wao kila jema wanachukia tu sisi kuuza nje sawa lakini tusinunue kitu na hasa wivu kwa majirani zetu lakini wachina hata wajaze soko la Kariakoo tuko sawa tu.Ukiwauliza Magu alikuta bei ya sukari per Kg ni sh. Ngapi na ameondoka bei kwa kilo ni sh. Ngapi hua hawajibu swali hilo.
Hilo halikwepekiSukari itatoka brazil, asia, itapita mombasa au dar es salaam port itaenda uganda itakunja kona kurudi kuuzwa TZ.
Ndivyo tulivyo hivyo mkuu, tunalalamika tu na hatuna solution.Yaani kuna wale watu kila wakigusa dhahabu linageuka jiwe ndio hawa, hawana options zozote ila wao kila jema wanachukia tu sisi kuuza nje sawa lakini tusinunue kitu na hasa wivu kwa majirani zetu lakini wachina hata wajaze soko la kariakoo tuko sawa tu.
Kaulize wakulima wa kahawa wa Kagera watakutajiaAliyekuwa akifanya Roho Mbaya huku Kwetu ni nani Specifically?
Na uzuri hao watu ni wale CCM Mataga(ile ya Magu).Inashangaza sana!!
Kuna watu wao wako kwa ajili ya kukosoa lolote alifanyalo Rais wa sasa lionekanalo ni la Tofauti kwa mtangulizi wake.
Wawaruhusu na nyie muuze kahawa huko
Uganda
Ova
Wao walikuwa hawapingi ni sisi wenyewe tu tulikuwa tukifanyiana roho mbaya kuzuiana .Sijawahi sikia tamko la Uganda kuzuia kahawa kuuzwa uganda.Labda nimesahau
CCM huwa hatuna vita ,vita kuu iko Chadema kati ya akina Halima Mdee na BAWACHA kunatokota kuliko supu ya kongoroN
Na uzuri hao watu ni wale CCM Mataga(ile ya Magu).
So sasa ni vita ya CCM vs CCM.
Kuagiza Nje ni Short term planning,Kwa ukubwa wa ardhi ya Tanzania (Tanganyika) Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi bado kupa ardhi inabakia.
Ni habari njema kwa Uganda kuuza sukari Tanzania....
Hili jibu linahitaji tuzo mkuu. Uzalishaji wa ndani haukidhi mahitaji hivyo surplus kutoka nje haina madhara.Sasa kama uzalishaji wa ndani haukizi mahitaji tutafanyaje ?tuendelee kunywa chai bila sukari??