Uganda: Rais Museveni amshukuru Rais Samia kwa kumruhusu kuuza sukari Tanzania

Uganda: Rais Museveni amshukuru Rais Samia kwa kumruhusu kuuza sukari Tanzania

Tatizo viwanda mkianzisha,bidhaa zenu hazina unafuu wowote wa bei, ukilinganisha na za kutoka nje, ukiachilia hata ubora wake unakuwa chini..... angalia tunavyo viwanda kibao vya sukari lakini kila wakati ni upungufu na bei kupanda ..sasa faida iko wapi kwa wananchi? Wacha 'tusaidiwe' tu hakuna jinsi .....
Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.

Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
 
Kwa ukubwa wa ardhi ya Tanzania (Tanganyika) Kenya+Uganda+Rwanda+Burundi bado kupa ardhi inabakia.

Ni habari njema kwa Uganda kuuza sukari Tanzania.
Ila nadhani si habari njema kuuziwa sukari ambayo kama kuna investment financial instrument zingetumika, Tanzania ungeweza kuzalisha sukari ya domestic & industrial use.

Sijui tunakosea wapi sisi Watanganyika?
Maana bado tuna import soft brooms, toothpick, miswaki, duster za ubaoni, chaki za kuandika, daftari za kuandikia.

Lini tutafika?

F
Mpaka kizazi kilichoachwa na Nyerere chote kiishe.

Imagine a good professor of Law kama Kabudi bado ana thinking ya 1600 huko.
 
Acheni afanye ndiyo mlikuwa mnataka, nchi ifunguke ingawa bado mengine ya ajabu yanakuja ngoja tuone anakoenda mpaka kumaliza zile siku 100 tutapata jibu mujarabu!
Kwenye kuchambua hizo siku 100 sasa,waandishi wetu wa habari. Karibia kila media itakuwa ni kusifia tu kwamba kafanya mazuri,kajitahidi. Kutakuwa hamna hata mmoja kuweka fact ubaoni
 
PRIVATE sector ya Tanzania inapenda zaidi uchuuzi kuliko Uzalishaji wa viwandani

Tatizo letu private sector yetu imejaa illiterates darasa la saba na wasiosoma kabisa ndio wanaoendesha private sector

Hata ukute mamilionea ni wachuuzi tu sio producers!!! au wazalishaji wa viwanda!!! Jirani zetu Kenya Private sector wasomi ndio wamejazana kuna viwanda balaa
Wewe msomi umeanzisha hata kiwanda cha kushona chupi ?
 
😂😂😂 Naona hawa wazalendo wa Magu wanataka tupige chai bila sukari kisa Uzalendoooo.
Kunywa chai sukari kutoka uganda, kula pipi kutoka Kenya, dawa za meno, khanga, kanda mbili. Miradi mikubwa isimame kwanza tufungue nchi. Hela inayoitajika kwa miradi yetu, tufungulie nchi kwa viwanda vya nje!
Kwa sababu hatukujua kwanini nchi ilikuwa imefungwa! Marekani chini ya Trump nchi ilifungwa, waulize kama hawakufaidi kwa kuzuia China kumwaga bidhaa zake Amerika!
Fungulia nchi, fungua nchi!
 
Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.

Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Shida ya wawekezaji wetu wa ndani wamejaa hujuma..wanachojua ni kuficha bidhaa ili wapandishe bei.
 
Kutoka Tanganyika, JMT hadi MIKURUPUKO state.

Tusubirie zile sukari kutoka Brazil zilizoisha muda(expire) wake zikafanyiwa PACKAGE zikiwa na made in UGANDA zikiwa SOKONI. Tanzania kweli failed state, kweli tunashindwa kujenga hata kiwanda cha SUKARI?

Alisema tutamkumbuka kwa kweli tutamkumbuka
Miaka katika uongozi wake alijenga viwanda vingapi vya sukari?
 
Watanzania kwa gumu yaani tungekuwa tunaongoza duniani. mbona sisi tuanuza mahindi Kenya. Sukari imepanda bei kelele soko linafunguliwa kelele. wacha walete muhimu mteja aweze kupata bei ya ushindani sio watu wachache ku monopolize soko. Gubu tu Mungu katujalia.
Point mkuu
 
Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.

Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.
Hayahaya tuliyakataa, nchi haiwezi kuendelea kwa kuimport tu. Sasa pesa yetu ya madafu inaenda kuzorota zaidi.
Sasa mnakataa kuwa soko wakati bidhaa yenyewe haishikiki kwenye soko ?!. WaTz ni wanafiki kwa asili.
 
Nchi wanabana wanajua watu wengi watakuwa mabilionea.

Nchi hii kuna watu wanataka pekee yao.

Ndiyo wawe na mabilion,pekee yao ndiyo.

Wafanye biashara export,import

Ova
Huyu bi mkubwa nasubiria tu afute mikodi ya ajabu ajabu,TZ kuna vitu ukiagiza nje inakua kama anasa kodi wanayokupiga tofauti na upande wa zanzibar,natamani sana bi mkubwa afanye kodi ya bara iendane na ya visiwani
 
Wewe msomi umeanzisha hata kiwanda cha kushona chupi ?
Niko Private sector wasomi wengi wamejaa serikalini na kwenye siasa na mitaani wakiwa hawana ajira yeyote

Unashangaa darasa la saba ana uwezo Wa kuingia private sector wakati msomi hawezi!!! Iko shida kuachia private sector illiterates
 
Miaka katika uongozi wake alijenga viwanda vingapi vya sukari?
Avikujengwa ila viliboreshwa tuliokuwa navyo ndio maana hakina hayati Turky walimaind na ali control sukari zilizo expire kutoka Brazil.

Kuna scarcity?
 
Huyu mama ni mkurupukaji sana, sijui hana washauri au hao washauri ndo wanamuingiza chaka, mweeeeeh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kwa hyo ulitaka tuendelee kunywa uji na chumvi mkuu

Sukar n janga nch hii Mara haipatikan mara Bei ipo juu s vibaya tukiletewa hyo na ss tujiongeze pia kutafuta fursa huko nje za kuuza vya kwetu

Vp kile kiwanda cha bakhresa kimeishia wapi mwaka wa tano huu

Vp kiwanda cha Mkulazi cha nssf na jesh la magereza nacho mwaka wa sita huu hatujaona hata punje ya sukar

Nadhan Kuna watu furaha yao kuona wengne tunaish maisha ya tabu

Kip Bora kuagiza sukar toka nch za Asia au Bora tumpe jiran yetu uganda na Malawi?
 
Back
Top Bottom