Bunsen Burner
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 909
- 1,101
Tatizo viwanda mkianzisha,bidhaa zenu hazina unafuu wowote wa bei, ukilinganisha na za kutoka nje, ukiachilia hata ubora wake unakuwa chini..... angalia tunavyo viwanda kibao vya sukari lakini kila wakati ni upungufu na bei kupanda ..sasa faida iko wapi kwa wananchi? Wacha 'tusaidiwe' tu hakuna jinsi .....
Hili Taifa linageuzwa soko badala la kiwanda.
Kila anakoenda Mama badala ya kuwela wawekezaji yeye analeta wachuuzi.